Athari za kuwa bikira

Athari za kuwa bikira

Hii dhana ya bikira inaonekana inawatatiza wengi humu
Kwa hali ya kawaida hadi umri huo wa miaka 35 hiyo bikira itakuwa imeshakatika na atabaki kuitwa bikira kwakuwa hajawahi kuingiziwa uume
 
Wasalaam wanajf,

Nimeshawasikia wasichana wengi wakiwaponda wenzao ambao wana zaidi ya miaka 25 wakiwa bado bikira. Mfano juzi juzi tu niliwasikia wadada fulani wakimponda ndugu yao mwenye miaka 36 ambaye hajaolewa...walikuwa wakionyesha kumuonea huruma sana eti ni heri angekuwa ashatolewa bikira.

Swali langu ni je kuna limitation ya muda wa kuwa bikira? Kuna athari gani zinazompata mtu ambaye ni bikira hususani mtu mwenye miaka zaidi ya 35?

Mimi nilidhani kuwa ni heri mtu mwenye age hiyo akiwa bikira kuliko kuwa ashapata exposure ya mapenzi na akakosa mwenzi....nilidhani mtu mwenye exposure ya mapenzi atateseka zaidi ya yule ambaye bado bikira.

Wewe unaonaje?

mada imenigusa kwakweli maana nina ndugu yangu nae ana aproach 40 na hajawahi kuwa na mwanaume wana hana dalili ana kila kitu umbo sura nzuri mchapa kazi heshima yaani sijui nitaje nn lakini hajawahi kuwa na mwanaume mpaka sasa tuna mshawishi ata azae tu maana na menopaz imejongea ila kubaki na bikra si tatizo shida kubwa ni pale utapobeba mimba nyonga zitakuwa zimekaza na kushindwa kupitisha mtoto so kulazimika c/section
 
35 old halafu bikra! huyo ana misuse hicho kiungo

Kwakweli hujakosea mkuu hembu mtoa thread naomba unirushie namba ya huyo mdada ili nimpe makavu yake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mada imenigusa kwakweli maana nina ndugu yangu nae ana aproach 40 na hajawahi kuwa na mwanaume wana hana dalili ana kila kitu umbo sura nzuri mchapa kazi heshima yaani sijui nitaje nn lakini hajawahi kuwa na mwanaume mpaka sasa tuna mshawishi ata azae tu maana na menopaz imejongea ila kubaki na bikra si tatizo shida kubwa ni pale utapobeba mimba nyonga zitakuwa zimekaza na kushindwa kupitisha mtoto so kulazimika c/section
Reall? Hembu nitumie namba yake then nitampigia aje nimpe dawa yake afurahie maisha kabisa!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
A woman who can remain a vergin until that age is a courageous and a Godly woman, nawala watu wasiwakatishe tamaa, there is absolutely nothing wrong with being a virgin kwa hizo age, losing ur virginity should be special banaa..... As we only have it once and then it's gone forever....!!!!!!! Waacheni mpaka watakapopata right person wa kukizi haja zao kwa muda muafaka!!!!!!!!!!!!
 
Jamani Bikira nzuri kwanza mtu unajiamini zaidi kwasababu wengi wanatamani kuwa nayo but its too late that is way wanaishia kuponda Mabikra... Pili swala la mapenzi ni kitu cha ziada sana ambacho si lazima kuhusika hivyo side effect zake hazihusu... Nahisi kukesha maana faida ni nyingi sana Ntarudi badae..
 
Kwani bikra inaweza kutoka bila ya tendo la ndoa?

Bikra haiwezi kutoka bila ya sex, lazma iwepo penetration ya penis ili bikra itoke lkn kuna kitu inaitwa hymen, huu ni kama utando flani hivi unakuepo ktk vigana, huu ndo inasababisha damu itoke mara ya kwanza msichana anafanya tendo hilo, huu utando unaeza kutoka kwa njia nyingi, mfano kuendesha baiskeli au kwa kupanda mti or kufanya mazoezi, endapo hymen itatoka dats y waschana wengi hawatokwi na damu first time wanafanya sex cz hymen inakua haipo, lkn bikra inatoka endapo kutakua na penetration tuu!
 
Heee mungu atuepushie hasa kama hiyo damu haikutoka si utaonekana umefanya utundu:crying::crying:
 
Nahisi za hao hapo juu waliotolewa mifano expiry date yake imepita hata kuzivunja itakuwa ngumu-kwa sababu pale mahali pameziba na kile kigozi kinachotakiwa kuwa chembamba(hymen) kitakuwa kigumu miaka 35-40 kama cha ngozi ya kenge(it hardens when a woman gets older)hyo ndo mechanism yake refer law of use and disuse of organ,its about to disappear hicho kipochi cha manyoya kwa sababu hakitumiki ipasavyo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuwa na bikira mpaka age ya 40 lazima anatatizo au atoe maelezo ya kutosha .
 
A woman who can remain a vergin until that age is a courageous and a Godly woman, nawala watu wasiwakatishe tamaa, there is absolutely nothing wrong with being a virgin kwa hizo age, losing ur virginity should be special banaa..... As we only have it once and then it's gone forever....!!!!!!! Waacheni mpaka watakapopata right person wa kukizi haja zao kwa muda muafaka!!!!!!!!!!!!

najivunia kusoma comment yako good
 
Back
Top Bottom