Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

Wapi hufahamu nlipokwambia kuwa Mjenzi wa Ulimwengu sio Kiumbe? Sasa kama sio kiumbe atajengwa na nani? 😀

Unataka kufananisha na kiumbe chake?
KWANI KISICHOUMBWA KINAMUUMBAJI?
Kuna kitu kisicho kiumbe??

kua mjinga nacho kipaji, najaribu kukuiga ujinga wako lakini nashindwa. Nini siri ya ujinga wako??
 
Likikukuta ujue Mungu kaliruhusu ilo ndio. RUHUSA sio UPANGAJI.

Mungu kaliruhusu jambo likukute ambalo angeweza kulizuia ila akaamua kuliruhusu at the same time hajapanga likukute. Aisee ujinga mzigo sasa hapo unakua umeandika nini??
 
Mungu kaliruhusu jambo likukute ambalo angeweza kulizuia ila akaamua kuliruhusu at the same time hajapanga likukute. Aisee ujinga mzigo sasa hapo unakua umeandika nini??
Yakusanye yote na uyaweke kwa pamoja kwanza.
 
Yakusanye yote na uyaweke kwa pamoja kwanza.
Server za jf zina tatizo kwa upande wa app ukitumia mda mrefu kuandika ina discard automaticaly. Lakini hata hivyo nimekujibu na naendelea kujibu kwa ku quote kila kifungu
 
Ukweli haliongezi uzito zaidi ya kuzidi kukufunga.

Unaposema kuwa namshusha Mungu uwezo wake kwa kuonesha weakness za Binaadam, naomba nikuulize, unamfananisha na nani?

Fundi Maiko ametengeza binaadam?

namfananisha na mzembe yeyote aliyekosa umakini katika kazi yake hadi kupelekea kuharibu kazi yake.

Ishu sio kutengeneza binadamu, ishu ni kutengeneza chochote ambacho kinaweza kua na imperfection. Mungu kutengeneza binadamu mwenye imperfection haina tofauti na fundi maiko aliyetengeneza nyumba yenye imperfection kwasababu wote kazi zao zina imperfections
 
Nimetumia logic tu hapo, yaani bila hata maandishi ya kidini


kwa kutumia logic kipi kilicho kufanya ufikiri kua ni lazima ulimwengu huu uwe umeumbwa??? Kwani haiwezekani kitu kikawepo tu bila chanzo??.

Ili ulimwengu uwepo, lazima pawe na alieuumba.
mpaka hapa ushavunja misingi ya logic
kwanini useme ni lazima pawe na aliyeumba na sio [/I]kilichoumba katika kitu usichokijua?

Na ili huyu alieumba ambae amesema kuwa hajazaa wala hajazaliwa basi awe hajaumbwa

kwanini awe huyu na sio hiki??

Amesema wapi, unauhakika gani kama amesema yeye na sio watu tu wamezusha??




kwa sababu kama angekuwa ameumbwa basi angekuwa na muumbaji wake mpaka infinity na ulimwengu ungekosa order kabisa.
Unaweza kuthibitisha yupo?
 
Wewe utaniona mimi mjinga, lakini mimi nakuona wewe mjinga, kwa sababu kwenye post yangu nimekwisha kwambia zamani jinsi utakavokuja kuuliza, sasa sijui namie nimekupangia 😀
Kusema tu mimi mjinga, kunathibitisha kua mungu hayupo. Mpaka sasa hujaweza hata kuthibitisha uwepo wake


Muumbaji kama sio kiumbe ataumbwa na nani?
nishakuambia Hakuna kisicho kiumbe kwanini huelewi??
 
Mungu hajakupa ubongo wenye errors lakini, amekupa ubongo wenye kupata elimu, sasa kama hukutafuta elimu utamlaumu nani?

kwanini asilaumiwe wakati aliumba ubongo wenye mapungufu huku akijua kua utaelemewa na baadhi ya mambo??

Kwanini asilaumiwe wakati anauwezo wote wakunifanya nipate elimu bila kutafuta???
 
Wapi amekufundisha kuuwa watoto bila hatia?
Wapi kakufundisha wizi?

Wapi huo msingi unaozungumzia ni upi?



Ulisema: wewe ni mjinga kwasababu umeuziwa simu feki

Nikasema: aliyenifanya niwe mjinga naye ni mjinga vile vile kwasababu naye kafanya ujinga wa kumfanya mjinga awe mjinga

Ukasema: aliyekufanya uwe mjinga hawezi kua mjinga

Nikasema: kivipi aliyekufundisha unyama wa kuua watoto bila hatia asiwe mnyama??

Kivipi aliyekufundisha wizi awe mwema wakati bila yeye usingeiba??

Inamaana hata misingi ya dini yenu inaruhusu kufundisha mtu kuua kwasababu mtu huyo akiua wewe hauhesabiwi kua umekosea??

Sasa ulichokijibu kinaonesha hujaelewa
 
Kutokuwa na uwezo wa kitu haina maana ya kuwa na uhuru au La. Kuna swali mbele ya swali na hakuna hata moja ulilojibu.
hakuna nililojibu au hujataka kulikubali jibu kwasababu liko against god?

Mimi naendelea kukujibu, i hope na wewe utayajibu instead of kuzunguka mbuyu
Sio i hope', you dont need to expect for the things that i already did.

Sio kila jambo linawezekana kwa sababu ya limitation aliokuwa nayo kiumbe.
kwenye limitations hakuna uhuru. Umeona unavyojichanganya??

lile ambalo analiweza hazuiliwi.
na lile ambalo haliwezi?

Mbona binadaama tumetuma satellite na imeshatoka kwenye solar system? Miaka 1000 iliopita haikuwezekana.

ni kwasababu binadamu hana uwezo wote na ujuzi wote wakuweza kufanya hayo mambo kwa mda mfupi bila kuangaika.

Mungu wako naye hana uwezo wote na ujuzi wote??

Nitasema unao uhuru kwa sababu kama ungekuwa na uwezo wa kurudisha mda nyuma ungelifanya hilo lakini hujawa nao uwezo huo

uhuru ni nini??
 
misuse of logic

ni kweli kwasababu logic ni compatible kwa vilivyopo ni lazima iwe misuse kwasababu imetumika kuelezea dhana ya kufikirika isiyokiwepo kihalisia
 
Kwani mfano mtu akijua kuwa unampenda Fulani, manake huna uhuru amekuchagulia yeye umpende? Jibu hili swali

huyo mtu unamfananisha na mungu mjuzi wa yote mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye hakosei??
 
Mungu ni Eternal hana chanzo na sio kiumbe

hana chanzo kwasababu hayupo, kwasababu hakuna kisicho kiumbe na umesema mungu sio kiumbe basi mungu huyo sio kiumbe kweli kwasababu hayupo. Unaweza kuthibitisha yupo??
 
Ikiwa humjui Mungu, sikulaumu ukiuliza ivo. Ili uwe Mungu basi uwe na sifa za kiungu.

nikweli kabisa huwezi kua na sababu yenye mashiko kumlaumu mtu kwa kitu kisichokuwepo
 
Unazungumza ikiwa hujatafuta elimu!

nitafute elimu wakati aliweza kunipatia bila kuhangaika kutafuta?? Hana uwezo wakunipa elimu bila kutafuta??

Hana ujuzi wa kujua kua hataweza kuipata elimu hivyo anapaswa kumpa uwezo huo ili aweze kuipata elimu kiwepesi bila matata??
 
Injaalisha dhaifu mbele ya nani

mimi: mavi ni uchafu na haupaswi kula

Wewe: uchafu mbele ya nani?

Mimi: haijalishi mbele ya nani uchafu ni uchafu tu kwani uchafu ukiwa mbele ya nani unakua sio uchafu

Wewe: inajalisha uchafu mbele ya nani

Unaweza ukala mavi endapo kuna mtu atakuambia kua mavi sio uchafu??

Unaweza ukasema mavi sio uchafu ikiwa kuna mtu atakataa kua mavi sio uchafu??

Uchafu utageuka kua usafi endapo kuna watu watasema kua kwa wao ni sio uchafu??

Dhaifu litageuka kua perfect endapo kuna mtu atasema dhaifu si dhaifu???
 
Back
Top Bottom