Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

Na mimi ndio nakuonyesha uongo wa kauli yako,na usiwe una andika jambo usilo kuwa na ujuzi nalo sababu unakuwa unaiokosea adabu elimu.

Lazima uulizwe maswali na uyajibu ili ujue uongo na ujinga wako ulipo,na ujue kutofautisha mambo na uijue mipaka yake,sio kila linalo kujia akili mwako unaliandika,wenye akili timamu lazima wachuje.

Na usiwe unasema hovyo bila kuhakiki kauli zako,ulitakiwa ujue ukweli wa kauli yako kabla ya kuiandika. Lazima ujue kutofautisha uumbaji,uundaji na utengenezaji. Wewe kwa akili yako ya kitoto unaweza kusema Gari nalo ni kiumbe ? Ukiulizwa utasema ni kiumbe kisicho hai,hivi una akili wewe ?

Hakuna lugha yoyote inayoyaweka sehemu moja kujenga,kutengeneza na kuumba kisha yakaleta maana moja. Misingi ya lugha nayo uhukumu.

Kila siku nakwambia juu ya umakini na kuhakiki mambo kabla ya kuandika,ili uepuke kuonekana kituko na mjinga.
Hapa umeongea nini?

Eti sijui naikosea adabu elimu na blah blah mingi.

Kwanza Elimu gani unayoikusudia hapa ambayo unahisi imekosewa adabu?
 
Ok na ndio maana tulikua hatuelewani kumbe wewe umelichukua neno kiumbe kwa dhana ya kuumbwa na sio kiumbe
Unatakiwa uwe unajifunza lugha na aina za maneno. Hapo hakuna maana nje ya hiyo niliyokwambia.

Nakuweka sawa sasa na lugha ndio huanza kisha huja maana za kifani. Ukisoma lugha yoyote kwa undani,maana ya tamko fulani kilugha huwa ina maana pana kuliko maana ya tamko kiistilahi/kifani. Yaani anavyoelezea mtu wa kawaida maji ni nini ni tofauti na atakavyoelezea mkemia maji ni nini ?

Tamko Kiumbe ni jina ambalo huambatana na mtendaji na kitendo chenyewe,yaani hakuna kinyume chake hapo,na tamko hili ni hasa kwa Muumba peke yake na si kinyume chake. Njoo katika uhalisia,leo hii huwezi kusema "Nimeumba gari" na ukaeleweka zaidi ya kukosolewa na kuambiwa "Anae umba ni Mungu pekee".

Mimi sizungumzii kiumbe kwa maana ya creation, nazungumzia kiumbe kwa maana ya living&non living things na ndio maana nasema hakuna kisicho kiumbe umeelewa??
Hakuna kiumbe kabla ya kupitia mchakato wa kumbwa. Huwezi kutenganisha kuumba (Creation) na kiumbe (Being).
 
Kwanza Elimu gani unayoikusudia hapa ambayo unahisi imekosewa adabu?
Laiti ungejua maana ya Elimu usinge uliza swali la kitoto namna hii,inaonekana hujui hata elimu ni nini ?

Hapa nazungumzia elimu na mawanda yake yote.
Hapa umeongea nini?
Hapo nimeongea haki tupu na ukweli wenyewe.
Eti sijui naikosea adabu elimu na blah blah mingi.
Huwezi kuelewa kauli hizo isipokuwa mtu makini mwenye kujishughulisha na misingi ya elimu.
 
Laiti ungejua maana ya Elimu usinge uliza swali la kitoto namna hii,inaonekana hujui hata elimu ni nini ?
Laiti kama ungejua swali langu halijataka viroja usinge koti inaonekana unaandika vitu ambavyo kuvielezea huviwezi na hii sio mara ya kwanza kwako

Hapa nazungumzia elimu na mawanda yake yote.
fafanua ueleweke mawanda ndio nini
Hapo nimeongea haki tupu na ukweli wenyewe.

Huwezi kuelewa kauli hizo isipokuwa mtu makini mwenye kujishughulisha na misingi ya elimu.

Usikimbie swali uliloulizwa. Elimu gani unayoikusudia?
 
Usikimbie swali uliloulizwa. Elimu gani unayoikusudia?
Nacheka sana,umekiri kabisa kwamba hujui nini maana ya tamko "Mawanda" halafu hapa chini unasema tena nimekimbia swali. Huu ujinga huwa nauona kwako tu.

Kwa kutokujuwa kwako mawanda nini ndio maana unaona nimekimbia swali. Kweli ujinga ni giza na elimu ni nuru.
 
Ndio niko nafanya kazi hiyo,ila huwa wagumu kuelewa na wanajidai wajuaji kumbe vituko.
Hiyo hali ya ujuaji inatokana na msukumo wa roho mchafu aliyewajaza hiyo hali ya kukataa uwepo wa muumba wa ardhi na mbingu.
 
Nacheka sana,umekiri kabisa kwamba hujui nini maana ya tamko "Mawanda" halafu hapa chini unasema tena nimekimbia swali. Huu ujinga huwa nauona kwako tu.

Kwa kutokujuwa kwako mawanda nini ndio maana unaona nimekimbia swali. Kweli ujinga ni giza na elimu ni nuru.

Is that what you wanted to??

Uligundua kua ukitumia neno nalolijua nitakugalagaza kwa hoja yako, hivyo umetumia neno nisilolijua ili kuficha upumbavu wako

Unaonekana ni mtu unayependa sana show off yani kucheza na majukwaa, lakini nilishawahi kukwambia kua hayo mashindano yako hapa sio mahala pake nenda kwenye jukwaa la lugha utawakuta wenzako. Hapa mimi hata na hoji kila kitu ili niweze kujua nacho kizungumzia ni nini. Na ndio maana nimekuuliza kua elimu unayoikusudia hapa ni elimu gani baada ya kuona unachokizungumzia kina pingana na elimu nayo ijua mimi

Ukimaliza kucheka rejea swali langu
 
Hiyo hali ya ujuaji inatokana na msukumo wa roho mchafu aliyewajaza hiyo hali ya kukataa uwepo wa muumba wa ardhi na mbingu.
Mwakitwange ungekaa pembeni kuwapisha wenzako naona wewe huoneshi hata afadhali kwenye tatizo lako
 
Ukimaliza kucheka rejea swali langu
Hivi ukiambiwa Kiumbe ni jina unaelewa nini ?
Unaonekana ni mtu unayependa sana show off yani kucheza na majukwaa, lakini nilishawahi kukwambia kua hayo mashindano yako hapa sio mahala pake nenda kwenye jukwaa la lugha utawakuta wenzako. Hapa mimi hata na hoji kila kitu ili niweze kujua nacho kizungumzia ni nini. Na ndio maana nimekuuliza kua elimu unayoikusudia hapa ni elimu gani baada ya kuona unachokizungumzia kina pingana na elimu nayo ijua mimi
Kijana nimekupa ufafanuzi mzuri sana na nimekuonyesha ni namna gani lugha inavyohukumu na kutupa majibu sahihi.

Una maswali yangu kadhaa hujayajibu japo marahisi sana. Ila hakuna hata swali lako nililo acha kujibu.

Namalizana na wewe kwa kukupa maana ya elimu kisha kufunga mjadala na ujihukumu mwenyewe.

Elimu ni kukidiriki kitu au jambo kama lilivyo/kilivyo. Mfano wa elimu ni kama kulenga shabaha kwenye kitu fulani na ukakipata,ile shabaha ndio elimu sasa. Kwahiyo ukiona nakwambia kuhusu Elimu ujue namaanisha hivi yaani naongelea kupatia.

Sasa kwanini ulihitimisha ya kuwa sjajibu swali lako hali ya kuwa hujui maana ya tamko nililo litoa katika kujibu swali lako ? Ujuaji mwingi mwisho unakuwa kituko.
 
Uligundua kua ukitumia neno nalolijua nitakugalagaza kwa hoja yako, hivyo umetumi
Hili tamko mawanda ni tamko maarufu sana kwa mtu msomaji na mfatiliaji wa mambo ya kielimu.

Lengo langu huwa ni kutumia lugha nyepesi kadiri ya haja ili nieleweke.
 
Unaonekana ni mtu unayependa sana show off yani kucheza na majukwaa,
Hapa sijakuelewa lakini pia najiuliza hili limeingiaje hapa ?

Kwamba siruhusiwi kuingia majukwaa mengine na kuchangia au ? Sijakuelewa maana naona kama umetoka nje ya mada hivi. Naomba muongozo wako tafadhali.
 
Hivi ukiambiwa Kiumbe ni jina unaelewa nini ?

Kijana nimekupa ufafanuzi mzuri sana na nimekuonyesha ni namna gani lugha inavyohukumu na kutupa majibu sahihi.

Una maswali yangu kadhaa hujayajibu japo marahisi sana. Ila hakuna hata swali lako nililo acha kujibu.

Namalizana na wewe kwa kukupa maana ya elimu kisha kufunga mjadala na ujihukumu mwenyewe.

Elimu ni kukidiriki kitu au jambo kama lilivyo/kilivyo. Mfano wa elimu ni kama kulenga shabaha kwenye kitu fulani na ukakipata,ile shabaha ndio elimu sasa. Kwahiyo ukiona nakwambia kuhusu Elimu ujue namaanisha hivi yaani naongelea kupatia.

Sasa kwanini ulihitimisha ya kuwa sjajibu swali lako hali ya kuwa hujui maana ya tamko nililo litoa katika kujibu swali lako ? Ujuaji mwingi mwisho unakuwa kituko.
Hiyo maana umeitoa wapi?
 
Hiyo maana umeitoa wapi?
Unauliza tena swali. Ubakubali kwamba ni jina au sip jina ?

Naendelea kukurahisishia swali mpaka ujibu.

Kilimanjaro,Gari,Kiumbe ni majina au sio majina ya vitu ?
 
Back
Top Bottom