sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,769
- 8,976
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuhusu walimu,jamii tunatia chumvi nyingi sana.
Walimu wa sasa si wa miaka ile.
Wengi wana maisha mazuri tu.
Pia,ni wana mchango mzuri
katika jamii.
Binafsi,bila fimbo na adhabu
za walimu nisingefika hapa.
IKUMBUKWE;
Matoto ya leo,na Mazazi ya leo
yaliyo mengi ni mashenzi.
USHAURI;
Nashauri walimu,wawapige
hadi wazazi,ili tuwe na jamii
yenye adabu.
Serikali,ione namna ya kuwapatia walimu mafunzo ya kijeshi ili uwepo ufanisi.