Nacheka sana.Muungwana akivuliwa nguo huchutana ila nakuona umesizi tu ni kama huelewi kinacho endelea
Nilitaka ujihukumu mwenyewe lakini naona umekataa,sasa ngoja nikufundishe usio ya jua.
Kwanza maana uliyo itoa haina mashiko sababu imeacha ukweli mzima na kuchukua sehemu ndog katika maana ya elimu.
Maana ya Elimu sio mfumo. Hapa nakupa swali su nakupa akina ya maneno katila uhalisia na matumizi ya tamko lenyewe.
Ukitafsiri Elimu kama mfumo utaulizwa ni nini mfumo wa Elimu fulani na Elimu yenyewe ni nini ? Kwa maana, Maana uliyo itoa haijatoa maana halisi ya Elimu. Tamko Elimu linatokana na tamko la kiarabu "العلم" yaani kujua au kufahamu.
Mawanda maana yake ni hali fulani au aina zote,na hapa zinaingia zile elimu za ufundi na mfano wake.