Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,812
- 6,441
Akionesha roho mbaya huku akipinga roho mbaya. Kaandika ugomvi wake na mwalimu wake mmoja, anasema "walimu"Finally mtu amesemema kilichokuwa behind hearts
Akionesha roho mbaya huku akipinga roho mbaya. Kaandika ugomvi wake na mwalimu wake mmoja, anasema "walimu"Finally mtu amesemema kilichokuwa behind hearts
Nimeamini wewe ni mwalimu. Kuna watoto wana roho mbaya kuliko za al shabab.Kuhusu walimu,jamii tunatia chumvi nyingi sana.
Walimu wa sasa si wa miaka ile.
Wengi wana maisha mazuri tu.
Pia,ni wana mchango mzuri
katika jamii.
Binafsi,bila fimbo na adhabu
za walimu nisingefika hapa.
IKUMBUKWE;
Matoto ya leo,na Mazazi ya leo
yaliyo mengi ni mashenzi.
USHAURI;
Nashauri walimu,wawapige
hadi wazazi,ili tuwe na jamii
yenye adabu.
Serikali,ione namna ya kuwapatia walimu mafunzo ya kijeshi ili uwepo ufanisi.
Sisi walimu bhana serikali imetudharau sana lakini huduma yetu mnainunua private schools kwa pesa mingi na mmetulia wala hamfurukuti.
Mimi si mwl boss,lkn nilipita huko kipindi nimemaliza form six.Nimeamini wewe ni mwalimu. Kuna watoto wana roho mbaya kuliko za al shabab.
Sijui wewe kama kweli ulielimika vizuriNiseme ukweli, nikikutana na teacher yeyote anahangaika huwa simwonei huruma, kwasababu tangu nianze kusoma, maticha waliokuwa na upendo nikathibitisha wananipenda kama mtoto ninayewategemea wanifundishe, wachache sana.
Kuna ticha mmoja alinisaidia, alikuwa na moyo mwema, Mungu alishamwondoa siku moja nikakutana naye amekuwa Afisa Elimu wa Mkoa fulani hivi. inaonyesha watu wengi aliowafundisha kwa upendo ndo wamempigia mapande. Nilifurahi sana. Ukiwa na moyo mwema utafanikiwa, ukiwa mkatili wale unaowapiga ndo maboss wako au maboss wa watoto wako baadaye, utakutana nao tu.
Kuna siku nilichapwa na waalimu wengi fimbo hadi nilisahau idadi. siku hizi nakutana nao Mungu kanijalia maisha nimewazidi mbaliiiiiii, wanaishia kupunga mkono tu na kujichekelesha.
Hujafanya utafiti wewe,walimu sada hivi mambo yao safi,wana nyumba nzuri,wana magari ,watoto wao wamesoma .Walimu wanalipwa mshahara na wana shughuli zao nje ya ualimu.Acheni kukariri.Habarini,
Moja kwa moja kwenye uzi.
Chanzo cha walimu kuwa kwenye maisha magumu na maslahi duni ni kutokana na ukatili wa walimu wa mwanzo kabisa waliofundishwa na wakoloni kwa ukatili, yaani fimbo sana, manyanyaso kwa wanafunzi wa wakati huo ambapo urithi wa ukatili umeendelea mpaka zama hizi.
Kwanini walimu wawe duni kimaisha ni kwa sababu mtu akipata madaraka hawezi kupigania maslahi ya mwalimu maana anakumbuka kuwa alifanyiwa vibaya hivyo hakuna haja ya kumpigania mtu hatari, ndiyo maana kada duni ni ualimu kwa level zote yaani walimu wa msingi mpaka vyuo vikuu ni hoi.
Hapa ukatili upo mwingi hata kutungiwa mitihani migumu, kufelishwa, kutopewa alama za halali kwenye mitihani na nk. Walimu badilikeni na jamii ibadilike ili viongozi wawakumbuke katika tawala zao.
Hawa Wa huku kwetu wameridhika na maisha yao,kwa sababu kipindi cha uchaguzi huwa ni wasimamizi so wanapata allowance.Nyie mnapiga domo hapa Huku Ujerumani Mwalimu ndio kada inayolipwa Vizuri ya kwanza kabisa infact Mwalimu ni cheo na Kazi kubwa ya Maana hapa Ujerumani.
Mkuu unaongelea walimu ama Traffic police.Hujafanya utafiti wewe,walimu sada hivi mambo yao safi,wana nyumba nzuri,wana magari ,watoto wao wamesoma .Walimu wanalipwa mshahara na wana shughuli zao nje ya ualimu.Acheni kukariri.
Hapa kilichopo wanaoandika Ni watoto wadogo ambao ama bado wako shule au ndo Kwanza wakemaliza bado hawajayajua maisha na bado wana hasira.Walimu wa Sasa hivi wanakula bata,Kama maisha kuwa magumu Ni kwa waajiriwa wote hasa wa serikali.Ukisema walimu tu ,umechemka.Walimu ndi ngao yetu na wametufundisha vitu vingi ,Kama Kuna waonevu Ni wachache Sana.Kuhusu walimu,jamii tunatia chumvi nyingi sana.
Walimu wa sasa si wa miaka ile.
Wengi wana maisha mazuri tu.
Pia,ni wana mchango mzuri
katika jamii.
Binafsi,bila fimbo na adhabu
za walimu nisingefika hapa.
IKUMBUKWE;
Matoto ya leo,na Mazazi ya leo
yaliyo mengi ni mashenzi.
USHAURI;
Nashauri walimu,wawapige
hadi wazazi,ili tuwe na jamii
yenye adabu.
Serikali,ione namna ya kuwapatia walimu mafunzo ya kijeshi ili uwepo ufanisi.
Hiv wewe unavyosema walimu wako duni umefanya utafiti? Na je huo utafiti wako umefanya idadi ya watu wangap?Habarini,
Moja kwa moja kwenye uzi.
Chanzo cha walimu kuwa kwenye maisha magumu na maslahi duni ni kutokana na ukatili wa walimu wa mwanzo kabisa waliofundishwa na wakoloni kwa ukatili, yaani fimbo sana, manyanyaso kwa wanafunzi wa wakati huo ambapo urithi wa ukatili umeendelea mpaka zama hizi.
Kwanini walimu wawe duni kimaisha ni kwa sababu mtu akipata madaraka hawezi kupigania maslahi ya mwalimu maana anakumbuka kuwa alifanyiwa vibaya hivyo hakuna haja ya kumpigania mtu hatari, ndiyo maana kada duni ni ualimu kwa level zote yaani walimu wa msingi mpaka vyuo vikuu ni hoi.
Hapa ukatili upo mwingi hata kutungiwa mitihani migumu, kufelishwa, kutopewa alama za halali kwenye mitihani na nk. Walimu badilikeni na jamii ibadilike ili viongozi wawakumbuke katika tawala zao.
Naongelea walimu na ninawajua sijahadithiwa.Walimu wana kila kitu na wako huru muda hauwabani.Kwa mtu mzembe Ni kweli ana maisha magumu lakini kwa mwenye bidii,wanamiliki hadi shule.Gift schools Ni za mwalimu,st anne Maria alikuwa mwalimu,st Mathews alikuwa mwalimu etc,etc ,etcMkuu unaongelea walimu ama Traffic police.
Unazungumzia walimu Wa mjini labda.au unaongelea wakistaafu wanapata mafao majority ndo wanaanza maisha.
Ugumu wa maisha Kwa sasa ni Kada zote , acheni kuwasema walimu Bana, roho mbaya ya mwalimu ndio inayomtengenezea maisha mtoto wakoHapa kilichopo wanaoandika Ni watoto wadogo ambao ama bado wako shule au ndo Kwanza wakemaliza bado hawajayajua maisha na bado wana hasira.Walimu wa Sasa hivi wanakula bata,Kama maisha kuwa magumu Ni kwa waajiriwa wote hasa wa serikali.Ukisema walimu tu ,umechemka.Walimu ndi ngao yetu na wametufundisha vitu vingi ,Kama Kuna waonevu Ni wachache Sana
Mkuu w unaongelea mwalimu mmojammoja waliobahatisha maisha.Naongelea walimu na ninawajua sijahadithiwa.Walimu wana kila kitu na wako huru muda hauwabani.Kwa mtu mzembe Ni kweli ana maisha magumu lakini kwa mwenye bidii,wanamiliki hadi shule.Gift schools Ni za mwalimu,st anne Maria alikuwa mwalimu,st Mathews alikuwa mwalimu etc,etc ,etc
Naongelea walimu na ninawajua sijahadithiwa.Walimu wana kila kitu na wako huru muda hauwabani.Kwa mtu mzembe Ni kweli ana maisha magumu lakini kwa mwenye bidii,wanamiliki hadi shule.Gift schools Ni za mwalimu,st anne Maria alikuwa mwalimu,st Mathews alikuwa mwalimu etc,etc ,etc
Ukiona mwalimu anakimbilia kuchapa wanafunzi ujue kichwani mweupe hajui chochote.Ukali ndo kama defense yake.Mimi ni Ticha na kesho watakaochelewa nawatindua fimbo za kutosha. Na hayo maisha magumu mnayosema mbona Mimi Sina?
Hata katika fani zingine siyo wote wenye maisha mazuri.Madaktari ,wanajeshi ,manesi nk kibao wana maisha ya taabu.Kuna nesi mstaafu kakaa kwenye kibanda changu Mbagala mwaka mzima bila kulipa hata mia ,nilimtoa kwa nguvu ya serikali.Hata hivyo bado nasisitiza ,ajira ni utumwa.Mkuu w unaongelea mwalimu mmojammoja waliobahatisha maisha.
Ila in general walimu sio wajanja kihivyo,Bi mkubwa alikuwa teacher so najua mateso yao.
Au kubeba mandazi na barafu kwenda kuuzia watoto ujanja.
Akili za kutawaliwa na wakoloni bado zipo kichwani mwako.Uliona wapi ufaulu umeongezeka kwa kuchapa wanafunzi?Kuhusu walimu,jamii tunatia chumvi nyingi sana.
Walimu wa sasa si wa miaka ile.
Wengi wana maisha mazuri tu.
Pia,ni wana mchango mzuri
katika jamii.
Binafsi,bila fimbo na adhabu
za walimu nisingefika hapa.
IKUMBUKWE;
Matoto ya leo,na Mazazi ya leo
yaliyo mengi ni mashenzi.
USHAURI;
Nashauri walimu,wawapige
hadi wazazi,ili tuwe na jamii
yenye adabu.
Serikali,ione namna ya kuwapatia walimu mafunzo ya kijeshi ili uwepo ufanisi.
Bwa shehe mbona Kama umenishambulia na misimamo yetu ni sawa!Ugumu wa maisha Kwa sasa ni Kada zote , acheni kuwasema walimu Bana, roho mbaya ya mwalimu ndio inayomtengenezea maisha mtoto wako
Tukumbuke kipindi cha Corona shule vilivyo fungwa, kila mzazi alikuwa anatamani shule zifunguliwe mtoto aende shule
Hii inatuonyesha shule ni sehemu salama
Kule kinachonunuliwa ni Kiingereza tu sio elimu mkuu.Ingekuwa ni elimu hata shule za kata ipo japo ni duni na unakuta mwalimu ni mtu mwenye alama za chini za ufaulu ndo anakuwa mwalimu.Unajua mimi ni mwalimu
Walimu wana professional ambitions zao ikiwemo kuona wanafunzi wao wanafanya vizuri
Hamna mwalimu anaefundisha mwanafunzi wake akitazamia kuwa ashindwe na kesho aone mwanafunzi wake aliemfundisha ameishia kuwa kilaza (kangi). Mwl. huwa anajisikia vibaya sana
Na labda niwaambie huwezi kulipa fadhira ya nguvu anazotumia mwalimu kumfundisha na kumlea mwanao
Itoshe tu kusema mwalimu ametimiza wajibu wake na wewe useme asante
Serikali ndio inapaswa kuangalia maswala ya motisha wewe unapelekaje mwanao kwa mtu usie na mkataba nae?
Halafu huko private mbona mnalipa mamilioni na watoto wenu wanapata matokeo yaleyale yanayopatikana katani (public schools)?
Sisi walimu bhana serikali imetudharau sana lakini huduma yetu mnainunua private schools kwa pesa mingi na mmetulia wala hamfurukuti.