Athari za muungano wa upinzani Zanzibar zaanza kuonekana

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
185
Baada ya muungano wa upinzani kufanya mkutano wa kihistoria ktk viwanja vya kibandamaiti jumatano iliyopita, viongozi wa CCM ZANZIBAR wameanza kuchanganyikiwa. Katika kutuliza hofu ya baadhi ya wafuasi wao, wameanza kufanya MIKUTANO YA NDANI wakiwaambia kuwa watafanya kila hali kuhakikisha WANAWATENGANISHA WAPINZANI. Hofu ya wafuasi wa ccm imekuja kutokana na kile wanakiamini kuwa USHINDI WA CCM ZANZIBAR UNATEGEMEA MABAVU YA SERIKALI YA MUUNGANO.

Wanaccm wengi hapa zanzibar wanaamini kuwa iwapo tanganyika ccm itaangushwa na chadema, au na ushirikiano wa chadema na cuf, basi hatakama wameiba kura, haitowasaidia kuizuia cuf kuingia madarakani. Hali hiyo hata cuf wanaifahamu, na ndio maana HABARI ZA NDANI ZINASEMA HUENDA VIONGOZI WA CUF WAKAKUBALI KUUNGANA NA CHADEMA NA KUMUUNGA MKONO MGOMBEA WA CHADEMA. Mwanzo suala hili lilikuwa gumu kwa ile kauli ya chadema kuwa cuf ni CCM B, lakini mtoa chanzo chetu kutoka cuf, kinasema kuwa suala hili limeshapatiwa ufumbuzi tayari. Hofu ya ccm zanzibar kwa sasa iko wazi, hasa baada ya baada ya kubainika kuwa zanzibar haikushirikishwa kweli kuandaa sheria ya katiba.

Katika moja ya mikutano iliyofanyika katika matawi ya wilaya ya mjini Unguja, kiongozi mmoja alihoji kwa nini polisi lisiwazuie chadema kufanya mikutano zanzibar wakati wanajua ni wa chochezi? mjumbe huyo alienda mbali zaidi kwa kusema, ccm zainzibar haitoondoshwa madarakani na cuf, bali ushindi wa chadema bara ndio utakuwa mwisho wa ccm zanzibar. CHANZO HASA CHA HOFU HII NI KAULI YA MBOWE ALIPOSEMA KATIKA MKUTANO KIBANDA MAITI KUWA ATAWAUNGA MKONO WAZENJ KUWA NA MAMLAKA KAMILI KAULI ILIYOIBUA FURAHA MKUTANONI HAPO.

PIA KIEMBESAMAKI CCM HOI, Wanatumia nguvu kubwa kutaka kuwaambia watu kuwa kumfukuza MANSOUR ilikuwa sahihi lakini inaonesha vijana wamehamaki. Tusubi tuone nini kitatokea. WAKATABAHU.
 
kodi ya simu itakatwa 3000 kwa mwezi yan jul,aug na sept.... Inauma sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na kuhusu habar yako nitarudi
 
Pole mh mbowe kwa kifo cha Dada yako
Pole kamanda mbowe lakini marehemu pia alikuwa mpuuzi na sasa amekufa kwenye dhambi ya kuwa mfuasi wa Ccm....Kimsingi hatupendi mwenzetu atutoke lakini hatuwezi kuzuia asiondoke issue ni kwamba anaondoka akiwa upande upi...Yani ni sawa na usikie Kriss Lukosi kafa,au Jk kafa hao nisawa na shetani wanaodhulu nafsi zingine.
 
taratibu mkuu.
 
siku cuf wakiungana na chadema maccm yatajinyonga wa kanza atakuwa wasira mzee wa juice na chai
 
Ninyi magamba msipindishe uzi baada ya kuona mmebanwa vibaya pasipotajika. Huu muungano ndo kamati ya mazishi ya msiba wa CCM ,tusubili tuona wanavyopanga mazishi hayo yanayoanza mwaka 2014 na kukamilika 2015 oktoba . REST IN HELL CCM.
 
Pole kamanda mbowe lakini marehemu pia alikuwa mpuuzi na sasa amekufa kwenye dhambi ya kuwa mfuasi wa Ccm....Kimsingi hatupendi mwenzetu atutoke lakini hatuwezi kuzuia asiondoke issue ni kwamba anaondoka akiwa upande upi...Yani ni sawa na usikie Kriss Lukosi kafa,au Jk kafa hao nisawa na shetani wanaodhulu nafsi zingine.

Mkuu taratibu, umefika mbali sana. kwa wao kuwa chama cha upinzani ( CCM ) haiwafanyi kutokuwa binadamu, Naomba utubu kwa hili kwa kufurahia vifo vya wenzako.
 
Huu muungangano ni vema sasa tuutafutie jina litakalosimama hadi hiyo 2015 nitakapowashudia akina lipumba na makamanda wengine kama slaa wakiongoza tz
 
Ccm hawajaufurahia muungano huu wa cuf na chadema, watafanya kila mbinu kuusambaratisha huu muungano!
 
Pole kamanda mbowe lakini marehemu pia alikuwa mpuuzi na sasa amekufa kwenye dhambi ya kuwa mfuasi wa Ccm....Kimsingi hatupendi mwenzetu atutoke lakini hatuwezi kuzuia asiondoke issue ni kwamba anaondoka akiwa upande upi...Yani ni sawa na usikie Kriss Lukosi kafa,au Jk kafa hao nisawa na shetani wanaodhulu nafsi zingine.

judge not so that you cannot be judged
 
Mnajaribu kuweka hoja nyepesi kuwachanganya watu,huo muungano CUF hawasitahili kuweka Mgombea mpaka iwe chadema, huu ni unafiki na hayupo wa kuiondoa CCM madarakani hata kwa maneno ya JF mnajisumbua.
Mnawekeza kwenye uongo, CCM inawekeza kwa Wananchi.
 
Wakati mabadiliko yanapotokea usivyovidhania hutokea kuwa kweli huo unaona uongo utakuwa ukweli muda sio mrefu na ukweli wako utakuwa uzushi mbele ya wanamabadiliko..
 
Back
Top Bottom