Atheism: Imani nusu na robo

Atheism: Imani nusu na robo

Twende kwa mjadala tuache ubabe wa kukosoa as if unanifahamu....
Hujajibu maswali yangu.

Kujibu maswali ni sehemu ya mjadala.

Nakufahamu kutokana na maandishi yako.

Maandishi yako yana ujinga.

Ujinga unatakiwa kuondolewa.

Ujinga kwamba atheists wote hawaamini Mungu kwa sababu haonekani.

Unafahamu kwamba kufikiri hivyo ni ujinga?
 
Je Mungu ni roho ama siyo Roho?

Roho inaweza kuvaa umbo la kitu chochote?

Je Mungu amewahi kumtokea Musa akiwa katika umbo la moto?

Mshana tafadhali jibu hayo maswali matatu precisely!
Ninekujibu kwa ufasaha hapo juu kuhusu
Conscious mind
Conscious soul
Conscious energy
Kwahiyo hivyo vyote vitatu vyote ni invisible na roho inaweza kuvaa umbo lolote lile
 
Hujajibu maswali yangu.

Kujibu maswali ni sehemu ya mjadala.

Nakufahamu kutokana na maandishi yako.

Maandishi yako yana ujinga.

Ujinga unatakiwa kuondolewa.

Ujinga kwamba atheists wote hawaamini Mungu kwa sababu haonekani.

Unafahamu kwamba kufikiri hivyo ni ujinga?
Nitajibu chenye mantiki tuu
Hii ndio technic yako ya kutaka kupotosha mada...mtazamo wako kuhusu mimi hauzuii uhalisia na ukweli wa kile nilichoandika kwakuwa najua nimeandika nini
Ukiona ni ujinga ni mtazamo wako ambao sihusiki nao
 
Sasa kama hujawahi kumwona Mungu wala kumsikia akiongea, ulizijuwaje sifa zake?
Umeuliza kwa mbwembwe nikafikiri unakuja na hoja ya msingi.

Tufanye hivi kama ili ujue kitu ni lazima ukione au ukisikie chenyewe basi sina cha kufanya niendelee kubishana au kujadiliana na wewe,maana hakuna cha maana tutakachokipata katika majadiliano hayo.
 
Nitajibu chenye mantiki tuu
Hii ndio technic yako ya kutaka kupotosha mada...mtazamo wako kuhusu mimi hauzuii uhalisia na ukweli wa kile nilichoandika kwakuwa najua nimeandika nini
Ukiona ni ujinga ni mtazamo wako ambao sihusiki nao
Unafahamu kwamba si atheist wote hawaamini Mungu yupo kwa sababu haonekani?
 
Ndio naamini hivyo
Sasa kwa nini umeandika ujinga na uongo tofauti kwenye post yako ya kwanza?

Unapotosha makusudi?

Au uko confused tu hujui hata unajua nini huelewi hata unaamini nini, hujui unakwenda au unarudi?
 
Sasa kwa nini umeandika ujinga na uongo tofauti kwenye post yako ya kwanza?

Unapotosha makusudi?
Onyesha huo ujinga na uongo hapa tafadhali hata kwa kuhigh light
Sijapotosha popote..thibitisha
 
Onyesha huo ujinga na uongo hapa tafadhali hata kwa kuhigh light
Sijapotosha popote..thibitisha

Umeandika
Jaribu kumuuliza atheist yeyote kwanini huamini katika Mungu atakwambia kwakuwa hajawahi kumuona! Ila muulize kama alishawahi kuiona akili yake au roho yake...hatakupa jibu moja na la moja kwa moja

Bado hujaona ujinga na uongo wako?
 
Umeandika

Bado hujaona ujinga na uongo wako?
Angalia mtiririko wa post angalia baada ya hapo niliandika nini...kama ningeishia hapo ungekuwa sahihi kabisa lakini bahati mbaya hukutaka kuendelea
Kiranga atheist anayeamini katika Mungu huyo atakuwa hajui ninini mana ya atheism! Je unataka kupotosha nini hapa?
 
ALBADIR ndiyo ilinifanya nianze kuchunguza mambo ya dini, maana ilikua inanipa ukakasi kidogo... iweje MUNGU huyu huyu mwenye upendo kwa watu wake,aweze kuwadhuru vibaya waliokuwemo na mpaka wasiokuwepo kwasababu tuu kuna mtu aliibiwa mbuzi zake huku wengine walikula nyama yake kwenye sherehe bila kutambua?

Basi nilifuatilia mpaka mwisho wake na kupata jibu lililonyooka!
Kwanza ulikuwa unafuatilia ni nini katika hayo ya dini? maana kwenye dini kuna mambo mengi.
 
Angalia mtiririko wa post angalia baada ya hapo niliandika nini...kama ningeishia hapo ungekuwa sahihi kabisa lakini bahati mbaya hukutaka kuendelea
Kiranga atheist anayeamini katika Mungu huyo atakuwa hajui ninini mana ya atheism! Je unataka kupotosha nini hapa?
Unaelewa nilichoandika?

Au unajibu tu bila kuelewa?

Wapi nimeandika chochote kuhusu atheist kuamini Mungu?

Una matatizo ya ufahamu au vipi?
 
Ninekujibu kwa ufasaha hapo juu kuhusu
Conscious mind
Conscious soul
Conscious energy
Kwahiyo hivyo vyote vitatu vyote ni invisible na roho inaweza kuvaa umbo lolote lile
Kwahiyo Imani, dini na Mungu ni matokeo ya Consciousness za watu?
 
Unaelewa nilichoandika?

Au unajibu tu bila kuelewa?

Wapi nimeandika chochote kuhusu atheist kuamini Mungu?

Una matatizo ya ufahamu au vipi?
Sina matatizo ya ufahamu rejea ulichoandika mwanzoni
# post no 168
 
Back
Top Bottom