Athari za ukatili zinavyowatesa walimu

Athari za ukatili zinavyowatesa walimu

Kule kinachonunuliwa ni Kiingereza tu sio elimu mkuu.Ingekuwa ni elimu hata shule za kata ipo japo ni duni na unakuta mwalimu ni mtu mwenye alama za chini za ufaulu ndo anakuwa mwalimu.
Umekosea.mtoto Wa form two aliyesoma shule za kata huwezi kumsimamisha na mtoto Wa private darasa LA sita.
Kama we ni zao la kata chukua daftari lako la darasa la tatu B ulipokuwa shule,.kisha chukua daftari la mwanao ambaye yuko tushiime PR school linganisha tofauti utakayoipata uniambie.
Sanasana mtakuwa saw a kwenye somo la kiswahili.
 
Wengine wazazi walishawatelekeza, bila jitihada za walimu wala leo msingekuwa hapo mlipo na kufikia kuwadharau. Mkumbuke tu hakuna mwalimu anafundisha mtoto ili akashindwe maishani, kufanikiwa kwenu ndio furaha yetu.

Sasa wewe na vinyongo vyako unajitesa mwenyewe maana kwa mwalimu ameshatimiza wajibu wake. Anzeni na wazazi wenu then ndio mlaumu walimu, maana wangewafunza adabu yasingewakuta ya kuwakuta. Kuna watoto wanaanza shule hadi anamaliza hajawahi hata kugombezwa, ni kwasababu wazazi wamefanya nafasi zao vizuri.
 
Jaribu kutafakari maana ya utumwa.
Ualimu ni kada inayotia Huruma sana
Ccm, ma bank,saccos,wamewafanya ndio mtaji wao.

Mlivyo ndezi zaidi hata wale jamaa Wa hiyo hela tuma kwenye no hii walengwa ni nyie,wanawafanyia timingi tu.
Mmetutoa ujinga sisi ambao sio mwalimu afu eti mkabaki nao ninyi.

Mwalimu wastaafu wengi wanapigwa na matapeli Yale mafao yao.
 
Wengine wazazi walishawatelekeza, bila jitihada za walimu wala leo msingekuwa hapo mlipo na kufikia kuwadharau. Mkumbuke tu hakuna mwalimu anafundisha mtoto ili akashindwe maishani, kufanikiwa kwenu ndio furaha yetu.

Sasa wewe na vinyongo vyako unajitesa mwenyewe maana kwa mwalimu ameshatimiza wajibu wake. Anzeni na wazazi wenu then ndio mlaumu walimu, maana wangewafunza adabu yasingewakuta ya kuwakuta. Kuna watoto wanaanza shule hadi anamaliza hajawahi hata kugombezwa, ni kwasababu wazazi wamefanya nafasi zao vizuri.
Shida ni kuwa mnaelimisha wengine wanaelimika umbumbumbu mnauchukua ninyi.
 
Tatzo s kukomoan ila kizazi chenyew kinahtaj kufwatiliwa,mi n mwalimu staacha kuchapa tena maths,vingnevyo tutakuj kuw na kizaz kischokuw na maarifa wala adab.com kizaz@
 
Tatzo s kukomoan ila kizazi chenyew kinahtaj kufwatiliwa,mi n mwalimu staacha kuchapa tena maths,vingnevyo tutakuj kuw na kizaz kischokuw na maarifa wala adab.com kizaz@
Kuandika kwenye hujui masikini, na unajiita mwalimu!.

Nina uhakika huko shuleni unafundisha ujinga mtupu!

Si ajabu wenye mamlaka wanawadharau na kuwaona kama vijakazi duni.
 
Kuandika kwenye hujui masikini, na unajiita mwalimu!.

Nina uhakika huko shuleni unafundisha ujinga mtupu!

Si ajabu wenye mamlaka wanawadharau na kuwaona kama vijakazi duni.
Ndg yang kam unaon mwanao anaonew mfundish mwnyew acha kulaum walim natumai bakora zmekufkish ulipo,acha kisirani
 
Kuhusu walimu,jamii tunatia chumvi nyingi sana.
Walimu wa sasa si wa miaka ile.
Wengi wana maisha mazuri tu.
Pia,ni wana mchango mzuri
katika jamii.
Binafsi,bila fimbo na adhabu
za walimu nisingefika hapa.
IKUMBUKWE;
Matoto ya leo,na Mazazi ya leo
yaliyo mengi ni mashenzi.
USHAURI;
Nashauri walimu,wawapige
hadi wazazi,ili tuwe na jamii
yenye adabu.
Serikali,ione namna ya kuwapatia walimu mafunzo ya kijeshi ili uwepo ufanisi.
Wewe utakubali kuchapwa bakora na mwanaume mwenzio mbele ya mke na watoto wako?
 
Tatzo s kukomoan ila kizazi chenyew kinahtaj kufwatiliwa,mi n mwalimu staacha kuchapa tena maths,vingnevyo tutakuj kuw na kizaz kischokuw na maarifa wala adab.com kizaz@
Mkuu kwani sasa hivi kuna kizazi chenye maarifa na adabu?
Pita huko mitaani uone tabia za wanafunzi wa secondary na hayo maarifa unayosema.
Maybe maarifa na tabia ni kuwaza ngono, kutongozana na kukesha kwenye vigodoro pia kuvuta bangi.
Well na ujinga uliopitiliza.

Mimi nasoma shule na hakuna hayo unayosema zaidi ya walimu kutafuta kuogopeka na wanafunzi kuwaona walimu kama demigods na kuwa waoga kupitiliza.

Bakora hazisaidii mtoto kuelewa wala kuwa na adabu zaidi ya kumtia uoga.

Kama unapinga niambie how bakora zinatia adabu na kumfanya mtoto kuelewa..?
 
Mimi ni Ticha na kesho watakaochelewa nawatindua fimbo za kutosha. Na hayo maisha magumu mnayosema mbona Mimi Sina?
[emoji23][emoji23][emoji23] ticha wamekutibua Hawa jamaa.achana nao bana usije ukamaliza makalio ya watoto wetu aise.
 
Kuhusu walimu,jamii tunatia chumvi nyingi sana.
Walimu wa sasa si wa miaka ile.
Wengi wana maisha mazuri tu.
Pia,ni wana mchango mzuri
katika jamii.
Binafsi,bila fimbo na adhabu
za walimu nisingefika hapa.
IKUMBUKWE;
Matoto ya leo,na Mazazi ya leo
yaliyo mengi ni mashenzi.
USHAURI;
Nashauri walimu,wawapige
hadi wazazi,ili tuwe na jamii
yenye adabu.
Serikali,ione namna ya kuwapatia walimu mafunzo ya kijeshi ili uwepo ufanisi.
Sahihi 😂
 
Nyie mnapiga domo hapa Huku Ujerumani Mwalimu ndio kada inayolipwa Vizuri ya kwanza kabisa infact Mwalimu ni cheo na Kazi kubwa ya Maana hapa Ujerumani.
nimekuelewa,ndio maana hata kabudi alizamiaga huko.baadae akaamua kuja kulipa fadhila tz kwake.
 
jamani jamani katika nyuzii ambazo mm naogopaga kuchngia Ni hiz za walimu.ngoja mi nipite jamani .
 
Huy
Hapa kilichopo wanaoandika Ni watoto wadogo ambao ama bado wako shule au ndo Kwanza wakemaliza bado hawajayajua maisha na bado wana hasira.Walimu wa Sasa hivi wanakula bata,Kama maisha kuwa magumu Ni kwa waajiriwa wote hasa wa serikali.Ukisema walimu tu ,umechemka.Walimu ndi ngao yetu na wametufundisha vitu vingi ,Kama Kuna waonevu Ni wachache Sana.
Huyo hajitambui usisumbuke
 
Unajua mimi ni mwalimu

Walimu wana professional ambitions zao ikiwemo kuona wanafunzi wao wanafanya vizuri

Hamna mwalimu anaefundisha mwanafunzi wake akitazamia kuwa ashindwe na kesho aone mwanafunzi wake aliemfundisha ameishia kuwa kilaza (kangi). Mwl. huwa anajisikia vibaya sana

Na labda niwaambie huwezi kulipa fadhira ya nguvu anazotumia mwalimu kumfundisha na kumlea mwanao
Itoshe tu kusema mwalimu ametimiza wajibu wake na wewe useme asante

Serikali ndio inapaswa kuangalia maswala ya motisha wewe unapelekaje mwanao kwa mtu usie na mkataba nae?

Halafu huko private mbona mnalipa mamilioni na watoto wenu wanapata matokeo yaleyale yanayopatikana katani (public schools)?

Sisi walimu bhana serikali imetudharau sana lakini huduma yetu mnainunua private schools kwa pesa mingi na mmetulia wala hamfurukuti.
Kwa taarifa yako serikali ni watu,.......Serikali ni sisi mlokuwa mnatunyanyasa, dharirisha, dharau,kutunenea mabaya na adha kadha wa kadha, alafu mnategemea vipi tuwakumbuke. Tatizo mnajisahau sana mnashindwa kujua kwamba mnafundisha malaika ambao karama zao hazijajulikana wakati huo we ushakuwa mwalimu tiyari na ni irreversible. Sisi ndiyo watunga Sera bwana........
 
Habarini,

Moja kwa moja kwenye uzi.

Chanzo cha walimu kuwa kwenye maisha magumu na maslahi duni ni kutokana na ukatili wa walimu wa mwanzo kabisa waliofundishwa na wakoloni kwa ukatili, yaani fimbo sana, manyanyaso kwa wanafunzi wa wakati huo ambapo urithi wa ukatili umeendelea mpaka zama hizi.

Kwanini walimu wawe duni kimaisha ni kwa sababu mtu akipata madaraka hawezi kupigania maslahi ya mwalimu maana anakumbuka kuwa alifanyiwa vibaya hivyo hakuna haja ya kumpigania mtu hatari, ndiyo maana kada duni ni ualimu kwa level zote yaani walimu wa msingi mpaka vyuo vikuu ni hoi.

Hapa ukatili upo mwingi hata kutungiwa mitihani migumu, kufelishwa, kutopewa alama za halali kwenye mitihani na nk. Walimu badilikeni na jamii ibadilike ili viongozi wawakumbuke katika tawala zao.
Na hata waliopata nafasi za siasa wamekuwa na vitisho,hawataki kurekebisha mapungufu yaliyopo.
 
Back
Top Bottom