ATCL na hofu ya kupigwa oda ya ndege mpya nne za kisasa

Indirect profit waseme wanasiasa sio CAG Ile ni taaluma.
Eti mtu analinganisha ATCL na Ethiopian Airlines
You must be crazy
Yaani mijitu mingine hovyo sana sijui inafirwagwaa mdomoni haioni aibu kabis kuleta hoja za kipuuzi,eti atcl ishindane na ethiopia air pumbavu zake kabisa hilo lijamaa
 
===
Tanzania tayari tuna ndege mpya 11 za kisasa zinazoifanya ATCL kuwa mshindani wa Rwanda Airlines,Ethiopia Airline na Kenya Airways katika biashara ya Usafiri na usafirishaji wa anga Africa.

Pamoja na kwamba kimahesabu ATCL inaonekana kutengeneza hasara lakini indirectly ATCL inafaida kubwa sana kwa Uchumi wa nchi yetu, kwamfano hadi kufikia ripoti ya mwisho ya CAG shirika letu la ATCL lilitengeneza hasara ya TZS 153BL ila indirect benefits CAG hakuzitaja ambazo ndio zinathamani kubwa zaidi ya hiyo hasara (Wakati mwingine CAG aje na indirect benefits za ATCL)

Kwamsiofahamu faida za ndege duniani kote sio Air ticketing (tiketi) ila ni indirect Profit yaani faida mbadala mathalani Tanzania tayari inahitaji watalii kutoka Duniani kote na kwamsiojua Watalii wanalipa kuliko hii "Air ticketing " mnazozipigia kelele,

Mfano, Mwaka 2017|18 mapato yetu yatokanayo na Utali yalifikia $2.4BL sawa na Tshs 5.5trilioni wakati rekodi ya Watali ikiwa 2m tu,Lakini tunafahamu duniani kila mwaka kuna zaidi ya Watali 1.5bl wanatafuta wapi waende kula bata,

Kama tulipata TZS 5.5Trilioni kwa watalii 2m waliojileta wenyewe itakuwaje tukiwafuata kwa Ndege zetu wenyewe? Nahasa ya 153BL Ni-nini kwenye mapato ya TZS 5.5 kama ndege hizi zitaleta watalii 2m wapya?

Niulize swali, Kenya Airways inaweza kubeba watalii toka UK ikawaletea ninyi Tanzania mnaopinga kuwa na ndenge zenu? "Jibu ni Hapana" vivyo hivyo kwa mataifa shidani kibiashara toka Africa hawawezi kuwafaidisha ninyi lazima kila nchi ivutie kwake na hii ni miongoni mwasababu inamfanya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza ndege mpya tano za kisasa huku akilipia nne za awali,

Nimejaribu ku-Google bei za kila ndege na hizi ndizo bei za kiwandani japo naamini kunapunguzo,

Bei ya Boing 787-800 dreamliner ni $248M au TZS 570.4BL,Wakati bei ya Boing 767 -300 Freighter ni $220M au TZS 506BL na Boing 737 Max ni $99.7M kwa moja sawa na TZS 458.6BL kwa zote mbili, Bei ya ndege zote nne kwa mujibu wa bei ya kiwandani ni $667.4M sawa na TZS 1.535Trilioni

Puuzeni uzushi, bei ya kiwandani kwa ndege zote mpya nne zilizoagizwa na Rais Samia ni $667.4M au TZS 1.5T na Sio $726M au 1.7T,Watanzania chapeni kazi inchi yenu iko Salama Sana,​

||Jifunzeni kuisemea nchi yenu mema||

Inawezekana huelewi watalii hawaletwi na ATC 😂 hivyo haijachangia kwa ongezeko lolote la watalii. Vilevile ndege hizi zimekuja wakati kuna lockdown ya Covid 19
 
Andiko zuri sana hili, Tuko na Samia
 
Punguza ujuaji.

Kenya Airways wana Internationa Destinations 27 ambazo zipo active.

Rwanda Air wana international destinations 26 ambazo zipo active.

Tuwaache ethiopians Airline maana wana international Destinations zaidi ya 100. Hivyo ni aibu hata kuwacompare na Air Tanzania.

Air Tanzania wana International Destinations ngapi ambazo zipo active?
Umeandika kishabiki zaidi. Ungetaja wao Atcl wanazo ngapi hata kama ni chache.
Nasema kishabiki, maana unaweka picha kama vile Atcl hawana International routes
 
Sipo hapa kubishana na wapumbavu.

Active International Destinations za ATCL hazifiki hata 10 haya unasemaje?

At the same time ndege hizohizo ikitokea kiongozi fulani wa serikali anasafiri ndio wanachukua hizohizo?

Sijui hata kama hizo ndege zenyewe umewahi kupanda ila waliowahi kupanda wanaelewa kizaazaa walichokutana nacho cha kuahirishiwa safari.
 
Post ya mtu anayejipiga dole la mdhuti halafu anajinusa. Unaona sisi ni wajinga sana eti indirect profit, hakunaga kitu kinaitwa indirect profit kwenye uchumi hata siku moja.

Kila asset inaponunuliwa itakuwa calculated yenyewe kama inajiendesha kwenye kampuni Ina maana hiyo kampuni itareport loss au profit, period hakuna idirect loss or indirect profit, acha kutuletea umang'aa kawadanganye kijijini kwenu.

Laiti hizi ndege zingekuwa chini ya wizara ya utalii na zikawa hazijawekwa as asset chini ya kampuni labda tungezichukulia kwa namna hiyo lakini pia haziwekwi kwenye mambo yako ya indirect zinaweza kuwekwa Kama asset za kufanya shughuli ya ubebaji abiria ambao wanaenda kutalii ambapo labda hiyo utalii ndio ingekuwa biashara yenyewe labda tusingezihesabia hasara sababu zenyewe ni tool ya kufanya hiyo biashara.

Tofauti ni kwamba hizi ndege zimeletwa ziwe chini ya kampuni ambayo yenyewe inafanya biashara ya air transportation hivyo huo utalii haupo kwenye core business ya ATCL so tutaihesabia hasara au faida kutokana na abiria iliyobeba sio utalii iliyoleta.

Ni sawa uwe na basi la abiria umefanya daladala Ila kila siku halikuletei faida zaidi ya hela yote kuishia matengenezo na madeni juu halafu uihesabie basi linakupa indirect profit sababu unalitumia Kama usafiri kwenda shambani 🤷🤷 hii elimu ya wapi?
Shule hii ni mpya mkuu sijawahi kuisikia
 
===
Tanzania tayari tuna ndege mpya 11 za kisasa zinazoifanya ATCL kuwa mshindani wa Rwanda Airlines,Ethiopia Airline na Kenya Airways katika biashara ya Usafiri na usafirishaji wa anga Africa.

Pamoja na kwamba kimahesabu ATCL inaonekana kutengeneza hasara lakini indirectly ATCL inafaida kubwa sana kwa Uchumi wa nchi yetu, kwamfano hadi kufikia ripoti ya mwisho ya CAG shirika letu la ATCL lilitengeneza hasara ya TZS 153BL ila indirect benefits CAG hakuzitaja ambazo ndio zinathamani kubwa zaidi ya hiyo hasara (Wakati mwingine CAG aje na indirect benefits za ATCL)

Kwamsiofahamu faida za ndege duniani kote sio Air ticketing (tiketi) ila ni indirect Profit yaani faida mbadala mathalani Tanzania tayari inahitaji watalii kutoka Duniani kote na kwamsiojua Watalii wanalipa kuliko hii "Air ticketing " mnazozipigia kelele,

Mfano, Mwaka 2017|18 mapato yetu yatokanayo na Utali yalifikia $2.4BL sawa na Tshs 5.5trilioni wakati rekodi ya Watali ikiwa 2m tu,Lakini tunafahamu duniani kila mwaka kuna zaidi ya Watali 1.5bl wanatafuta wapi waende kula bata,

Kama tulipata TZS 5.5Trilioni kwa watalii 2m waliojileta wenyewe itakuwaje tukiwafuata kwa Ndege zetu wenyewe? Nahasa ya 153BL Ni-nini kwenye mapato ya TZS 5.5 kama ndege hizi zitaleta watalii 2m wapya?

Niulize swali, Kenya Airways inaweza kubeba watalii toka UK ikawaletea ninyi Tanzania mnaopinga kuwa na ndenge zenu? "Jibu ni Hapana" vivyo hivyo kwa mataifa shidani kibiashara toka Africa hawawezi kuwafaidisha ninyi lazima kila nchi ivutie kwake na hii ni miongoni mwasababu inamfanya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza ndege mpya tano za kisasa huku akilipia nne za awali,

Nimejaribu ku-Google bei za kila ndege na hizi ndizo bei za kiwandani japo naamini kunapunguzo,

Bei ya Boing 787-800 dreamliner ni $248M au TZS 570.4BL,Wakati bei ya Boing 767 -300 Freighter ni $220M au TZS 506BL na Boing 737 Max ni $99.7M kwa moja sawa na TZS 458.6BL kwa zote mbili, Bei ya ndege zote nne kwa mujibu wa bei ya kiwandani ni $667.4M sawa na TZS 1.535Trilioni

Puuzeni uzushi, bei ya kiwandani kwa ndege zote mpya nne zilizoagizwa na Rais Samia ni $667.4M au TZS 1.5T na Sio $726M au 1.7T,Watanzania chapeni kazi inchi yenu iko Salama Sana,​

||Jifunzeni kuisemea nchi yenu mema||

Mzee wa indirect profit bado unaendelea na huu ujinga wako baada ya Ile ripoti ya PAC kuhusu hasara ya ATCL ya zaidi ya 60 billion????

Eti indirect profit dah 😂
 
Hivi hawa wabunge wanashindwa kuelewa kuwa ATCL inakodi ndege kutoka shirika la ndege za serikali na inawajibika kulipia ukodishaji huo?hizo pesa zinazolipwa hazitoki nje ya serikali na serikali hiyo hiyo ndo mmiliki wa asilimia 100 wa ATCL hawaoni kuwa hizi ni hasara za kwenye makaratasi?au mnataka muonyeshe faida za ATCL ili mkalipe madeni ya kifisadi yaliyotengenezwa huko nyuma?
 
Back
Top Bottom