Tukio la Mwalimu Felix Msila kutoa adhabu ya viboko kwa mwanafunzi wa kidato cha pili, Khatib Salim wa Shule ya Sekondari Makumbusho limechukua sura mpya baada ya uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam kusema kuwa mwalimu huyo alikuwa anajitolea na si muajiriwa rasmi.
Habarini,
Moja kwa moja kwenye uzi.
Chanzo cha walimu kuwa kwenye maisha magumu na maslahi duni ni kutokana na ukatili wa walimu wa mwanzo kabisa waliofundishwa na wakoloni kwa ukatili, yaani fimbo sana, manyanyaso kwa wanafunzi wa wakati huo ambapo urithi wa ukatili umeendelea mpaka zama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.