Atheism: Imani nusu na robo

Atheism: Imani nusu na robo

NDIYO! Atheism inahitaji physical evidence ili kuamini uwepo wa Mungu.Magnetic force huchagizwa na mvutano wa kielektronic baina ya vitu viwili...Electron ni vitu vinavyoonekana....Kuhusu gravitational hiyo ipo wazi, inaweza kuchunguzika na kutoa majibu....je Mungu anachunguzika na kutoa majibu bila msaada wa akili ya binadamu?
Nipe vipimo vya nguvu iliyoshikilia bahari isiweze ku overflow kufunika nchi kavu, vilevile nipe vipimo vya nguvu zinazoweka sayari na nyota zikae sehemu zilipo bila kuingiliana kama umewahi kuzichunguza
 
Una roho au huna roho?

Naenda kilingeni nina session nitarejea alfajiri..naamini utakuwa umenijibu
Kila la kheri,lakini hukujibu maswali yangu tukutane wakati mwingine...kwa mjadala zaidi.
 
Anhaa sasa nimekusoma

Wakati kuna vitu karibu sita atheist wanavyo na dini inavyo, mi ntakuoa baadhi tuu lakini navyo ni

masimulizi, mfano Mungu alimuumba adam, lakini atheist watakuja na evolution

Ethics/maadili, nadhami hapa sina haja ya kueleza wote wana futa hiyo kitu

Mafundisho(doctrine), dini zinatumia quran na bible lakin ma atheist wana tumia vitabu vyao vya kina dawkins, marx na drwin na wengine

Matirio (material), wakati dini ina vitu kama makanisa, sananu na vitu vingine ma atheist wana amini kwenye nature(yaani vitu asilia)

Rituals nadhani kwa kiswahili ni ibada, hiki ndio kigezo kikubwa ambacho ma atheist hawana na ndio kina watofautisha na dini hizo, huwezi kuta atheist anatoa sadaka au ana swali mainly kwa kuwa haamini Mungu

Kwa hiyo wakati ma atheist wana baadhi ya element za kidini, hawana zile za muhimu kuwafanya waifikie dini kabisa ndio maana ni kasema wana fall short kuwa religion ila tabia za ki religion baadhi zimo.
Hahahahaaa...yaani kwa mf. familia yenu ikiwa na ethics, picha, na vitabu juu ya famili itakuwa na element za dini?...BTW tukutane kesho.
 
Nipe vipimo vya nguvu iliyoshikilia bahari isiweze ku overflow kufunika nchi kavu, vilevile nipe vipimo vya nguvu zinazoweka sayari na nyota zikae sehemu zilipo bila kuingiliana kama umewahi kuzichunguza
Mkuu hayo mambo yote sayansi na jografia vina eleza
Lakini hata kama mtu hajui hivo vipimo, bado haioneshi uwepo wa Mungu.
 
Hahahahaaa...yaani kwa mf. familia yenu ikiwa na ethics, picha, na vitabu juu ya famili itakuwa na element za dini?...BTW tukutane kesho.
Ethics si dini lakini ni element ya dini
Familia yangu ikiwa ina ethics itakuwa ina element ya dini ika haitwa dini.
 
Nipe vipimo vya nguvu iliyoshikilia bahari isiweze ku overflow kufunika nchi kavu, vilevile nipe vipimo vya nguvu zinazoweka sayari na nyota zikae sehemu zilipo bila kuingiliana kama umewahi kuzichunguza
Bila shaka hukusoma Geography, hivi ukiweka maji kwenye jagi na kuliweka sehemu kama mezani yata overflow kutoka kwenye jagi?...Sayari zote hazijashikiliwa na chochote ndio maana zinazunguka kwenye orbits zake...BTW tukutane kesho.
 
Mkuu hayo mambo yote sayansi na jografia vina eleza
Lakini hata kama mtu hajui hivo vipimo, bado haioneshi uwepo wa Mungu.
Iweje mnataka kuthibitisha uwepo wa Mungu by mere physical evidence, wakati kuna forces ambazo hamjawahi kuziona, kuzihisi wala kuziquantify na bado mnaamini kwamba zipo?
 
Iweje mnataka kuthibitisha uwepo wa Mungu by mere physical evidence, wakati kuna forces ambazo hamjawahi kuziona, kuzihisi wala kuziquantify na bado mnaamini kwamba zipo?
Hakuna force ambayo mwana sanyasi ka izungumzia halafu haithibitiki, pia mimi si mtaalamu wa hiyo sanyansi ila sanyansi ime prove karibu kila kitu , ni wewe tu kufuatilia, usitake upewe lecture kabisa ndo ujue imethibitsha.
Lakini uwepo wa Mungu haujawahi kuthibitishwa
 
Bila shaka hukusoma Geography, hivi ukiweka maji kwenye jagi na kuliweka sehemu kama mezani yata overflow kutoka kwenye jagi?...Sayari zote hazijashikiliwa na chochote ndio maana zinazunguka kwenye orbits zake...BTW tukutane kesho.
Umewahi kuona au kucomprehend ukubwa wa hizo sayari na namna zinavyozunguka kwenye njia zake, una evidence kwamba maji ya bahari yamekaa kwenye eneo mfano wa jagi in relation na nchi kavu na kwamba hakuna nguvu nyingine yoyote inayohitajika kuyazuia
 
Hakuna force ambayo mwana sanyasi ka izungumzia halafu haithibitiki, pia mimi si mtaalamu wa hiyo sanyansi ila sanyansi ime prove karibu kila kitu , ni wewe tu kufuatilia, usitake upewe lecture kabisa ndo ujue imethibitsha.
Lakini uwepo wa Mungu haujawahi kuthibitishwa[/QUOTE
Sayansi huwa inatoa na vipimo stahiki, nipe hivyo vipimo au nipe references nikasome mkuu
 
Uliza kipimo gani mi nikupe refernce. Kuwa specific.

Ila na wewe nipe ushahid kuwa mungu yupo
 
View attachment 395344

Je atheism ni;
Kuabudu miungu?
Kuabudu shetani?
Kuabudu masanamu?
Kuabudu vitu ?
Ama kutoabudu chochote?

Kila imani ina maelezo fulani kwenye chochote na kila swali lina jibu lake tusiiweke sayansi kwenye kundi la imani..hili ni Somo kama masomo mengine

Kutoamini chochote ni mkanganyiko tu wa akili kwakuwa mwisho wa siku utajikuta unaangukia kwenye imani yoyote japo kwa kificho na imani ya kutoamini chochote ni imani isiyotimia

Atheism maana yake: "Hakuna imani kwa Mungu." Theism ni: "Kuamini kuwa Mungu yupo." Monotheism: "Kuamini kuwa yupo Mungu mmoja tu." Pantheism: kwamba: " Mungu yupo katika kila kitu kilichomo ulimwenguni". Polytheism: "Kuamini kuwa wapo miungu wengi sana." Kuabudu sanamu ni "Idolatry"; Kuabudu vitu bado ni "Idolatry". Kuabudu shetani ni "Devil Worshipping', ama "Satanism." Kutoamini mungu yeyote sina maelezo anaitwaje mtu huyo ama inaitwaje hali hiyo. Niliambiwa na rafiki yangu mmoja kuwa, kuna nchi fulani ya Asia Kusini Mashariki kama huna dini yoyote hupewi viza. Kwani mtu ambaye hana dini hafai kabisa kwa maoni yao. Sijui tumwiteje mtu wa aina hii ambaye haamini mungu yeyote. Lete maoni.
 
Uliza kipimo gani mi nikupe refernce. Kuwa specific.

Ila na wewe nipe ushahid kuwa mungu yupo
Ndugu, kama kwa ufahamu mwingi unaodai kuwa nao, yet huwezi kucomprehend hata robo ya universe, unawezaje kuhitimisha kwamba hakuna Mungu. Anyway, ushahidi kwamba Mungu yupo upo wazi, ni swala la kufumbua macho tu na kuona. Kwa heri..
 
Hahaha
Mimi sina ufahamu, ila najua sayansi inajibu maswali yangu yote. Na najua nikisema nifuatilie majibu ntapata.
Na wewe una uvivu wa kitafuta knowledge halafu una msingizia Mungu
Kufumba macho na kufumbua si kazi ya Mungu ni action ya kwenye mwili wangu mwenyewe.

Tukutane kesho
 
Mi huwa nashindwa kuelewa ni vp kusema hakuna mungu kuhusianishwe na sayansi? wakati kuna wanasayansi wa kila imani,kama kusema hakuna mungu kungekuwa kuna mahusiano na sayansi basi kusingekuwa na wanasayansi wanaoamini mungu.
 
View attachment 395344

kwenye ulimwengu wa vipimo kuna ujazo mbalimbali kama robo nusu na kitu kamili nk.. nusu mbili hutengeneza kitu kamili robo mbili hutengeneza nusu.

Kuna kamchezo ukimtuma mtu asiye mwaminifu akuletee kitu kinachohusika na vipimo kupiga bao! Ukimtuma kilo moja yeye ataleta nusu na robo.

Duniani tuna imani mbalimbali kuanzia zinazoabudu Mungu mmoja,miungu vitu vinavyoonekana hata masanamu kwenye hizi imani kuna mitifuano na mikanganyiko mingi tuu..lakini kiboko ya imani zote ni hii isiyomwamini Mungu mmoja

Jaribu kumuuliza atheist yeyote kwanini huamini katika Mungu atakwambia kwakuwa hajawahi kumuona! Ila muulize kama alishawahi kuiona akili yake au roho yake...hatakupa jibu moja na la moja kwa moja

Hii ni imani isiyotimia isiyojua dhima yake mwanzo wake wala muktadha wa nini inasimamia

Ni imani chongo yenye kengeza barobaro...ikiamini isichokiamini..ikifuata isichokijua

Je atheism ni;
Kuabudu miungu?
Kuabudu shetani?
Kuabudu masanamu?
Kuabudu vitu ?
Ama kutoabudu chochote?

Kila imani ina maelezo fulani kwenye chochote na kila swali lina jibu lake tusiiweke sayansi kwenye kundi la imani..hili ni Somo kama masomo mengine

Kutoamini chochote ni mkanganyiko tu wa akili kwakuwa mwisho wa siku utajikuta unaangukia kwenye imani yoyote japo kwa kificho na imani ya kutoamini chochote ni imani isiyotimia
Kweli kabisa
 
Watu mnajifanya ma~expert kwenye atheism wakati hamjawahi kua atheist, hata kukutana na moja bado zaidi ya kusoma ujinga hapa na pale kwenye internet ulio andikwa na watu wenye chuki binafsi kama nyie. Mnafanya assumptions tu.

Binadamu kiumbe wa ajabu sana, mtu ambaye hayupo group moja na nyie mnamuona ka mnyama, hamuwezi kubali tu kua sio wote lazima waamini mnachokiamini?
 
Yaaani huwa naboreka sana na baadae nacheka mwenyewe pale nnapoona vi-atheist uchwara vya hapa bongo hususani humu JF vinavyojitutumua kujionesha wao ni viumbe wenye akili sana na hata kuwaadaa wengine wenye mtazamo wa kiimani tofauti na wao.

Kwanza ukifuatilia wanavyojibu maswali kwenye mjadala unagundua hata wao tu wenyewe hawajui kiundani hicho wanachosimamia, na hawajui kwa sababu ni ulimbukeni na ujinga ndio chanzo cha wao kufuata hilo shimo walilolichimbia japo wao wanajiona wana 280IQ zinazooperate at 130%.

Na ukitaka kuona hauwezi ukapata anaejua atheism ni nini humu bali ni malimbukeni flani tu hivi ambao wako brainwashed, Kiranga anakwambia atheism ni imani wakati huo kuna huyu anaejiita CHARMILITON yeye amekazania atheist sio imani bali ni kutoamini katika chochote wakati huo tunaambiwa atheist ni kinyume cha theist na theist maana yake ni muamini Mungu.

Kuna maswali mpaka leo hii bado sijajibiwa humu na hawa self-proclaimed atheists wa humu na hii ni kutokana na wao kutegemea hiyo science yao ambayo kimsingi ina limitation na bado ni changaa sana tukianza kutafuta majibu ya kila kitu.

Kwanza mpaka leo hii bado sijaona atheist wa kiafrika aliyofanya makubwa katika dunia hii sembuse ndio hawa vidagaa wa humu.
 
Back
Top Bottom