abdulrahmana
JF-Expert Member
- Aug 4, 2016
- 225
- 132
Unaposema vitabu vyetu vya dini vinakanganya,inabidi uanishe ni vitabu gani na wapi vinakanganya.Nakuunga mkono ndugu mshana jr , tatizo kinachowapa jeuri atheist ni baadh ya mikanganyiko iliyopo kwenye vitabu vyetu vya dini… ila kiukwel ulichosema ni sahihi
Mathalani sisi katika dini yetu tunaamini ya kuwa maneno ya Mola wetu hayakanganyi.Kutokana na hilo,ndipo mwanazuoni wetu aitwaye al Imamu ash-Shawkaniy akasema "Maneno ya Mola hayagongani,ukiona au kuhisi yanagongana,basi cha kwanza ituhumu akili yako ya kuwa haijadiriki jambo hilo au ituhumu elimu uliyonayo,bila shaka umekosa kitu katika jambo husika".Au kama alivyosema imamu,Mola amrehemu.
Pia naomba msaada juu ya tamko "Atheist" kwa Kiswahili sanifu.