Huna hoja ya kielimu,unapoteza muda tu.Hujaeleza nini maana ya neno "hai"
Hujafafanua unawezaje kujua hiki ni kiumbe katika uhalisia
Hujaeleza Misingi ya lugha gani inasema hakuna kiumbe kisicho hai???
Ukishindwa mara ya kwanza basi yapili fanya makusudi, kujifanya unajua kila kitu sio mchongo kujifunza hauna budi
Ukipata majibu ya maswali yangu,uje kujibu kisha nikupe ufafanuzi wa majibu niliyo kupa baada ya wewe kutaka huo ufafanuzi.
