Atheism: Imani nusu na robo

Atheism: Imani nusu na robo

Sina matatizo ya ufahamu rejea ulichoandika mwanzoni
Inaonekana sio tu una matatizo ya ufahamu, bali pia huna hata udadisi wa kujua kwamba mtu akikwambia una matatizo ya ufahamu unaatakiwa angalau uulize kwa vipi na kwa nini kasema hivyo.

Wewe sio tu una matatizo ya ufahamu, pia una ujinga wa kutotaka kujua matatizo gani ya ufahamu uliyo nayo.
 
Hayo ni yako sikuzuii kuwaza hivyo kwakuwa mimi sio wewe
Na kwakweli siwezi kukuuliza kitu ninachokijua
Nguvu kubwa unayotumia hapa ni kutaka kukwepesha ukweli wa atheism kuwa imani barobaro
 
Umesema kwamba atheists wote hawaamini Mungu kwa sababu Mungu haonekani.

Umeandika.

Jaribu kumuuliza atheist yeyote kwanini huamini katika Mungu atakwambia kwakuwa hajawahi kumuona! Ila muulize kama alishawahi kuiona akili yake au roho yake...hatakupa jibu moja na la moja kwa moja

Unakubali hiki ulichosema ni uongo na ujinga?
 
Umesema kwamba atheists wote hawaamini Mungu kwa sababu Mungu haonekani.

Unakubali hiki ulichosema ni uongo na ujinga?
Siwezi kujibu kitu nilichokwisha tolea ufafanuzi...kwakuwa umekisoma ni juu yako kukubaliana nacho ama kupingana nacho kwa mtazamo wako
 
Umetoa ufafanuzi bila kurekebisha huo uongo na ujinga uliouandika katika original post yako?

Ondoa ujinga huo basi kwenye original post.

Hivi hata unaelewa ninachoandika hapa?

Au unafanya ubishi wa jadi tu?
 
Sasa unanipa burudani hivi ningekuwa sijui nilichoandika ningeandika kweli?
Hivi kwanini unataka kulazimisha mtazamo wako ndio uwe wangu?
Hivi kwanini unafikiri wewe ndio uko sahihi na mimi siko sahihi
Sitabadilisha hata nukta ya kile nilichoandika kwakuwa nimeandika nikijua fika kuwa kutakuwa na mitazamo mingi tofauti na huu wako ukiwa ni mmojawapo
Bila kujali uta underrate vipi hii post bado huo utabaki ni mtazamo wako
 
Mbona unasema hutabadilika wakati ushakubali kubadilika tayari?

Hivi unaelewa unachoandika au unajiendea tu?
 
aidha una tatizo la kuelewa au pumzi inakata nimebadilisha nini sasa hapo
 
Umeandika uongo na ujinga.

Umekubali kwamba umeandika uongo na ujinga kwa kusema muendelezo wako unaelezea Zaidi ya original post.

Unakataa ku edit original post kuondoa uongo na ujinga wako.

Wewe ama una matatizo ya uelewa kiasi kwamba hata huelewi ninachozungumzia, au ni mtu unayetaka kupotosha tu kwa makusudi kwa kutumia uongo na ujinga wako kwenye original post.
 
bado unazidi kuandika hisia na mitazamo binafsi wewe ndio ulitaka kunitoa kwenye mada husika nikakulazimisha kubaki hapo sasa unakuja na poor reasoning kama hii! Duu...!
 
Naomba hiyo nukuu tafadhali...kumbuka nilikwambia kuhusu roho kuvaa umbo lolote
Mimi naona hawa ni wazinguaji tu....je roho kuvaa umbo lolote na kuwasiliana na mtu,...kuna ushahidi gani kwamba huyo ndiye Mungu?...huoni kuna hatari ya kuabudu mizimu ya watu pamoja na hallucinations zao?
 
Sasa hapa ndio neno imani neno dini linapokuja kinyume chake ni kutaka ithibati za kisayansi kwenye mambo ya kiroho kitu ambacho hakiwezekaniki
 
Sasa wakija watu 2 wanaosema Mungu kawatokea katika umbo flani nimwamini yupi? na je nimwamini kwa 100%?
 
Suala la imani ni kitu cha binafsi mno kwahiyo utaamua kuamini au kutoamini kutokana na vile utakavyoona wewe mwenyewe na kwa uamuzi wako binafsi baada tu ya kujiridhisha
 
Back
Top Bottom