Athari za kuwa bikira

Athari za kuwa bikira

Mwiyuzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
854
Reaction score
447
Wasalaam wanajf,

Nimeshawasikia wasichana wengi wakiwaponda wenzao ambao wana zaidi ya miaka 25 wakiwa bado bikira. Mfano juzi juzi tu niliwasikia wadada fulani wakimponda ndugu yao mwenye miaka 36 ambaye hajaolewa...walikuwa wakionyesha kumuonea huruma sana eti ni heri angekuwa ashatolewa bikira.

Swali langu ni je kuna limitation ya muda wa kuwa bikira? Kuna athari gani zinazompata mtu ambaye ni bikira hususani mtu mwenye miaka zaidi ya 35?

Mimi nilidhani kuwa ni heri mtu mwenye age hiyo akiwa bikira kuliko kuwa ashapata exposure ya mapenzi na akakosa mwenzi....nilidhani mtu mwenye exposure ya mapenzi atateseka zaidi ya yule ambaye bado bikira.

Wewe unaonaje?
 
Huyu labda anaweza kupata maumivu makali.

Kama mfanyakazi nadhani itabidi achukue likizo kama ya wiki hivi...
 
mtu mwenye exposure ya mapenzi anatesekaje zaidi ya mwenye bikra? sijaelewa hapo. alafu kwani mtu akifika age hiyo hajaolewa maana yake ni bikra?
 
Anaweza kuteseka kwa kufeel kufanya mapenzi while hana mtu wa kufanya nae..."mwenye exposure ya mapenzi"

Chukulia mfano wa mtu ambaye hajaolewa but bado bikira....inawezekana mtu akawa hajaolewa but siyo bikira but for the purpose of this thread chukulia mwenye age hiyo ambaye bado ni bikira
 
Kimsingi bikra inakua inaanisha kuwa mtu kajitunza,lakini kila jambo lina pande mbili
'
Kwenye mazingira ya leo kuwa na bikra ni hasara zaidi ya faida
'
Sasa kila mtu ameshajua kuna wanawake wenye maumbile tofauti,halikadhalika wanawake pia wanajua kuna ndefu,fupi,nene n.k,hivyo hakuna mwanaume au mwanamke alie tayari kuoa au kuolewa na mtu ambae hajui kitu
'
Zamani mtu akioa mwenye maji mengi,kwa kuwa hajawahi kukutana na mwanamke mwingine atajua zote ziko hivyo hivyo
'
Na wanawake nao wako hivyo hivyo,akikutana na kibamia au anaepiga bao moja tu hoi atajua wote wapo hivyo hivyo
'
Lakini leo mambo ni kinyume,watu wameshajua kuna type tofauti tofauti za "mashavu" na dushelele lakini pia ufundi nao una "mata"
'
Hivyo bikra ni bora atafute bikra mwenzie!
 
Anaweza kuteseka kwa kufeel kufanya mapenzi while hana mtu wa kufanya nae..."mwenye exposure ya mapenzi"

Chukulia mfano wa mtu ambaye hajaolewa but bado bikira....inawezekana mtu akawa hajaolewa but siyo bikira but for the purpose of this thread chukulia mwenye age hiyo ambaye bado ni bikira

mi sidhani kama kuna athari za mtu kuwa bikira maana anakuwa ameamua mwenyewe kubaki bikira.. penye nia pana njia.
 
Wasalaam wanajf,

Nimeshawasikia wasichana wengi wakiwaponda wenzao ambao wana zaidi ya miaka 25 wakiwa bado bikira. Mfano juzi juzi tu niliwasikia wadada fulani wakimponda ndugu yao mwenye miaka 36 ambaye hajaolewa...walikuwa wakionyesha kumuonea huruma sana eti ni heri angekuwa ashatolewa bikira.

Swali langu ni je kuna limitation ya muda wa kuwa bikira? Kuna athari gani zinazompata mtu ambaye ni bikira hususani mtu mwenye miaka zaidi ya 35?

Mimi nilidhani kuwa ni heri mtu mwenye age hiyo akiwa bikira kuliko kuwa ashapata exposure ya mapenzi na akakosa mwenzi....nilidhani mtu mwenye exposure ya mapenzi atateseka zaidi ya yule ambaye bado bikira.

Wewe unaonaje?

Miaka 35 duh si itakuwa na ukakasi...iyo hata bure sikubali
 
yaani umenigusa sana kwa hii coment yako ungekuwa karibu ningekupa pipi ulambe
Msidanganyike hakuna tatizo lolote hata kama miaka 50 ukiwa bikira haina tatizo. Haya ni mawazo mabaya yanayopelekea wasichana kufanya maovu na kuharibikiwa zaidi.
 
mimi kAMA NI MWANAUME SIMWOI NAMWAMBIA AKAMALIZE MATATIZO YAKE KWANZA ATAKUWA AMEKAKAMAA SANA

hahaha...best yangu mwanaume ukiwaza hivyo basi kila mara utajikuta wasaidiwa.
kwa kuwa sisi ni wanaume basi hapo kwenye kukakamaa ndio wakati tunapoonesha ufundi wa kupalainisha hadi parojeke...
wewe kuja na bikra yako hata ya miaka 300, mwanaume fundi ataichokonoa hadi iwe lainiii...na zaidi atamfunza mwenzi wake namna ya kugegedana.
 
Back
Top Bottom