Heee mungu atuepushie hasa kama hiyo damu haikutoka si utaonekana umefanya utundu:crying::crying:
hahaha...best yangu mwanaume ukiwaza hivyo basi kila mara utajikuta wasaidiwa.
kwa kuwa sisi ni wanaume basi hapo kwenye kukakamaa ndio wakati tunapoonesha ufundi wa kupalainisha hadi parojeke...
wewe kuja na bikra yako hata ya miaka 300, mwanaume fundi ataichokonoa hadi iwe lainiii...na zaidi atamfunza mwenzi wake namna ya kugegedana.
Duh hapa umeniacha hoi kwa kweli!
Why shouldn't I . . . . . . . . . . . . . . LMAO!
Halafu uanweza kuta ishakuwa ngumu na haitoki tena kwa njia zilizoeleka
Hakuna zawadi nzuri ambayo mwanamke anaweza mpa mme wake zaidi ya BIKRA!
We! We! We! Futa huo usemi, haitoki! Wenzio tunauwezo hadi wa kutoboa jeans, sometimes zinafit kuwa henga za kutundikia makoti! Weeeewe!
Na zwadi nzuri kwa mwanamke kutoka kwa mwanaume ni nn?
Hahahah....patna nani kakuruhusu usome hapa...mi sipendi ujue!!!
Wasalaam wanajf,
Nimeshawasikia wasichana wengi wakiwaponda wenzao ambao wana zaidi ya miaka 25 wakiwa bado bikira. Mfano juzi juzi tu niliwasikia wadada fulani wakimponda ndugu yao mwenye miaka 36 ambaye hajaolewa...walikuwa wakionyesha kumuonea huruma sana eti ni heri angekuwa ashatolewa bikira.
Swali langu ni je kuna limitation ya muda wa kuwa bikira? Kuna athari gani zinazompata mtu ambaye ni bikira hususani mtu mwenye miaka zaidi ya 35?
Mimi nilidhani kuwa ni heri mtu mwenye age hiyo akiwa bikira kuliko kuwa ashapata exposure ya mapenzi na akakosa mwenzi....nilidhani mtu mwenye exposure ya mapenzi atateseka zaidi ya yule ambaye bado bikira.
Wewe unaonaje?
Hakuna zawadi nzuri ambayo mwanamke anaweza mpa mme wake zaidi ya BIKRA!
Nahisi za hao hapo juu waliotolewa mifano expiry date yake imepita hata kuzivunja itakuwa ngumu-kwa sababu pale mahali pameziba na kile kigozi kinachotakiwa kuwa chembamba(hymen) kitakuwa kigumu miaka 35-40 kama cha ngozi ya kenge(it hardens when a woman gets older)hyo ndo mechanism yake refer law of use and disuse of organ,its about to disappear hicho kipochi cha manyoya kwa sababu hakitumiki ipasavyo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kuwa na bikira mpaka age ya 40 lazima anatatizo au atoe maelezo ya kutosha .