Ngoja nikufamishe kujichosha ni vipi, labda huelewi.
Kwa mfano unajua kuwa nikienda bandarini saa 12 sitpata boti ya kwenda Zanzibar, halafu ukienda, itakuwa umejichosha tena ni ujinga.
Lakini kama hujui kuwa mda huo hamna boti na ukaenda, basi hujajichosha, utakuwa umejifunza.
Sasa ibada nnayoifanya ni kwa faida yangu mwenyewe, yeye majibu anayo lakini mimi majibu sina ya wapi ntaishia. Yeye ameonesha njia ya kufuata na majibu ya kutegemea ukipitia izo njia. Ukifuata njia anayotaka basi pepo ukienda utakavyo basi moto, sasa mimi sijui yeye anajua mimi naishia wapi kwaio ni kufanya ibada na kuomba niwe wa peponi.
Narudia tena. Bado hujathibitisha najichosha vipi ikiwa MIMI sijui mwisho wangu?