Atheism: Imani nusu na robo

Atheism: Imani nusu na robo

Lazima uelewe uwepo wa Mungu una thibitishwaje, ila usiseme hauja thibitishwa
Hilo ni tatizo,kwa sababu kuna wengine wanataka wamuone ndiyo kwao itakuwa uthibitisho,kuna wengine wao wanaamini huwezi kuthibitisha lakini bado wanadai uthibitisho.
 
Hawana argument yoyote ya ushawishi kuonesha kuwa hakuna Mungu hawa wanaojiita atheist sema wao ni kama critics tu wa Mungu. Na hiyo science ndio kabisa kuna mambo kibao ambayo haiwezi kukupa majibu ya uhakika tukianza na hiyo universe.
Nasikia hao maatheist walizunguka dunia yote kumtafuta Mungu hawakumwona, ndo wakaja na hitimisho kwamba hakuna Mungu. Let say Mungu yupo kwenye one of the planet, mfano. pluto, hivi kuna scientist aliyewahi kufika kwenye all the billions of planets and stars zilizo kwenye universe aje na hitimisho kwamba hakuna Mungu, have they searched all the depths of the oceans? au ndo mambo ya hoja ya nguvu
 
Tatizo unachosikia si kweli halafu unakimeza tu.
 
Wamekuelewa
Hawawezi kukiri wana msimamo mkali wa kiimani na wanajiona wako sahihi kuliko wengine
Ukikataa kuburuzwa na misimamo yao utapata mipasho ya kila aina hata mpumbavu utaitwa eti kwasababu tu hukubaliani nao! SO AMAZING...!
 
Una wazo na plan nzuri katika kutaka kuchanganua mambo.

Lakini unachokizungumza kinaonyesha dhahiri kuwa hujafahamu imani nyingi na concepts zao.

Cha kuongezea ili kujuzana zaidi; sio kili dini/imani inaamini katika ku-question uwepo wa Mungu au kutokwepo kwake. Imani kama Buddhism na Taoism haziamini wala hazifundishi hizo concepts na wana logical explanation about the nature of the universe na mwanadamu.

Kuamini uwepo wa mungu au kutoamini does not mean ni/ndio foundation ya imani.
 
Nakubaliana na wewe kabisa,
 
kitabu cha biblia kinakanganya sana pia kina makosa mengi.Lakini tangu nianze kusoma kurani sijabaini kosa hata moja km lipo mtu anijuze
surat at toor inasema:au wao wameumbwa pasipo kutokana kitu chochote,au wao ndio waumbaji?au wao wameziumba mbingu na qrdhi?bali hawana na yakini
 
Tatizo unachosikia si kweli halafu unakimeza tu.
Nimeuliza, have you searched the entire universe ili mje na hitimisho kwamba hakuna Mungu. Kuna mtu alishafika kwenye sayari ya Jupiter, kwa mfano, au ni maeneo yepi mlitarajia kumkuta Mungu.
 
Kusema hakuna mungu kunahitaji imani utake usitake ndiyo hivyo,hata Kiranga anakubali hili na ndiyo maana anasema kuna imani sahihi na potofu. Mtu anakwambia et alianza kuutafuta ukweli,lakini haelezi ukweli ni nini hasa kilichopelekea hadi akaanza kuutafuta huo ukweli na ni ukweli upi aliyokuwa anautafuta.

Kama ulikuwa hujui nini hasa ulichokuwa unakitafuta basi kuishia kusema hakuna mungu si ajabu maana ulikuwa hujui ukitafutacho.
 
Una wazo na plan nzuri katika kutaka kuchanganua mambo.

Lakini unachokizungumza kinaonyesha dhahiri kuwa hujafahamu imani nyingi na concepts zao.

Cha kuongezea ili kujuzana zaidi; sio kili dini/imani inaamini katika ku-question uwepo wa Mungu au kutokwepo kwake. Imani kama Buddhism na Taoism haziamini wala hazifundishi hizo concepts na wana logical explanation about the nature of the universe na mwanadamu.

Kuamini uwepo wa mungu au kutoamini does not mean ni/ndio foundation ya imani.
Apollo naona hukunielewa au pengine hukutaka kunielewa concept ya mada hii kwa muktadha wa kiimani
Tafadhali jaribu kunisoma tena na hata michango ya walionipinga ama kukubaliana nami
 
Nilikuelewa vyema. Nikaona mzizi wa kuona atheism ni imani nusu au robo unatokana na kutofahamu kwenye logic kwanini atheism sio imani na unaweza kuwa atheist usiwe na imani na kwa upande mwingine nikaongezea mfano wa kuwa kuna atheists wana dini lakini bado ni atheists na dini walizopo hazipingani na wao kabisa. Na nimeona umetambua hilo. Ili nimetoa mifano zaidi ili kufahamishana zaidi. Sijakupinga.

Endapo duniani kungekuwa na ukristu na uislam au na uyahudi tu, mtu ambaye haamini au asiye na imani ya uwepo wa Mungu wangeonekana ni dini au aina nyingine ya imani. Kwa maana kwamba atheism ingekuwa ni dini/imani ya kivyake.

Lakini kama kuna dini zingine mfano Taoism ambazo hazina mafundisho ya kuhusiana na uwepo au kutokwepo kwa Mungu na wameacha hizo concepts kuwa personal matter, means wana atheists na non atheists members and that disqualify to call atheism a religion au imani.

Atheism is a paradigm not a belief au dini. Kwa sababu duniani kuna dini ni theism, kuna dini zinafundisha non-theism na kuna dini hazifundishi theism wala non-theism mfano Buddhism na Taoism.

Kwa western religions huwezi kuwa mkristu halafu ni atheist. Huwezi kuwa muislam ukawa atheist wala huwezi kuwa myahudi ukawa atheist. Kwa sababu dini hizo zimekuwa rooted na imani ya Mungu fulani mfano Allah, au Jehovah au YHWH.

Lakini kwa Asia mfano Buddhism inafundisha misingi ya kuishi ambayo haitakudhuru wewe wala wanadamu wenzako na viumbe na dunia ndio foundation ya imani zao (kwa sababu hakuna ajuaye Mungu yupo au hayupo na hakuna anayeweza kudhibitisha na sio kitu cha lazima kuliko kutenda mazuri). Wao ukiamini kuna Mungu au usiamini ni juu yako. Cha msingi tenda mazuri katika maisha yako na tenda chenye manufaa kwako, wanadamu wenzako na viumbe na mazingira. Kuamini Mungu au kutoamini mungu sio jambo la lazima au sehemu ya imani. Asia wanafanya imani kwa muunganiko wa sayansi na nidhamu. Kwao ukiamini Mungu huku unatenda maovu na matendo yenye madhara kwako na kwa wanadamu wenzako wewe hujitambui na kama hujitambui hata huyo mungu unajidanganya lakini ukiamini mungu au kutoamini mungu huku you do good then you are right.

So Mshana, Atheism ni mtazamo na sio imani. Kuna atheists wana dini na dini zao zina maelekezo ya kutosha na mazuri juu ya nature ya mwanadamu na ulimwengu bila kushirikisha beliefs za uwepo au kutokwepo kwa Mungu. Pia unaweza kuwa atheist huamini dini yoyote. Haiitaji dini kujua kuwa tunapaswa kutenda mema. Mwanadamu mwenye akili timamu hata asipofundishwa kuwa ukitenda baya lina madhara atajua tu hiyo fact hata kwa kutazama nature ya maisha.
 
Nilikuelewa vyema. Nikaona mzizi wa kuona atheism ni imani nusu au robo unatokana na kutofahamu kwenye logic kwanini atheism sio imani na unaweza kuwa atheist usiwe na imani na kwa upande mwingine nikaongezea mfano wa kuwa kuna atheists wana dini lakini bado ni atheists na dini walizopo hazipingani na wao kabisa. Na nimeona umetambua hilo. Ili nimetoa mifano zaidi ili kufahamishana zaidi. Sijakupinga.

Endapo duniani kungekuwa na ukristu na uislam au na uyahudi tu, mtu ambaye haamini au asiye na imani ya uwepo wa Mungu wangeonekana ni dini au aina nyingine ya imani. Kwa maana kwamba atheism ingekuwa ni dini/imani ya kivyake.

Lakini kama kuna dini zingine mfano Taoism ambazo hazina mafundisho ya kuhusiana na uwepo au kutokwepo kwa Mungu na wameacha hizo concepts kuwa personal matter, means wana atheists na non atheists members and that disqualify to call atheism a religion au imani.

Atheism is a paradigm not a belief au dini. Kwa sababu duniani kuna dini ni theism, kuna dini zinafundisha non-theism na kuna dini hazifundishi theism wala non-theism mfano Buddhism na Taoism.

Kwa western religions huwezi kuwa mkristu halafu ni atheist. Huwezi kuwa muislam ukawa atheist wala huwezi kuwa myahudi ukawa atheist. Kwa sababu dini hizo zimekuwa rooted na imani ya Mungu fulani mfano Allah, au Jehovah au YHWH.

Lakini kwa Asia mfano Buddhism inafundisha misingi ya kuishi ambayo haitakudhuru wewe wala wanadamu wenzako na viumbe na dunia ndio foundation ya imani zao (kwa sababu hakuna ajuaye na hakuna anayeweza kudhibitisha na sio kitu cha lazima kuliko kutenda mazuri). Wao ukiamini kuna Mungu au usiamini ni juu yako. Cha msingi tenda mazuri katika maisha yako na tenda chenye manufaa kwako, wanadamu wenzako na viumbe na mazingira. Kuamini Mungu au kutoamini mungu sio jambo la lazima au sehemu ya imani. Asia wanafanya imani kwa muunganiko wa sayansi na nidhamu. Kwao ukiamini Mungu huku unatenda maovu na matendo yenye madhara kwako na kwa wanadamu wenzako wewe hujitambui na kama hujitambui hata huyo mungu unajidanganya lakini ukiamini mungu au kutoamini mungu huku you do good then you are right.

So Mshana, Atheism ni mtazamo na sio imani. Kuna atheists wana dini na dini zao zina maelekezo ya kutosha na mazuri juu ya nature ya mwanadamu na ulimwengu bila kushirikisha beliefs za uwepo au kutokwepo kwa Mungu. Pia unaweza kuwa atheist huamini dini yoyote. Haiitaji dini kujua kuwa tunapaswa kutenda mema. Mwanadamu mwenye akili timamu hata asipofundishwa kuwa ukitenda baya lina madhara atajua tu hiyo fact hata kwa kutazama nature ya maisha.
Nimekupata vizuri sana asante kwa nyongeza na ufafanuzi wa ziada
muktadha wa mada hii ilikuwa ni wale atheists wenye mizizi ya kiimani lakini hawakiri kuwa hiyo ni imani
Nimeishi na wachina ambao tangu kuzaliwa kwao hawajui chochote kuhusu Mungu miungu au aina yoyote ile ya imani wapo kama walivyo na ni ngumu kuweka nao mjadala
Hawa tunaopingana nao humu wana background kwa sehemu kubwa ya ukristo, wamesilimu na yeyote aliyesilimu anakuwa na msimamo mkali sana sijui ni kwa nini
 
Back
Top Bottom