UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 17,386
- 8,678
Siwezi kuthibitisha ila inaonekana atheists wengi ni kama wametokea kwenye imani ya kikristo sijajua ni kwanini.Mimi ni mmojawapo wa wale tusioamini uwepo wa Mungu' ila nilikulia kwenye imani ya kikristo tena wale walokole wa kunena kwa lugha... baada ya kufika umri wa kujitambua,nikajikuta napenda tuu kuchunguza kila kitu kinachohusu dini... hiyo ikanifanya niufuatilie kwa karibu sana uislamu. Kiukweli kabisa ukisoma kwa umakini biblia na quran utagundua kwamba hakunaga MUNGU kabisa yaniii... Na hivi karibuni nikaifuatilia imani ya BUDDHA na hapo ndo nikagundua kwamba mabuddha ni watu wanaojitambua hapa duniani.
Mkuu ni kipi hasa kilichokufanya hadi ukaanza kupenda kuchunguza,na ni kipi hasa ambacho ulikuwa ukikichunguza?