Huo msemo huku uelewa kabisa.Mshara wa dhambi ni mauti na hao walio iacha dhambi pia huwa wanapatwa na umauti ndungu haya mambo ni porojo tu
Huo msemo huku uelewa kabisa.Mshara wa dhambi ni mauti na hao walio iacha dhambi pia huwa wanapatwa na umauti ndungu haya mambo ni porojo tu
Unaweza kutuelezea kwamba kwanini uwepo wa mwanadamu hapa duniani usiwe na lengo na ilikuwaje mpaka tukatokea hapa "By Chance".Hata wewe mwenyewe uwepo wako hapa duniani ni nadharia tu maana huna purpose yoyote iliyokuleta. Umejitokezea tu by chance.
Ulijuaje kama huna uwezo wa kuliepuka?
kuna trend ya kukwepa maswali kwa kugeuza maswaliKuelewa uwepo wa Mungu haihitaji elimu ya juu, na Mungu hajakupangia ujuzi, ila amekupa ubongo tena kila mtu na ujuzi wake kwa vile atakavotafuta elimu. Haiwezekani ukae kitako nyumbani useme ah mi sijapewa ujuzi wa kutafuta kazi, nani atakuelewa.
kusaliwa ndio nini?Imesaliwa na nani?
Narudia tena, Mungu hajakupangia kuwa wewe unaingia peopni au motoni. Na kujua kwake khatma yako hakujahalalisha wewe kukaa ndani tu. Kama huna purpose, si ujiue tu yaishe? ukae uteseke, uje upate maradhi uhangaishe watu, jiue kabisa tu.
namimi hakuna sehemu nimesema nataka nithibitishiwe uwepo wa mungu kutoka kwa watu wenye "kuamini"Sina haja ya kukuthibitishia uwepo wa Mungu, kwa sababu umechagua kutoamini uwepo wake bila hoja yoyote ya elimu.
Motoni ni sehemu ya kufikirika tu kama mungu na shetaniHata mimi najua ukiendelea ivo utaingia motoni tu 😀
Huwezi kumtolea mfano Mungu na kiumbe chengine ikiwa huamini uwepo wa Mungu na hicho kiumbe kingine.
Kuna uhusiano gani wa kutolea mfano na uhalisia wa mfano huo??Ikiwa umemtolea mfano Mungu kuwa kama shetani, basi bila shaka shetani unamjua wewe 🙂 Atheist kwa kujigonga gonga bana....
na ndio imetawala hapa kuliko hoja za msingiMitego ipo
Kwa kuna muumini au muamini mungu asiye mjinga??Sio juu yangu, ni juu yako kuthibitisha kama ni muumin au sio muumin, wewe ndio uliepewa habari na huyo unaemuita muumin. Yawezekana hata maana ya muumin hujui lakini. Anaweza kuwa muumin wa ujinga?
kutokujua hatma yako si kigezo cha wewe kwenda tofauti na alivyopanga mungu. Mungu kajua utaua kesho wewe hata ukijua hilo unauwezo wa kuliepuka??Ipo haja kubwa ya kufanya ibada ikiwa wewe hujui hatma yako.
ni kwasababu siwezi kuepuka alichokiona kwaiyo ibada haina msaada kama kivuli cha fimboAma kama wewe unajua hatma yako na kwamba unajua ni motoni tu, basi huna haja ya kufanya ibada.
Mungu akijua hatma yako kuwa ni motoni na hana wajibu wa kukufanya wewe usiende motoni je ni wajibu wa nani wakukufanya usiende motoni???Mungu akijua khatma yako kuwa ni motoni, hana wajibu wa kukufanya wewe usiende motoni
Kwani sio wajibu wa mungu kuhakikisha kila mtu amempatia usezo wa kutosha ili achague yale yatayompendezesha yeye??ni wajibu wako mwenyewe uliepewa uwezo wa kutofautisha zuri na baya kuchagua kama unataka kwenda peponi au motoni.
Iko hiviBado hujajibu swali, unajua kuwa Mungu anajua Khatma yako lakini hujajua kile anachokijua, sasa je unajua khatma yako ya mwisho ni ipi?
sio tu sheria bali anaelewa kua mungu amejua na hatma ya dhambi ile anajua kua ni motoni sasa umeelewa namna ambavyo inawezekana mtu kujua hatma yake??Huyo mtu aloua na akajiua, si tayari anazijua sheria na hukumu zake?
Ishu sio kinyume wala kimbele, ishu ni mtu kujua alichojua mungu au hatma yake. sijui kama umeelewaSasa akienda kinyume chake mana yake amejichagulia mwenyewe njia ya kwenda motoni kwani alikuwa na uwezo wa kuepuka kufanya ivo.
pia kama kutoliepusha kungemfanya asiwe mjuzi wa yote huoni kwamba kuliacha litokee jambo hilo bila kuliepusha kunamfanya asiwe na uwezo wote???Pia Hakuliepusha hilo kutokea kwa sababu lau kama angeliepusha maana yake ile sifa yake ya kuwa anajua kila kitu kabla hakijatokea ingefutika. Pia lau kama angeliepusha kutokea, wewe ungekuja kuhoji kwanini hajaliachia tu litokee?
You can't deny to not be stoned while you still believing and not knowingI am not stoned, because i know, you chose not to believe, it is not like you do not understand.
hakuna sehemu nimesema naamini hivyo, so usipandikize maneno nisiyoyasemaKwa sababu kama wewe unaamini kuwa Ulimwengu haukuwa na muumbaji na hauna purpos
Vitabu vimesema shetani alitupwa duniani, na kila baya linafanyika kwa kusababishiwa na shetani kwanini mungu asiwapeleke mars ili kuwaepushia na shetani msije kutenda dhambi???basi kwanini sisi tusiwe tunaishi maisha sayari ya Mars?
Hii ni kwa mujibu wa quran??kwanini kwenye solar system yetu tuko peke yetu?
Kwanini position ya dunia iko on the right place to support life
ni kweli lile jengo limejengwa na wajenzi, hivi unataka kuniambia hao wajenzi hawana wazazi wao yani wamezuka tu bila chanzo chochote???kwanini isiwe venus? Hivi unataka kunambia kuwa lile jengo la ikulu magogoni limejijenga wenyewe bila ya fundi?
kwa kusema tu "logic" umeshakubali mungu hayupo. Mungu mjuzi wa yote mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu wenye kuruhusu mabaya huyu mungu hayupo kwasababu ni illogic kua na mungu wa dzain hiiUwepo wa Mungu hauhitaji kusoma mabuku, uwepo wa Mungu ni LOGIC tu.
Vile vile hakuna kilichounda kikakosa muundaji, au kichoumba kikakosa muumbaji. Yaani mjenzi aliyejenga jumba la magogoni akawa hana chanzo ni kitu ambacho hakiwezekaniHAKUNA KIUMBE KILICHOKUWA HAKINA MUUMBAJI, NA HAKUNA KILICHOUNDWA KIKAKOSA MUUNDAJI. Kama vipo thibitisha!
na ndio maana ulipoangalia specs kutoka kwenye simu yako ukagundua kua yangu ni famba. Sasa hapo utaweza kumlaumu aliyeuziwa au kulaumu walioniuzia kua sio waaminifu wamenitapeli kwa kunipa kitu feki??Siwezi kukwambia kuwa umeziwa simu chaka ikiwa sijui tofauti ya chaka na original.
unachokiandika kinachekesha sanaNinapokwambia kuwa simu yako kimeo na wewe ukabisha, hasara anaipata nani?
Kwanza tutapaswa kujua kipi chanzo cha mimi kuonekana mjinga? Bila shaka ni wauzaji na bila wao kufanya uhuni kusingrkua na mjadala wa kujadili nani mjinga katika hiliau nani atakuwa mjinga in this case? Itakuwa umechagua kuamini utakavyo wewe na sio vile ilivyo ukweli, kwa sababu ya wewe kukataa kuwa simu yako sio kimeo hakuondoshi kuwa simu yako ni kimeo.
hii nishakujibu huko juu sitegemei kama hunaelewaBy the way, ukienda tofauti na alivyojua? wewe utajuaje kuwa umeenda tofauti, kwani umejua? 😀
Kwa sababu Ametupa ubongo/akili za kutumia ili tumuelewe. Mungu ndivyo ALIVYOTAKA YEYE sio UTAKAVYO WEWE.
Mbona wewe hujajiumba mwenyewe utakavyo basi? 😀
For the same damn reason, mungu anaanzaje kukuhukumu ikiwa anajua kua hujamuelewa??Utaendaje msikitini ikiwa hujamuelewa? unaenda kufanya nini na kilichokupeleka msikitini nini? :O
Allah ametaka kuumba kiumbe ambacho kitaitwa Binaadamu/Human. Sasa mwenyewe alichagua kuwa kiumbe hichi ili kiitwe human
basi kitakuwa na sifa kadhaa wa kadhaa.
Sasa kama hakutuumba ivi tulivyo, maanake sisi sio binaadamu tena, ni kiumbe kingine. Kwaio ili tuwe binaadamu basi hivi ndivyo alivotuumba, angetuumba na pembe kichwani basi ingekuwa kiumbe kingine. Pia ameumba kiumbe aina ya Malaika, hawa kawaumba wakiwa hawana matamanio ya nafsi kabisa na hawana free will, wao ni kutii amri tu, sasa hawa sio binaadamu, hawa tunawaita Malaika, sifa za malaika ndio hizo, sasa ikiwa ana sifa ya free will huyo sio tena malaika.
Ikiwa hujafanya revision kwanini asikupe adhabu?Kwasababu tayari nimesha lifanya na sikuweza kuliepuka
Swali langu bado hujajibu
Kama Lengo la mtihani ni kunijuza halafu mungu alijua kua akinipa mtihani sitaweza kujua, kwanini atoe hukumu kwa kosa ambalo lipo nje ya uwezo wangu ambalo sikuwa na uwezo wa kuliepuka???
Kuelewa uwepo wa Mungu haihitaji elimu ya juu, na Mungu hajakupangia ujuzi, ila amekupa ubongo tena kila mtu na ujuzi wake kwa vile atakavotafuta elimu. Haiwezekani ukae kitako nyumbani useme ah mi sijapewa ujuzi wa kutafuta kazi, nani atakuelewa?kuna trend ya kukwepa maswali kwa kugeuza maswali
Nasubiri jibu kwa haya maswali
Kama mungu kaamua kila mtu awe na ujuzi wake aliopangiwa na watu wametofautiana katika huo ujuzi, inakuaje tena atoe hukumu kwa watu ambao wana ujuzi mdogo kwa kutoelewa mafunzo yake wakati yeye ndiye aliyewapa ujuzi huo mdogo usioweza kuelewa vitu vikubwa???
Nimekusudia "Imesajiliwa na nani" hio Taasisi ya upigaji?kusaliwa ndio nini?
Sijakwambia ujiua kisa Mungu eti. Ujiue ili uepuka tabu za dunia tu. Yanini kuishi na huna purpose? huoni kama ni kujichosha uko?Nijue kisa mungu wakufikirika ambaye kihalisia hayupo?? Wewe unaweza kujiua kwasababu ya invisible pink unicorn???
Hebu tuthibitishie kama ingekuwa wewe, umejuaje Khatma yako kabla ya kufanya icho kitendo?sio tu sheria bali anaelewa kua mungu amejua na hatma ya dhambi ile anajua kua ni motoni sasa umeelewa namna ambavyo inawezekana mtu kujua hatma yake??
Thibitisha mtu utajuaje alichojua Mungu?Ishu sio kinyume wala kimbele, ishu ni mtu kujua alichojua mungu au hatma yake. sijui kama umeelewa
Vizuri kuwa unathibitisha kuwa ni uchaguzi wako kumkataa Mungu na sio kuwa huelewi. Mimi najua ninachoamini.namimi hakuna sehemu nimesema nataka nithibitishiwe uwepo wa mungu kutoka kwa watu wenye "kuamini"
Kuamini kitu huhitaji kuwa na ukweli wala uthibitishi ili kushikiria imani yako, sasa kivipi nikuombe uthibitisho wakati hata wewe unaamini tu bila kujua???
Kwaio wewe unaamini Ulimwengu unae Muumbaji?hakuna sehemu nimesema naamini hivyo, so usipandikize maneno nisiyoyasema
Hata kama ulimwengu una purpose hiyo haimaanishi mungu ndiye muasisi wa ulimwengu
Ujinga katika hali ya juu, wangekuwa wanaogopa umaskini nchi isingekalika hii. Watu wa vitu instead of Utu ndio nyie. Umaskini unauogopa wewe tu. Wenzako habari hawana na wanaishi kwa furaha tu.Motoni ni sehemu ya kufikirika tu kama mungu na shetani
Halafu These days watu hawaogopi moto ilitakiwa mtumie trick nyingine hii ipo outdated mno. Moro gari ya mafuta ilivyowaka watu walikufa sana lakini bado watu hawakukoma kuchota mafuta kwenye magari yaliyoanguka huko mikoa mingine
Watu wanaogopa umasikini sio moto
Una sifa za Uungu hata uwe Mungu wangu?Kuna uhusiano gani wa kutolea mfano na uhalisia wa mfano huo??
Mfano mimi scars ni mungu wako wewe @chilubi. Utakubali kua mimi ni mungu wako??
Mfano pazi alivyobebwa na jogoo, mfano huu unauhalisia wowote kua kweli mtu aliyeitwa pazi alibebwa na jogoo??
Kutojua maana ya Kujua na kupanga, unajaribu kuweka neno kupanga kwenye Kujua 😀na ndio imetawala hapa kuliko hoja za msingi
Anaeamini uwepo wa Mungu ana akili na asieamini uwepo wa Mungu ni mjinga, kwa sababu unakataa kuwa Ulimwengu una muumbaji wake ila hapo hapo nikikwambia gari haina muundaji wake unaniona mjinga!Kwa kuna muumini au muamini mungu asiye mjinga??
Utalijua hilo? Toa hoja kiuhalisia. Huwezi kwenda tofauti na AJUAVYO (wewe umetumia neno kupanga ili kupotosha 😀) MUNGU. Na huwezi kujua kama ameenda tofauti kwa sababu hujui alijua vipi. SIO ALIPANGA VIPIkutokujua hatma yako si kigezo cha wewe kwenda tofauti na alivyopanga mungu. Mungu kajua utaua kesho wewe hata ukijua hilo unauwezo wa kuliepuka??
Kwanini usifanye ibada basi? kwanini uchague kutenda dhambi?ni kwasababu siwezi kuepuka alichokiona kwaiyo ibada haina msaada kama kivuli cha fimbo
Mungu ametaka tu mwenyewe kuwatupa duniani, haya sasa nijibu na wewe nililokuuliza.Vitabu vimesema shetani alitupwa duniani, na kila baya linafanyika kwa kusababishiwa na shetani kwanini mungu asiwapeleke mars ili kuwaepushia na shetani msije kutenda dhambi???
Kwani si vyombo vinapelekwa kila miaka kuchunguza uko nje? Hebu nitajie basi sayari yenye civilization unayoijua wewe.Hii ni kwa mujibu wa quran??
Peke yako na nani? Unalimaje kujua kua uko pekeyako na sio kwamba huna uwezo wa kuzunguka kuwaona wengine??
Kufariki ndio cycle ya dunia, ingekuwa hakuna kufa, dunia ingejaa mara moja tu, na kwanini basi isikae kwenye hio right place uitakayo wewe? kwa sababu kama hakuna purpose ulimwenguni kwanini tufe tupishe wengine waje? and by the way, WHERE IS THE RIGHT PLACE ACCORDING TO YOU?position ya dunia ingekua iko katika right place basi inge support life bila viumbe kufariki
Kwa vile umekubali kuwa lile jengo lina wajenzi, basi na Ulimwengu una mjenzi wake, na ndio maana akaiweka dunia hapa ilipo ili mimi na wewe tuishi. Tofauti ya hao wajenzi, wao ni VIUMBE lazima Viwe na chanzo.ni kweli lile jengo limejengwa na wajenzi, hivi unataka kuniambia hao wajenzi hawana wazazi wao yani wamezuka tu bila chanzo chochote???
Yupo aliekuwa sio Kiumbe nae ni Allah aleiumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ndani yake. Muumbaji hana Muumbaji.Vile vile hakuna kilichounda kikakosa muundaji, au kichoumba kikakosa muumbaji. Yaani mjenzi aliyejenga jumba la magogoni akawa hana chanzo ni kitu ambacho hakiwezekani
na hakuna kisicho kiumbe kilakitu ni kiumbe eidha kiwe hai au kisiwe hai so point yako ni nini hapa??
Kwanini nisikulaumu wewe kwenda kununua kitu usichikijua? Mbona mimi binafsi washkaji wananifuata wananambia kuna iphone hii hapa ni original ama vipi? ina icloud ama vipi? na nawapa majibu, tena watajua wenyewe kama watanunua ama la, lakini hawana wa kumlaumu zaidi ya nafsi zao.na ndio maana ulipoangalia specs kutoka kwenye simu yako ukagundua kua yangu ni famba. Sasa hapo utaweza kumlaumu aliyeuziwa au kulaumu walioniuzia kua sio waaminifu wamenitapeli kwa kunipa kitu feki??
vipi wao uwaite wajinga wakati wewe ndio wamekufanya uwe mjinga? Utakuwa mjinga kwenda kununua kitu bila kuhakikisha wakati kuna njia tayari za kujua kama kitu feki ama si feki. Yaani utoke na miguu yako miwili ukafanye dhambi halafu useme Mungu ndo kajua ivo? huo si ujinga?Kwanza tutapaswa kujua kipi chanzo cha mimi kuonekana mjinga? Bila shaka ni wauzaji na bila wao kufanya uhuni kusingrkua na mjadala wa kujadili nani mjinga katika hili
Uwezo wa kurudi nyuma ya muda unao? Na ukiwa nao utakuwa huna uhuru wa kurud nyuma?Uhuru wa kuchagua kufanya lolote nitakalo, lakini hakuna uhuru wa kurudi nyuma ya muda. Hakuna uhuru wa kurudisha waliokufa wawe hai, hakuna uhuru wa kuchagua kutoumwa au kufa vyote hivyo tunachaguliwa automatically kivipi useme tuna uhuru wakuchagua lile tulitakalo??
Utafanyaje tofauti na alivyojua kuwa utafanya kwa maamuzi yako mwenyeo? Hio kanuni ya kuwa ili uhuru wakuchagua uwepo basi Mungu hatakiwi kujua unachochagua umeitoa wpi? kwa sababu Uhuru haihusiani na kujulikana chaguo lako. Kwani mfano mtu akijua kuwa unampenda Fulani, manake huna uhuru amekuchagulia yeye umpende?mungu akijua kitu na katika kujua huko sina uhuru wa kufanya tofauti, utasema nina uhuru wa kufanya nachotaka??
Ili uhuru wakuchagua uwepo basi mungu hatakiwi kujua nacho chagua
Sijaelewa na ndio maana nataka ufafanue vizuri. Unajuaje kuwa umeenda tofauti na alivoona Mungu?hii nishakujibu huko juu sitegemei kama hunaelewa
Umeambiwa kuna Mungu, haya nikuulize umesoma wapi habari zake?hapa pia unarudia pale pale nilipo kuelewesha. Nimekuelezea mapungufu ya ubongo hivyo mungu hapaswi kutoa adhabu kwa kigezo cha kutoelewa mafunzo yake wakati akijua udhaifu wetu
Sasa mimi nimekuuliza swali ila naona unalijibu kwa woga. Basi ngoja nikwambie jibu langu halafu nini utaniuliza na jibu lake litakuaje;Ni kwasababu haiwezekaniki kitu chochote kikajiumba chenyewe yani kikawepo tu bila chanzo unakubali??
Hujanijibu swali lakini? Mungu hujamuelewa unaenda msikitini kufanya nini? Kusali? Basi itakuwa umemuelewa na ndio maana ukaenda msikitini na ukasali. Lakini vipi unampinga Mungu halafu unasema kuwa hayupo bila ya kuwa na hoja yoyote yenye mashiko na bila kuthibitisha kutokuwepo kwake? vipi baada ya ishara zote zilizoletwa wewe ukazikataa? ivi kweli itakuwa hujajua kama kuna Mungu?For the same damn reason, mungu anaanzaje kukuhukumu ikiwa anajua kua hujamuelewa??
Dhaifu mbele ya nani?wakati anachagua hayo ilipofika mda wa kuchagua kiumbe kiwe dhaifu au sio dhaifu akaamua kuchagua kiwe dhaifu siyo??
Ndiomiongoni mwa hizo sifa ni pamoja na udhaifu??
Hakuna kosa kutamani kuwa Mungu angekuumba Tajiri ama vile upendavyo. Ameshasema mwenyewe duniani ni mapito, atakaefuzu, atakwenda peponi, huko unachotaka wewe basi utapata. Ama kama mwenyewe unaona bora uende tu motoni, basi umechagua mwenyewe usimlaumu yeye kujua wewe utaishia motoni. kwa sababu ndivyo ulivotaka mwenyewe.mungu kuumba halafu kuruhusu watu waweze kuhoji yale waliyoyaona bora endapo mungu angewafanyia hapo kosa la nani?
Binadamu hatuwezi kufikiri kama Mungu anavyofikiri. Au ufahamu au maarifa ya mwanadamu ni tofauti na maarifa ya Mungu.Kwani alishauriwa na nani asikuumbe wewe mchina ? ni mambo ambayo Ameamua mwenyewe kuyafanya kwa akili yake inavyopenda kuwa chilubi nitamtoa mwanaume kisha atakwenda motoni ova
Kwanini mungu aweke kipaumbele kwenye kutubu kuliko kuzuia baya ili kumuepusha huyo mtu asilifanye??Ikiwa hujafanya revision kwanini asikupe adhabu?
Si kweli nimejibu mengi tena kwa urefu na kwamifano na unaweza kuweka hapa ambacho sijakijibu.Naona nilikuuliza mengi hujajibu ata moja.
Hili nimelitolea majibu more than two times labda nisisitize tenaKuelewa uwepo wa Mungu haihitaji elimu ya juu, na Mungu hajakupangia ujuzi, ila amekupa ubongo tena kila mtu na ujuzi wake kwa vile atakavotafuta elimu. Haiwezekani ukae kitako nyumbani useme ah mi sijapewa ujuzi wa kutafuta kazi, nani atakuelewa?
kwanini kusajiliwa kuwe muhimu kuliko ubaya wa kitu???Nimekusudia "Imesajiliwa na nani" hio Taasisi ya upigaji?
purpose kwani ni lazima liwe mungu??Sijakwambia ujiua kisa Mungu eti. Ujiue ili uepuka tabu za dunia tu. Yanini kuishi na huna purpose? huoni kama ni kujichosha uko?
invisible unicorn, shetani na mungu wote ni character wasiokua na maana kwasababu hawapo zaidi ya hadithi kama kirikuuMimi nijiue kwa sababu ya pink unicorn kwani amenifanya nini? nataka kumuona huyo pink unicorn? hebu walau jifunze kutoa mifano yenye kuleta maana. Unicorn na Life Purpose vinafananaje kwa mfano?
Ok nitafanya hivyo ila kabla sija move on nataka nijue uliuelewaje ule mfano niliokupa?Hebu tuthibitishie kama ingekuwa wewe, umejuaje Khatma yako kabla ya kufanya icho kitendo?
Thibitisha mtu utajuaje alichojua Mungu?
Vizuri kuwa unathibitisha kuwa ni uchaguzi wako kumkataa Mungu na sio kuwa huelewi. Mimi najua ninachoamini.
Kwaio wewe unaamini Ulimwengu unae Muumbaji?
umeona hoja zingine unazijibu mwenyewe, yani kumbe watu sio tu moto ambao hawauogopi bali hata umasikini nao hawaogopi aisee mi nikua sijui. sasa utawatisha kwa kipi unadhani au shumileta na saladini wa zamani??Ujinga katika hali ya juu, wangekuwa wanaogopa umaskini nchi isingekalika hii. Watu wa vitu instead of Utu ndio nyie. Umaskini unauogopa wewe tu. Wenzako habari hawana na wanaishi kwa furaha tu.
Ni kweli sina sifa kwasababu i do exist and im not an imaginary being that cant be proved.Una sifa za Uungu hata uwe Mungu wangu?
Kwani mfano wa kitu cha kufikirika ukiutumia kwa mfumo gani kunafanya mfano huo uwe kweli kihalisia???Kwani huo mfano umeutumia kwa mfumo gani? mafumbo ama? mana kama sio kwa mafumbo labda umemuona huyo pazi akibebwa na jogoo na watu watataka ushahidi, ila kama umezungumzia kwa mafumbo basi hata watakuelewa kimafumbo.
.kwa mujibu wa dini yenu mungu sio mpangaji wa maisha ya binadamu??Kutojua maana ya Kujua na kupanga, unajaribu kuweka neno kupanga kwenye Kujua 😀
sijakataa hilo lakini hujui kua linaongeza uzito katika hoja zangu, yaani unapoonesha weakness za binadamu unakua unamshusha mungu wako viwango unamfanya ainekane kama fundi maiko kwasababu kwa mujibu wa dini zenu mimi na wewe ni kazi ya mikono ya huyo mungu wenu.Anaeamini uwepo wa Mungu ana akili na asieamini uwepo wa Mungu ni mjinga
Nitakubali kua gari lina muundaji kwasababu haiwezekani kitu kikawepo bila chanzo.kwa sababu unakataa kuwa Ulimwengu una muumbaji wake ila hapo hapo nikikwambia gari haina muundaji wake unaniona mjinga!
jump to the solution, what will happen if you know? Kama hata ukijua huwezi badilisha chochote kwanini kujua kue hoja ya msingi??? BTW nimekupa mfano mzuri tu kuhusu hili ila naona umetafuta pakujifichiaUtalijua hilo?
Toa hoja kiuhalisia
Huwezi kwenda tofauti na AJUAVYO (wewe umetumia neno kupanga ili kupotosha 😀) MUNGU. Na huwezi kujua kama ameenda tofauti kwa sababu hujui alijua vipi. SIO ALIPANGA VIPI
Anapanga kwasababu ni mjuzi wa yote na sina uhuru wa kuepuka kwakua alipanga litokeeHUJUI MAANA YA KUJUA NA KUPANGA?
Kwasababu kila kitu ni sehemu ya mipango yake, kufanya ibada au kutokufanyi hskufanyiki kwa bahati mbaya ni yeye slitska wewe ufanye hivyoKwanini usifanye ibada basi? kwanini uchague kutenda dhambi?
Mungu kataka tu kuwatupa duniani huku akijua outcomes yake? Kama alijua inamaana alitaka iwe hivyo, sasa kwanini atoe adhabu?Mungu ametaka tu mwenyewe kuwatupa duniani, haya sasa nijibu na wewe nililokuuliza.
akikwambia kua alifanya kwa kubahatisha tu na wala hakutegemea kama jina apple lingekua popular kiasi hiki utasemaje?? Au akikwambia kua ilikua ni ngumu kutafakari wazo hilo peke yake mpaka alipohusisha mawazo ya wadau wake wakaribu ambao kati yao kuna waliotaja mango na pineaple lakini zilipopigwa kura ndio wazo la apple likspitishwa. Wewe utasemaje ukiambiwa hivyoAnd by the way, Steve Jobs alikuwa hajui kama kuna tunda linaitwa Mango? Pineapple? ama?
Kwani si vyombo vinapelekwa kila miaka kuchunguza uko nje? Hebu nitajie basi sayari yenye civilization unayoijua wewe.
na ndio lengo la mungu kwa mujibu wa dini zenu kawaruhusu binadamu waijaze dunia. Uneona utata hapo?Kufariki ndio cycle ya dunia, ingekuwa hakuna kufa, dunia ingejaa mara moja tu
na kwanini basi isikae kwenye hio right place uitakayo wewe? kwa sababu kama hakuna purpose ulimwenguni kwanini tufe tupishe wengine waje? and by the way, WHERE IS THE RIGHT PLACE ACCORDING TO YOU?
na kwa vile nimekubali kua lile jengo lina mjenzi wake basi na huyo mjenzi lazima awe na mjenzi sake siyo??Kwa vile umekubali kuwa lile jengo lina wajenzi, basi na Ulimwengu una mjenzi wake, na ndio maana akaiweka dunia hapa ilipo ili mimi na wewe tuishi. Tofauti ya hao wajenzi, wao ni VIUMBE lazima Viwe na chanzo.
Hapa umetumia logic au fallacy ya kidini??Yupo aliekuwa sio Kiumbe nae ni Allah aleiumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ndani yake. Muumbaji hana Muumbaji.
and nothing can come from something to nothing unskubali hili??Kuumba ni from nothing to something.
Kwanini nisikulaumu wewe kwenda kununua kitu usichikijua? Mbona mimi binafsi washkaji wananifuata wananambia kuna iphone hii hapa ni original ama vipi? ina icloud ama vipi? na nawapa majibu, tena watajua wenyewe kama watanunua ama la, lakini hawana wa kumlaumu zaidi ya nafsi zao.
vipi wao uwaite wajinga wakati wewe ndio wamekufanya uwe mjinga? Utakuwa mjinga kwenda kununua kitu bila kuhakikisha wakati kuna njia tayari za kujua kama kitu feki ama si feki. Yaani utoke na miguu yako miwili ukafanye dhambi halafu useme Mungu ndo kajua ivo? huo si ujinga?
Unazungumzia UHURU AU UWEZO?
Hii point ipo in red nasubiri jibu kwa hamu hasa. I need your answers on this point to point.
Utafanyaje tofauti na alivyojua kuwa utafanya kwa maamuzi yako mwenyeo?
kupitia logicHio kanuni ya kuwa ili uhuru wakuchagua uwepo basi Mungu hatakiwi kujua unachochagua umeitoa wpi?
ujuzi wa mtu unaweza kukosolewa kwa kwenda kinyume lakini mungu alijua tukio ulilolifanya leo kabla hujazaliwa hivyo kivyovyote huwezi kuliepuka kwasababu kuepuka kwako kutam prove wrong mungu aonekane ni mbshatishajikwa sababu Uhuru haihusiani na kujulikana chaguo lako. Kwani mfano mtu akijua kuwa unampenda Fulani, manake huna uhuru amekuchagulia yeye umpende?
ok twende taratibu ili ueleweSijaelewa na ndio maana nataka ufafanue vizuri. Unajuaje kuwa umeenda tofauti na alivoona Mungu?
Kusoma habari si ishu ishu ni uhalisia wa hiyo habariUmeambiwa kuna Mungu, haya nikuulize umesoma wapi habari zake?
kuhusu woga sina hata chembe, nakomaa na mjadala bila kua na wenge...Sasa mimi nimekuuliza swali ila naona unalijibu kwa woga. Basi ngoja nikwambie jibu langu halafu nini utaniuliza na jibu lake litakuaje;
sawa nakubali, lakini unaweza kuniambia chanzo cha huyo mungu unayemuamini??Mimi: Haiwezekani kitu chochote kikajiumba chenyewe bila kuwepo chanzo
sahihi kabisa kwasababu msingi wa logic ndio unaotupa jibuScars: basi Mungu nae atakua ana chanzo chake
hakuna kisicho kiumbe, kila kitu ni kiumbe eidha kiwe hai au kisiwe haiMimi: Mungu sio Kiumbe, kisichoumbwa hakina source.
Naweza kwenda msikitini kwasababu hawakatazi kuingia na sio kwamba naenda kwa kigezo cha kusali.Hujanijibu swali lakini? Mungu hujamuelewa unaenda msikitini kufanya nini? Kusali? Basi itakuwa umemuelewa na ndio maana ukaenda msikitini na ukasali. Lakini vipi unampinga Mungu halafu unasema kuwa hayupo bila ya kuwa na hoja yoyote yenye mashiko na bila kuthibitisha kutokuwepo kwake? vipi baada ya ishara zote zilizoletwa wewe ukazikataa? ivi kweli itakuwa hujajua kama kuna Mungu?
Ikiwa unajua kuwa hakuna kiumbe kinachoweza kujiumba chenyewe, tena vipi ukatae uwepo wa Muumbaji?
Dhaifu mbele ya nani?
Ndio
Kwaiyo mungu hataki watu wote waende peponi na ndio maana kaweka kizuizi cha kuwachuja ili sengine wasiende??Hakuna kosa kutamani kuwa Mungu angekuumba Tajiri ama vile upendavyo. Ameshasema mwenyewe duniani ni mapito, atakaefuzu, atakwenda peponi
kivipi tena niwe nimechagua mimi wakati mungu ndiye kaniumba nikiwa mdhaifu na kunichagulia ubongo wenye udhaifu usioweza kufata kila jambo ambalo yeye analitaka??huko unachotaka wewe basi utapata. Ama kama mwenyewe unaona bora uende tu motoni, basi umechagua mwenyewe usimlaumu yeye kujua wewe utaishia motoni. kwa sababu ndivyo ulivotaka mwenyewe.
Mwenyewe amependa iwe hivo, au umesahau kama Mungu anafanya atakavyo na sio utakavyo wewe? Wewe huoni kuwa akifanya utakavyo wewe, na mwengine atakuwa na vile anavyotaka yeye sasa kila mmoja akiwa na atakavyo itakuaje?Kwanini mungu aweke kipaumbele kwenye kutubu kuliko kuzuia baya ili kumuepusha huyo mtu asilifanye??
Kwaiyo mungu anaweza akajua kua kesho utamuua mama yako bila hatia halafu akaacha tu wewe ufanye mauaji ili akuone kama utatubu?? Yani mungu anaruhusu mtu mwingine afe bila hatia ili akupime kama utatubu???
Logic gani hapa itamkubali mungu wa dzaini hii??
Umelitolea majibu ama unaendelea kusisitiza kile ukitakacho wewe Mungu awe? Maana nilikuuliza swali very simple. Kwanini Steve Jobs kaamua aite kampuni yake Apple na asiite tunda jengine au kitu chochote kile, ukaanza kuuzunguka mbuyu.Hili nimelitolea majibu more than two times labda nisisitize tena
Kwanza kwa swali hili linaonesha kabisa hata wewe una matatizo ya ubongo, maana nimekuelezea kwa urefu sana lakini bado umeonekana kutokuelewa.
Ubongo unamapungufu mengi hauoneshi kama umeumbwa na Omnipotent power. kuanzia uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu hadi uwezo wa kustahimili hali ngumu pasipo kuruhusu matatizo katika mfumo wake
Unavyozaliwa ulikua na ubongo lakini je unakumbukumbu yeyote unayoikumbuka katika tukio la kuzaliwa kwako ukiachana na masimulizi kutoka kwa mashuhuda walikokuwepo siku hiyo?? Bila shaka huwezi na ndio maana hata vitu nilivyokuelezea mda mchache uliopita umeshindwa kuvikumbuka au hta kuvielewa kwasababu ya mapungufu ya ubongo
Mungu (naashumu kama yupo japokua hayupo) alijua hilo kua binadamu amewapa uwezo mdogo wa kiufanisi katika ubongo wao, alijua kua katika vitu nitakavyo wapa hawatoweza kuvifanya kikamilifu hivyo kama mungu alitaka watu wafanye vitu kikamilifu kama apendavyo, basi alipaswa kuweka mfumo ulio kamili usio kosea wala kusahau ili watu wafanye kile akitakacho bila kizuizi. Lakini hakufanya hivyo unafikiri ni kwanini?? Ukitumia logic utagundua mungu alitaka tufanye makosa, na kweli tukafanya makosa ambayo yeye ameyaruhusu yafanyike sasa kivipi atuadibu?? Hapa logic inakataa huu udwanzi wa kindeezi uliojaa upuuzi unaoonesha mungu si mjuzi na anafanya mambo ya kishenzi ambao hata sisi hatuwezi, je huyu anastahili kuitwa mwenyezi??
Wewe umesema Uislam ni Taasisi, sasa labda imesajiliwa ndio maana nkakuuliza hio Taaisi imesajiliwa nani?kwanini kusajiliwa kuwe muhimu kuliko ubaya wa kitu???
Kila kilicho sajiliwa na kuhalalishwa kitakua halali kwako kwasababu tu kimesajiliwa na shirika fulani au uongozi fulani???
Utakua tayari kufanya jambo lolote ilimradi tu lisajiliwe?? Umtimamu?
Its a Joke on you, spending all those years on earth and one day you die and then nothing? What is the point?purpose kwani ni lazima liwe mungu??
Naweza kuishi kwa lengo la kujifunza vitu nisivyovijua na kusaidia wenye shida bila kutegemea malipo kutoka kwa mungu (ambaye hayupo) shida ambazo wakienda misikitini wala makanisani hawatasaidiwa zaidi ya kuambiwa wafunge na kusali, yaani mtu analia njaa halafu unamuambia funga bila kula allah atakunusuru what a joke but I ain't laughing??
Watatishwa hio siku watakayoingia kaburini, ndipo mtakapojua nani kala hasara. 😀umeona hoja zingine unazijibu mwenyewe, yani kumbe watu sio tu moto ambao hawauogopi bali hata umasikini nao hawaogopi aisee mi nikua sijui. sasa utawatisha kwa kipi unadhani au shumileta na saladini wa zamani??
Mungu na Shetani hawana maana kwako tu ULIECHAGUA kutoamini uwepo wao. Uko HURU kuchagua ivo 🙂invisible unicorn, shetani na mungu wote ni character wasiokua na maana kwasababu hawapo zaidi ya hadithi kama kirikuu
Jibu swali na ukihisi sijaelewa rudia kufafanuaOk nitafanya hivyo ila kabla sija move on nataka nijue uliuelewaje ule mfano niliokupa?
Hakuna hoja ulioitoa ikanishinda hadi sasa, kikubwa naona kuwa unarudia rudia point zako ambazo tayari zimeshatolewa ufafanuzi kitambo tu. Lakini ni majibu yanayokuchukiza kwaio huyakubali, 😀mbona unanirudisha kule kule niliko kujibu swali hili?? Hivi ni kwamba huelewi kwa bahati mbaya au kusudi tu ili usionekane umeshindwa hoja??
Rejea mfano niliokupa kuhusu kuua na kujiua utaelewa
Huwez kuamini na kujua? 😀 we jamaa kituko kweli. Kanuni ipi inasema ivo?wewe unajua unachokiamini?? Hapo hakuna logic kwenye hoja yako, huwezi kuamini na kujua at the same time
Kwaio wewe unaamini Ulimwengu unae muumbaji? Hili swali linahitaji majibu, usiogope.sijishugulishi na kilimo, vipi wewe unajishughulisha na uuzaji bangi??
Imaginary kwako kwa kuchagua kuwa mjinga.Ni kweli sina sifa kwasababu i do exist and im not an imaginary being that cant be proved.
Onesha hilo lengo.na ndio lengo la mungu kwa mujibu wa dini zenu kawaruhusu binadamu waijaze dunia. Uneona utata hapo?
Wapi hufahamu nlipokwambia kuwa Mjenzi wa Ulimwengu sio Kiumbe? Sasa kama sio kiumbe atajengwa na nani? 😀na kwa vile nimekubali kua lile jengo lina mjenzi wake basi na huyo mjenzi lazima awe na mjenzi sake siyo??
Ulimwengu una mjenzi wake na huyo mjenzi naye anamjenzi wake tuko pamoja mpaka hapa??
Likikukuta ujue Mungu kaliruhusu ilo ndio. RUHUSA sio UPANGAJI..kwa mujibu wa dini yenu mungu sio mpangaji wa maisha ya binadamu??
Kwa mujibu wa dini zenu kuna kitu chochote kinachoweza kufanyika bila mungu kukiruhusu???
sijakataa hilo lakini hujui kua linaongeza uzito katika hoja zangu, yaani unapoonesha weakness za binadamu unakua unamshusha mungu wako viwango unamfanya ainekane kama fundi maiko kwasababu kwa mujibu wa dini zenu mimi na wewe ni kazi ya mikono ya huyo mungu wenu.
Nimetumia logic tu hapo, yaani bila hata maandishi ya kidini. Ili ulimwengu uwepo, lazima pawe na alieuumba. Na ili huyu alieumba ambae amesema kuwa hajazaa wala hajazaliwa basi awe hajaumbwa, kwa sababu kama angekuwa ameumbwa basi angekuwa na muumbaji wake mpaka infinity na ulimwengu ungekosa order kabisa.Hapa umetumia logic au fallacy ya kidini??
Logic inasema hakuna kisicho kiumbe sasa kivipi allah huyo asiwe kiumbe je ni kwasababu hayupo??
Wewe utaniona mimi mjinga, lakini mimi nakuona wewe mjinga, kwa sababu kwenye post yangu nimekwisha kwambia zamani jinsi utakavokuja kuuliza, sasa sijui namie nimekupangia 😀Nitakubali kua gari lina muundaji kwasababu haiwezekani kitu kikawepo bila chanzo.
nikikubali kua ulimwengu una muumbaji wake halafu nikakuambia na huyo muumbaji naye ana muumbaji wake utakubali?? Kama utakataa nami ntakuona mjinga
Mungu hajakupa ubongo wenye errors lakini, amekupa ubongo wenye kupata elimu, sasa kama hukutafuta elimu utamlaumu nani?jaribu kusoma vizuri nachokiandika hususani katika mifano maana nsona unspoteza umakini
Mfano umezungumzia makubaliano kati yangu mimi na wewe kua tununue simu aina moja iphone 11 katika duka moja na wote tumeuziwa kwa bei moja. Baada ya kufika nyumbani mimi nikagundua kua nimepigwa kwa kuilinganisha na yako. Kisha nikakuuliza je hapo kosa la nani kati ya wauzaji na mimi mnunuzi? Huku nikikusudia kua kati yangu mimi niliyepewa ubongo wenye errors na mungu aliyenipa huo ubongo nani mwenye makosa?
Wapi amekufundisha kuuwa watoto bila hatia?kivipi aliyekufundisha unyama wa kuua watoto bila hatia asiwe mnyama??
Kivipi aliyekufundisha wizi awe mwema wakati bila yeye usingeiba??
Inamaana hata misingi ya dini yenu inaruhusu kufundisha mtu kuua kwasababu mtu huyo akiua wewe hauhesabiwi kua umekosea??
Kweli ujinga mzigo beba hata sikupokei, kusema chanzo cha ubaya si ubaya kiukweli umeniacha hoi...
Ulisema uhuru ni uwezo wa kuamua kufanya kile ukitakacho, kwa maana hiyo uhuru na uwezo ni vitu ambavyo vinafungamanaUwezo wa kurudi nyuma ya muda unao? Na ukiwa nao utakuwa huna uhuru wa kurud nyuma?
Uwezo wa kurudisha waliokufa unao? ungekuwa na uwezo huo nani angekuzuia?
Uwezo wa kuchagua kuumwa au kutoumwa unao? ungekuwa unao, nani angekuzuia?
Sio sawa sawa kabisa.nazungumzia vyote uhuru na uwezo ni sawa na abdala kumuita dulla
huwezi kufanya tofauti kwa sababu hujui anachojua.siwezi kufanya tofauti kwasababu hakuna uhuru wakuchagua kufanya tofauti
misuse of logickupitia logic
Kwani mfano mtu akijua kuwa unampenda Fulani, manake huna uhuru amekuchagulia yeye umpende? Jibu hili swaliujuzi wa mtu unaweza kukosolewa kwa kwenda kinyume lakini mungu alijua tukio ulilolifanya leo kabla hujazaliwa hivyo kivyovyote huwezi kuliepuka kwasababu kuepuka kwako kutam prove wrong mungu aonekane ni mbshatishaji
Mungu ni Eternal hana chanzo na sio kiumbesawa nakubali, lakini unaweza kuniambia chanzo cha huyo mungu unayemuamini??
Ikiwa humjui Mungu, sikulaumu ukiuliza ivo. Ili uwe Mungu basi uwe na sifa za kiungu.sahihi kabisa kwasababu msingi wa logic ndio unaotupa jibu
Unazungumza ikiwa hujatafuta elimu!Sasa kama sijamuelewa kwanini anihukumu kwa kutomuelewa wakati alikwishajua kua hilo??
Injaalisha dhaifu mbele ya nanidhaifu kiujumla, haijalishi mbele ya nani.
Ukishajua Wizi basi unajua usio wizi.Ukishajua kua wizi ni jambo baya utaweza kuuliza kua wizi mbele ya nani???
Ameshakuwekea njia ya kupita ya kwenda peponi na nyingine ya motoni, yes ukichagua ya kwenda motoni basi anataka akakuchome.Kwaiyo mungu hataki watu wote waende peponi na ndio maana kaweka kizuizi cha kuwachuja ili sengine wasiende??
Amekwambia ukiasi utaenda motoni, na amekwambia ukitii utaenda peponi. Sasa wewe unataka kufanya lipi?kivipi tena niwe nimechagua mimi wakati mungu ndiye kaniumba nikiwa mdhaifu na kunichagulia ubongo wenye udhaifu usioweza kufata kila jambo ambalo yeye analitaka??
Inamaana alishindwa kubalance kitu atachokitaka yeye namimi nikitake bila kuhoji kinyume chake??Mwenyewe amependa iwe hivo, au umesahau kama Mungu anafanya atakavyo na sio utakavyo wewe? Wewe huoni kuwa akifanya utakavyo wewe, na mwengine atakuwa na vile anavyotaka yeye sasa kila mmoja akiwa na atakavyo itakuaje?
Kipi kigumu katika sentensi hii "Mungu anafanya atakavyo"
Umelitolea majibu ama unaendelea kusisitiza kile ukitakacho wewe Mungu awe? Maana nilikuuliza swali very simple. Kwanini Steve Jobs kaamua aite kampuni yake Apple na asiite tunda jengine au kitu chochote kile, ukaanza kuuzunguka mbuyu.
Mapungufu yapi ambayo hayaoneshi kuwa umeumbwa na omnipotent?
Complex ikihitaji muundaji hata mungu naye ni complex kwasababu kaweza kuumba mtu unaweza kuniambia mungu kaumbwa na nani??Mbona ubongo wa PC tu unahitaji muundaji ili uweze kufanya kazi tena huu wa kiumbe usiwe na Muumbaji.
actually hawezi kua mshenzi kwasababu hayupoYaani Undezi ni pale mifano hai ipo ila unaipuuza, Mugnu hawezi kuwa mshenzi, mshenzi ni yule ambae mifano ipo usoni mwake lakini anaipinga bila sababu za msingi.
Kama ushenzi huja kwa kumpangia mtu, basi hata wewe ni mshenzi maana unanipangia niende kuipangia familia yangu bila mimi kujipangia kwa hiari yanguWewe kama si mshenzi utakuwa nani umpangie Mungu utakavyo? Unashindwa kuipangia utakavyo Familia yako utaweza ya Mungu kweli?
ukitumia akili utagundua mungu hayupo maana akili itadai uthibitisho na sio kuamini tu bila evidence yeyote. Na wasiokua na akili hawajishughulishi na kutafuta ukweli wao kazi yake ni kuamini tuUkitumia akili utagundua kuwa Mungu alitupa Ubongo kwa ajili ya kutafuta elimu na kujifunza, hakutupa ubongo watu wafanye makosa, huo ndio undezi wenyewe, hebu nijibu swali hili, kwanini unawaza kufanya makosa tu na sio kufanya mema?
Kwa ufupi ni hivi; elimu ya Mungu, ujuzi wake na maarifa yake ni tofauti na sisi binadamu.Unajibu kwa kukurupuka hujui hata mantiki ya hilo swali nililokuuliza na sizani kama umelielewa
Mimi sijazungumzia kubadilika kwa maono au lah, na ndio maana nilikua nasisitiza kuuliza kua kama naye anatabia ya kukosea ili niweze kujenga hoja kupitia jibu utalonipa
Nimeuliza kama mungu anajua kila kitu na hakuna kitu utachokifanya leo hii kikawa kigeni machoni mwake kwasababu yeye ni mungu asiyekosea alichokiona ni lazima kiende sawa sawa. Sasa wewe leo hii ukiamua kutoenda kanisani au msikitini utakua umebadilisha chochote katika ujuzi wake kuhusu hatma yako???
Its a Joke on you, spending all those years on earth and one day you die and then nothing? What is the point?
Watatishwa hio siku watakayoingia kaburini, ndipo mtakapojua nani kala hasara. 😀
Mungu na Shetani hawana maana kwako tu ULIECHAGUA kutoamini uwepo wao. Uko HURU kuchagua ivo 🙂
Jibu swali na ukihisi sijaelewa rudia kufafanua
Hakuna hoja ulioitoa ikanishinda hadi sasa, kikubwa naona kuwa unarudia rudia point zako ambazo tayari zimeshatolewa ufafanuzi kitambo tu. Lakini ni majibu yanayokuchukiza kwaio huyakubali, 😀
Huwez kuamini na kujua? 😀 we jamaa kituko kweli. Kanuni ipi inasema ivo?
Kwaio jirani yangu akisema kuwa " hapa mtaani mwizi kapita kwangu kuniibia" uku mimi nikiwa nimeshuhudia mimi mwenyewe nimeibiwa na akaruka kwake, huwa siwezi kuamini alichonambia?
Yaani, KUJUA, KUPANGA, KUAMINI, UHURU hujui kabisa maana ya ivi vitu halafu unataka mjadala?
Kuamini ni nini??Kwaio wewe unaamini Ulimwengu unae muumbaji? Hili swali linahitaji majibu, usiogope.
ujinga ni sign ya uthibitisho kuonesha mungu hayupo. Asante kwa kunisaidia pointImaginary kwako kwa kuchagua kuwa mjinga.
nioneshe mala ngapi? Huwezi kusoma ukaelewa?Onesha hilo lengo.