Asante kwa uchambuzi mzuri! Hiki kinachoitwa atheism ni kikundi cha watu wenye imani ya Mungu mmoja waliosoma Misahafu na kutokubaliana nayo kwenye vifungu kadha hasa kwenye vifungu vya kusamehe miujiza visasi kifo na uzima wa milele
Kiuhalisia atheism ni dhana nyepesi isiyo na misingi yoyote bali mtazamo wao mkuu ni kukosoa Biblia takatifu na uwepo wa Mungu mkuu
Kama Mungu anasikia hata ukiomba kwa sauti ndogo anaweza pia kuwasikiliza wanaoomba kwa sauti kubwa hivyo usiwahukumu hao unaosema wanapayuka. Hoja yako haina maana hasa katika kipengele chq kumuomba Mungu.Mkuu Mshana:
Hakuna shida kwa Atheists kutoamini kwamba Mungu yupo.Kumuamini Mungu ni jambo linaloweza kutokea muda wowote,mahali popote na kwa hata tusiyowatarajia.Hapana ubishi kwamba Mungu yupo na "project" yake ya kuhakikisha kila mtu anarudi kwake(kwa kuwa kila mmoja ametoka kwake) sio jambo dogo hata kidogo.Linafanyika ukiwa conscious or subconscious na hata completely unconscious(dead).
Hao Ma-atheist sio ajabu hata muda wa kuondoka kwao duniani hupewa nafasi ya kukiri kwamba huyo ambaye walikuwa hawamkubali ndiye ana-end up sasa life span yao.Unakumbuka jamaa mmoja katika wale waliokuwa wamesulubiwa pamoja na Yesu "alivyoiba" Mbingu dakika za mwisho mwisho? Hii inatufundisha jambo kubwa sana.Hakuna anayejua mtu wakati wa kuondoka duniani huwa anaongea nini na Mungu wake. Kinachoongea na Mungu ni nafsi sio mdomo wala miguu ile inayompeleka mtu kanisani.Mungu ana-deal na nafsi ya mtu zaidi.Ndio maana huwa nawashangaa watu wanaomba kwa makelele wakifikiria ndo "signal" za maombi yao zinamfikia Mungu.Mtu yuko peke yake lakini anapayuka payuka mithili ya Simba nyikani eti yuko kwenye maombi. Mungu "anasikia" hata undetectable/unquantifiable frequencies za maombi yetu.
Kwa hiyo unataka kusema kuna walioumbwa kutimiza kusudi la Mungu kama akina Yuda?.Nakubaliana nawe juu ya misingi ya imani yao.Jambo la msingi ni hili:Mungu ni Complex phenomenon kuielewa kwa akili ya mwanadamu inayotumia nyenzo zile tano za milango ya fahamu.Na pili Mungu ametuumba kwa uwezo tofauti tofauti.Wako wenye akili na uweza mkubwa.Hawa ni wahojaji mahiri(critics) na wengine uwezo wa kati na wengine uwezo mdogo.Kwa hiyo Atheists kama hawa bila kuwepo maswali magumu kama hayo wanayoiyaibua kuhusu uwepo wa Mungu pengine watu wa TaaliMungu(Theology) wasingeumiza vichwa ili kutafuta majawabu ya hoja kama hizo.
Mshana, ukinzani wa uwepo wa Mungu upo katika namna nyingi.Rejea kwa mfano wa Sauli(baadaye Paulo).Huyu pia alikuwa fundamentalist Atheist(mjahidina mpinga Mungu).Lakini unakumbuka Mungu alivyoamua kumbadilisha kuwa Fundamentalist Christ Follower(Muumini aliyepindukia wa imani ya Ukiristu).Hii maana yake ni nini?Ni kwamba watu hao hao wanaokanusha kwa nguvu au kwa hoja motomoto juu ya uwepo wa Mungu basi Mungu baadaye huweza kuwatumia kwa nguvu ile ile ya hoja au nguvu za mwili kumueneza kwa wengine uwepo wake.Kwa hiyo Mungu anaweza kuwa ameruhusu jambo hili kwa makusudi.
Working principle ya Mungu ni uncomprehendable.Angalia: Yesu anakufa ili kuturudishia uhai.Yuda na genge lake wanawezeshwa kumkamata Yesu(wakati siku nyingine huko nyuma walikuwa wakimtafuta bila mafanikio) na hii yote ili yatimie yatimie "mradi wa ukombozi".Jambo la kuelewa ni kuwa kuwepo kwa God Positivisits na God Negativists ndio kunaleta utimilifu/ukamilifu.Je hii si kwa macho na akili ya kibinadamu ni uncomprehendable phenomenon?
Mkuu mshana, ukweli ni kuwa pande zote zina mapungufu anuwai kulingana na hoja wanazozijenga.View attachment 395344
kwenye ulimwengu wa vipimo kuna ujazo mbalimbali kama robo nusu na kitu kamili nk.. nusu mbili hutengeneza kitu kamili robo mbili hutengeneza nusu.
Kuna kamchezo ukimtuma mtu asiye mwaminifu akuletee kitu kinachohusika na vipimo kupiga bao! Ukimtuma kilo moja yeye ataleta nusu na robo.
Duniani tuna imani mbalimbali kuanzia zinazoabudu Mungu mmoja,miungu vitu vinavyoonekana hata masanamu kwenye hizi imani kuna mitifuano na mikanganyiko mingi tuu..lakini kiboko ya imani zote ni hii isiyomwamini Mungu mmoja
Jaribu kumuuliza atheist yeyote kwanini huamini katika Mungu atakwambia kwakuwa hajawahi kumuona! Ila muulize kama alishawahi kuiona akili yake au roho yake...hatakupa jibu moja na la moja kwa moja
Hii ni imani isiyotimia isiyojua dhima yake mwanzo wake wala muktadha wa nini inasimamia
Ni imani chongo yenye kengeza barobaro...ikiamini isichokiamini..ikifuata isichokijua
Je atheism ni;
Kuabudu miungu?
Kuabudu shetani?
Kuabudu masanamu?
Kuabudu vitu ?
Ama kutoabudu chochote?
Kila imani ina maelezo fulani kwenye chochote na kila swali lina jibu lake tusiiweke sayansi kwenye kundi la imani..hili ni Somo kama masomo mengine
Kutoamini chochote ni mkanganyiko tu wa akili kwakuwa mwisho wa siku utajikuta unaangukia kwenye imani yoyote japo kwa kificho na imani ya kutoamini chochote ni imani isiyotimia
ChaterMaster umeongea vizuri lakini kuna mahali nitapingana nawe! Maendeleo ya sayansi hayajaletwa na ma atheist, kuna wanasayansi wengi tu waliofanya makubwa ambao sio ma atheistMkuu mshana, ukweli ni kuwa pande zote zina mapungufu anuwai kulingana na hoja wanazozijenga.
Wanaosema wanaamini Mungu/Spirits wana hoja zao kulingana na reference wanazotumia na wasioamini ulimwengu wa roho wana reference zao pia, sitaki kuingia ndani sana maana ni somo refu na wengi wetu tunafahamu.
Sifa kuu waliyonayo maAtheist ni uwezo wa kushugulisha akili zao to the maximum hata kuvumbua mambo no makubwa ya kisayansi ambayo bila wao nazani dunia inge chelewa sana kudevelop. Nasema hv kwa sababu ktk misingi mikuu ya waamini Mungu ni kuwa kila kitu kiliumbwa na hakuna haja ya kuja na mawazo mbadala ya kumchalenge Mungu-sasa kwa akili hii sizani kama tungefika hapa kwa teknolojia tuliyonayo ya kwenda hadi Sayari za Jupitter, Mars na ile Planthon iliyogunduliwa juzi juzi tu hapa yenye sifa sawia na dunia tuishiyo
Kama Mungu anasikia hata ukiomba kwa sauti ndogo anaweza pia kuwasikiliza wanaoomba kwa sauti kubwa hivyo usiwahukumu hao unaosema wanapayuka. Hoja yako haina maana hasa katika kipengele chq kumuomba Mungu.
Soma Biblia ya kiingereza version tofauti toauti neno kupayuka kisha uje hapa. Wambaduo Mungu watamwabudu katika roho na kweli na wanaoongozwa na Roho ndio wana wa Mungu. Hakuna kanuni maalumu ya kumwomba Mungu ila kuna kigezo kimoja tu uwe katika Roho na kweli. Hiyo ya sauti haijalishi hata kidogo sema tu katika kila jambo kuwe na kiasi na upendo ikiwa kuna mtu anakwazwa kwa unalofanya basi.Ni sawa mkuu kwa ulilosema kuwa Mungu anasikia "sauti tulivu"(isiyotetema mawimbi ya sauti" na sauti zenye kutetema mawimbi.Lakini ukisoma sentensi yangu inayozungumzia kupayuka bila shaka utaona tofauti tofauti kubwa kati ya "kupayuka" na kuongea.Hata Mungu ameonya juu ya kumuomba kwa kupayuka.Anataka tuongee naye na sio kupayuka.Najua unataka uthibitisho wa hilo.Soma Injili ya Matayo 6:5-7.Hapo Yesu anatoa praying principle.Anasema unaposali usipayuke payuke kama mtu mnafiki!Kamusi ya Kiswahili inaweza kukupa tafsiri nzuri ya kupayuka.Mungu ni mtu wa utaratibu maalumu na unaopendeza.Hapendelei "vocal" au "mistari" zisizokuwa na mipangilio.Kama sisi tunaweza kukataa wimbo wowote labda wa Diamond kwa sababu vocal yake inakera unafikiria Mungu itakuwaje?Yeye si atakuwa anachukizwa zaidi?
Mkuu, tuwe wakweli tu.Maombi ya namna ile ambayo hakuna anayemsikiliza mwingine unafikiria ni sala kweli?Sala lazima iwe na Mpangilio maalumu.Unaikumbuka sala kuu(Baba yetu) aliyoifundisha yeye mwenyewe Yesu Kristu?Ukiisoma unapata picha gani?Hivi kweli maneno yale yanaweza kuwa yalikuwa yanatoka kwenye kinywa cha mpayukaji?
Kwa hiyo unataka kusema kuna walioumbwa kutimiza kusudi la Mungu kama akina Yuda?.
Nimekuelewa sana mkuu. Maana hata Petro alimkana Master Jesus mara tatu ila aliomba msamaha kwa machozi sana akujinyonga aisee. Asante na Barikiwa sana.Mkuu:
Kwa hatua ya sasa na ya kiimani naweza sema hivyo.Dhambi ya Yuda haikuwa katika kumtoa Yesu kwa Mayahudi bali kwa kitendo chake cha kujinyonga.Ilikwisha kukubaliwa kuwa ni lazima mmoja afe(kati ya zile nafsi tatu za Mungu) ili kurudisha uhai wa mwanadamu.Mungu anapata shida na dhambi zetu tunaposhindwa kuomba huruma yake(msamaha wake). Sisi kwa asili ni wakosaji (tu wadhaifu) kila mara na ndio maana Mungu akatuwekea principle ya kuondoleana dhambi:kusameheana 7*70.
Unakumbuka hata Adamu na Eva tatizo lao ilikuwa kushindwa kuomba msamaha?Katika kile kisa cha Adamu na Eva haya ndio yalijitokeza:
1.Wote wawili walitoweka kabisa na kwenda kujificha hadi Mungu alipoamua kuwatafuta.Baada ya kubaini wamekosa hawakutaka kumtafuta Mungu.Hawakuona kuna haja ya kwenda mbele za Mungu kuji-report au "kujisalimisha").
2.Baada ya kusailiwa na Mungu juu ya kilichotokea hakuna mahali wanasikika kuomba msamaha wala kujutia zaidi ya kusema tu kuna "Mtu" ndiye chanzo cha yote hayo.Adamu anasema Eva ndio tatizo na Eva anasema "shetani" chanzo cha yote hayo.Kwa hiyo kuleta visingizio kwenye dhambi ndiyo shida wala sio dhambi yenyewe.
Kwenye matunguli mengi Wapi?Mshana umeenda usangi au ugweno
Hii ni kwa ajili ya nini?mshana jr ATHEISM SIYO IMANI.Haisapoti kuamini katika chochote(Mungu, Shetani wala kitu cha kujitengenezea) kinachoonekana au kisicho onekana.Pia kwenye Atheism hakuna kuamini uwepo wa roho.Kwenye Atheism hakuna kumtambua Mungu hivyo hakuna cha kupinga au kuamini katika Mungu.Hakuna haja ya kujisumbua kuiona roho maana haipo, vile vile unaposema kuiona akili, tambua kwamba akili ni mjumuiko wa vitu vingi kama:
Reasoning
Memory storage
Recalling
Spatial ability/function
Thinking etc.
Hizo ni kazi ya cell za ubongo...Brain cells ndizo zinazofanya kazi mbalimbali ambazo kwa ujumla ndio zinaitwa akili.
Kama kuna sehemu umekosea ni kusema kuwa Atheism ni imani...Hii siyo imani maana haiamini wala kusimamia chochote....Atheism ni kule kuishi huru bila kufungamana wala kuamini chochote.
Atheism is the absence of belief in the existance of deities....Atheism is a rejection of belief that any deities exist.Hii ni kwa ajili ya nini? View attachment 395814View attachment 395815na ndio maana nikasema kuwa atheism ni imani nusu na robo kwakuwa inajichanganya mno