Athari za ukatili zinavyowatesa walimu

Athari za ukatili zinavyowatesa walimu

Failures mkuu unamaanisha nini?
Umeangalia cross cutting points za kujiunga na ualimu hata ngazi ya cheti tu?
Uwe unafanya hata simple research kabla hujaanza kuandika
Tatizo sio failures, kwanza hao failures wako hawapo hata kwenye ualimu na ajira za serikali
Lete hoja mkuu achana na viloja
Huyo amekaa kwa shemeji yake ambae ni mwalimu kwahyo hampi poket mane ndo mana ameamua kumchimba huku
 
Na mwalimu mwenye future huwezi mkuta anadunda watoto hovyo huwa ni muungwana sana hasa yule asiyejihusisha na mapenzi na wanafunzi huyo huwapita wote.
 
Akili za kutawaliwa na wakoloni bado zipo kichwani mwako.Uliona wapi ufaulu umeongezeka kwa kuchapa wanafunzi?

Walimu wanachapa watoto ili kupunguza stress za maisha magumu lakini wanapowaumiza huishia matatani huku serikali ikiwapa kisogo.
Sawa.
 
Wewe utakubali kuchapwa bakora na mwanaume mwenzio mbele ya mke na watoto wako?
Mbona mnachapwa tu na polisi mkizingua?Nashauri hata wazazi wasumbufu wachapwe tu.
Au nimekosea ndg yangu?
 
Mbona mnachapwa tu na polisi mkizingua?Nashauri hata wazazi wasumbufu wachapwe tu.
Au nimekosea ndg yangu?
Ndio maana nimekuuliza je wewe utakubali kutandikwa bakora mbele ya mkeo na watoto wako?
 
Ualimu ni kada inayotia Huruma sana
Ccm, ma bank,saccos,wamewafanya ndio mtaji wao.

Mlivyo ndezi zaidi hata wale jamaa Wa hiyo hela tuma kwenye no hii walengwa ni nyie,wanawafanyia timingi tu.
Mmetutoa ujinga sisi ambao sio mwalimu afu eti mkabaki nao ninyi.

Mwalimu wastaafu wengi wanapigwa na matapeli Yale mafao y

Kwa taarifa yako serikali ni watu,.......Serikali ni sisi mlokuwa mnatunyanyasa, dharirisha, dharau,kutunenea mabaya na adha kadha wa kadha, alafu mnategemea vipi tuwakumbuke. Tatizo mnajisahau sana mnashindwa kujua kwamba mnafundisha malaika ambao karama zao hazijajulikana wakati huo we ushakuwa mwalimu tiyari na ni irreversible. Sisi ndiyo watunga Sera bwana........
usikariri mkuu Maisha ya sasahivi ni timing tu wapo walimu walio na maisha safi
 
Kwa taarifa yako serikali ni watu,.......Serikali ni sisi mlokuwa mnatunyanyasa, dharirisha, dharau,kutunenea mabaya na adha kadha wa kadha, alafu mnategemea vipi tuwakumbuke. Tatizo mnajisahau sana mnashindwa kujua kwamba mnafundisha malaika ambao karama zao hazijajulikana wakati huo we ushakuwa mwalimu tiyari na ni irreversible. Sisi ndiyo watunga Sera bwana........
2645575_2477640_2457376_JamiiForums-621070314.jpg
 
Mkuu kwani sasa hivi kuna kizazi chenye maarifa na adabu?
Pita huko mitaani uone tabia za wanafunzi wa secondary na hayo maarifa unayosema.
Maybe maarifa na tabia ni kuwaza ngono, kutongozana na kukesha kwenye vigodoro pia kuvuta bangi.
Well na ujinga uliopitiliza.

Mimi nasoma shule na hakuna hayo unayosema zaidi ya walimu kutafuta kuogopeka na wanafunzi kuwaona walimu kama demigods na kuwa waoga kupitiliza.

Bakora hazisaidii mtoto kuelewa wala kuwa na adabu zaidi ya kumtia uoga.

Kama unapinga niambie how bakora zinatia adabu na kumfanya mtoto kuelewa..?
Kama ni mwanafnz lazm utapinga bakora,kazan kusom usisubir ad bakora
 
Yaani mamlaka hazijali maslahi ya waalimu kisa walifanyiwa ukatili?????Ama kweli Mungu huko alipo anatuona taifa la ajabu sana.
 
Ukatili wangefanyiwa kweli wangekuwa viongozi?Wangeona hata njia ya kupita?Baba yangu aliwahi kuniambia kuliko mtu akose akili Ni bora afe.Nimeamini ya Didas Masaburi,kuna watu wanawaza kwa kutumia makalio.Na ndio maana Marehemu Masaburi alikataa kuomba radhi kwa kauli yake hiyo.Tutafika tu liwe jua iwe mvua.Kila mmoja atashinda mechi zake.Hapo ndipo patamu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ticha wamekutibua Hawa jamaa.achana nao bana usije ukamaliza makalio ya watoto wetu aise.
Nimegundua hayana shukurani kabisa, tunayafundisha Hadi kutoa kamasi yakishajua yanaleta dharau
 
Ukiona mwalimu anakimbilia kuchapa wanafunzi ujue kichwani mweupe hajui chochote.Ukali ndo kama defense yake.

Halafu walimu wakati mwingine wanabananishwa na wanafunzi wanakula kipigo mtaani hadi wanatia huruma.
Hunijui tu we kilaza ndio maana ulitoka na ufaulu mdogo
 
Hiyo hela ni mkopo mwalimu ya kununua bodaboda.

Isingetosha kununua my wife wangu.by the way walimu tunawaheshimu sana mmetufundisha ila ni kada ya watu mandezi 2.
Ndezi mamaako aliekufundisha ujinga wa kudharau walimu
 
Kama ulitandikwa fimbo na mwalimu miaka 7+ iliyopita na bado una kisasi na mwalimu huo ni upumbavu na ni ishara ya kuwa una moyo dhaifu sana na Kama ni wa kiume bas Ni mlamba lips tu
 
Kama ni mwanafnz lazm utapinga bakora,kazan kusom usisubir ad bakora
Unadhani katika maisha yangu yote mimi nilishawahi kupigwa kisa kutokusoma au kufeli?

Nimeandika fact sasa jibu hiyo fact kwa fact usikimbie maswali kama walimu wala usiruke au kupinga mada.
 
Back
Top Bottom