Atheism: Imani nusu na robo

Haya tuendelee hakuna shida
Wewe huna haki ya kuamua wapi hakuna shida na wapi kuna shida.

Shida ipo.

Umeandika uongo, ujinga na uvivu.

Rekebisha ulichoandika kabla ya kusema hakuna shida.

Usiporekebisha shida lazima iwepo.
 
Wewe huna haki ya kuamua wapi hakuna shida na wapi kuna shida.

Shida ipo.

Umeandika uongo, ujinga na uvivu.

Rekebisha ulichoandika kabla ya kusema hakuna shida.

Usiporekebisha shida lazima iwepo.
Sitarekebisha chochote Kiranga eti kwakuwa tu wewe umesema au mtazamo wako unaona hivyo never..! Wewe ni nani mpaka ujione uko sahihi kuliko mimi? Ita uongo Ita ujinga Ita uvivu sibadilishi hata nukta! Umeshasema zaidi ya mara kumi kuwa mimi ni muongo na nimeandika ujinga nimekukatalia mara zote hizo kwahiyo usidhani kuwa unaweza kunibadili msimamo wangu sasa ukiweza badili wako na sikulazimishi kwakuwa una maamuzi binafsi
 
Mkuu, nashangaa kwa nini watu wanaleta ubishi. Kukiri kwamba Mungu au shetani hayupo ni lazima ujenge imani kwamba hakuna Mungu wala shetani, likewise kukiri kwamba Mungu ama shetani yupo ni lazima ujenge imani katika mafundisho hayo.
Sio lazima mkuu mfano mdogo nikisema hakuna binadamu mwenye Macho matatu si lazima nianze na imani
 
Sayansi inaonyesha jinsi vitu vilivyo, bila kuonyesha kusudi lake. Why are we here? What is purpose of life? Biblia inatoa maana na lengo la vitu ivo.
Unaweza kunisaidia mkuu wewe unajua unalengo gani kuu hapa duniani????
 
Naona umemkataa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umekataa lakini hujaweza kukanusha (kwa maana ya disprove). Kuna tofauti.

Na wewe huijui.

Kwa sababu wewe ni muongo, mvivu na mjinga.
 
Umekataa lakini hujaweza kukanusha (kwa maana ya disprove). Kuna tofauti.

Na wewe huijui.

Kwa sababu wewe ni muongo, mvivu na mjinga.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] at least you can repeatedly say this...but you can't go beyond trust me
 
Kuna wakati watu karibu dunia nzima waliamini jua linazunguka dunia.

Kuna wakati karibu dunia nzima iliamini dunia ni bapa, ukienda na meli sana baharini utaangukia nje ya dunia.

Kuamini hivyo hakukufanya hayo yawe kweli eti kwa sababu tu wengi wameamini hivyo.

The truth is not democratic. It is autocratic.
 
Kama wewe si mjinga , muongo na mvivu, kwa nini hutaki kusahihisha uongo, ujinga na uvivu uliouandika katika original post?
Mkuu usipoteze time yako kwa huyo kiumbe,yeye alishajiaminisha tayari kua humu JF yeye ndio kila kitu! Wakati kiuhalisia hana ajualo zaidi ya kuleta humu mada za Kufikirika na za kishirikina tu,

Amesha zowea kuwapotosha watoto wa Shule humu!
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] at least you can repeatedly say this...but you can't go beyond trust me
Do you want me to? Are you daring me?

Mimi kama walii, kwenye haya mambo si mgumu kukupa unachotaka.

Halafu ulalamike "Kiranga kanitukana".
 
Do you want me to? Are you daring me?

Mimi kama walii, kwenye haya mambo si mgumu kukupa unachotaka.

Halafu ulalamike "Kiranga kanitukana".
Mara zote mtukanifu ni mtu aliyeishiwa hoja kwahiyo ukifanya hivyo sitashangaa
 
Mkuu usipoteze time yako kwa huyo kiumbe,yeye alishajiaminisha tayari kua humu JF yeye ndio kila kitu! Wakati kiuhalisia hana ajualo zaidi ya kuleta humu mada za Kufikirika na za kishirikina tu,

Amesha zowea kuwapotosha watoto wa Shule humu!
Leo kakutana na kigingi kinachokwenda kwa facts.

Kabaki anawayawaya tu.
 
Mara zote mtukanifu ni mtu aliyeishiwa hoja kwahiyo ukifanya hivyo sitashangaa
Wewe ndiye uliyeishiwa hoja.

Ndiyo maana unaniomba nikutukane ili mimi nionekane sina hoja.

Umesema kila atheist anaamini kwamba Mungu hayupo kwa sababu Mungu haonekani.

Huo ni uongo, ujinga na uvivu ambao umekataa kuusahihisha hata baada ya kuelezwa hilo.
 

I notice there is something wrong with your comprehension dude, i never state in my explanations that atheists should cease to use westerners argument to defend their position, that is another infelicitous misinterpretation of yours.... what i actually meant they shouldn't look down on those with different dogmatic views while themselves they are still neophytes in their own beliefs.

Anyway since you are now telling me you've much faith in science for everthing, you've just disclosed to me you're another lost soul here..!! In my opinion science is still in infant stage,
there is much about nature it simply does not give the answer. There was still some of its theories there were modified and liable to change in future if there are available accurate evidences and explanations. So why would you lean on a discipline which has its own limitations?...I am sure
you would agree with me that science has its own limitation. If you disagree so check out different scientific theories and tell me why there are a lot of criques extended by those theories?

Science itself suffers from nearsightedness since its massive weapon is observation, what it cannot observe directly or indirectly it simply ignores it or just holds the speculation as a conclusion and there discrepancy between speculation and fact rationally. I am not too religious to discredit science whatsover, but it cannot be used to dismiss the idea that God exists.

However, there is no place science claims God never exist but it's you atheists continually resort to logical fallacy when dealing with ant-atheist and mention science as an authority for your claims, unfortunately it is plagued by its own flaws.


Mimi sina tatizo na wewe kuwa atheist na wala sijakuzuia kutumia evidence zozote kwenye arguments ninachopenda mimi ni mtu kuwa reasonable kwa watu wengine na ujuaji ndio huwa unafanya tunakuwa na endless debate humu. Na kuna maswali mpaka leo sijajibiwa na maatheist wenzako humu huko tayari nikuulize huku ukitumia hiyo science yako kunijibu?
 
Mimi nimekuomba?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] amazing!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…