Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

Hili tamko mawanda ni tamko maarufu sana kwa mtu msomaji na mfatiliaji wa mambo ya kielimu.

Lengo langu huwa ni kutumia lugha nyepesi kadiri ya haja ili nieleweke.

Na ndio maana nimekuuliza ili nijue kwasababu si wote tunapenda kusoma makala za kiswahili.
 
Nikakaa pembeni itasaidia kubadili mitazamo yako dhaifu ?
Hoja dhaifu haziwezi kubadilisha mtazamo wa mtu. uko hapa kwa ajili ya kujipigia promo kanisa lako upate waumini?

Siku ukiwa freethinker utakuja kuelewa
 
Sasa huu utoto mzee. Tafuta Kamusi yoyote,sina link.

Usisahu kujibu maswali yangu.
Kamusi sina, ningekua nayo nisingekusumbua kukuomba unipe link kwasababu lengo langu ni kujua
 
Kamusi sina, ningekua nayo nisingekusumbua kukuomba unipe link kwasababu lengo langu ni kujua
Link sina. Ukipata tafuta ujisomee upate faida.

Naomba ujibu maswali yote niliyo kuuliza mzee.
 
Link sina. Ukipata tafuta ujisomee upate faida.

Naomba ujibu maswali yote niliyo kuuliza mzee.
Haya bishana na kamusi
IMG_20190930_000523_933.JPG
 
Lengo la kukuuliza ilo swali, nataka ujue tofauti ya kupanga na kujua. Mungu mjuzi wa yote anajua kama wewe utasali au la kabla ya kukuumba, kwa sababu yeye ndio mmiliki wa ulimwengu na anawajua viumbe wake. Elimu yake haina mfano.
Mkuu muundaji wa gari tuseme Ferrari linalokimbia kilomita labda 500 akisema alijua gari hilo lingekimbia umbali huo lakini akasema hakulitengeneza likimbie hivyo ataonekana punguani kama siyo muongo.
 
Hoja dhaifu haziwezi kubadilisha mtazamo wa mtu. uko hapa kwa ajili ya kujipigia promo kanisa lako upate waumini?

Siku ukiwa freethinker utakuja kuelewa
Nipate waumini ili niwafanyie au wanifanyie nini ?
Napigia promo kanisa lipi ?

you need to seek medical help before hujawa certified mad maana unaniambia mambo ambayo siyajui na hiyo ni dalili kwamba una tatizo kichwani

Is that what you call free thinking ?
 
Kwani wenye waumini huko makanisani wanawawatumiaje hao waumini?

Inawezekana we ndiyo unatatizo kichwani kwako kufikiri kila mtu unayemuona ana utofauti na mtazamo wako kua ni lazima awe na tatizo
 
Safi kabisa sasa rejea katika kile nilichokuelezea nyuma na kule nilipotumia tamko "Mawanda".

Tunapowaambia msome huwa tunamaanisha.
Muungwana akivuliwa nguo huchutana ila nakuona umesizi tu ni kama huelewi kinacho endelea
 
Back
Top Bottom