leo ukiamua kuenda au kutoenda kanisani au msikitini hujabadili chochote alichokiona mungu kwasababu hakuna kipya kitachofanyika ambacho yeye hakukijua kabla kwasababu ya uhuru alokupa ufanye utakavyo mana hakupangii ufanyee jema au baya.At least saizi umejaribu kujibu
Kwaiyo leo ukiamua kuenda au kutoenda kanisani au msikitini hujabadili chochote alichokiona mungu kwasababu hakuna kipya kitachofanyika ambacho yeye hakukijua kabla kwasababu hauna uhuru wa kubadili chochote kiwe unavyotaka mpaka upangiwe na mungu siyo??