ATCL kwenda kukodi ndege Misri

ATCL inatia kinyaa, ilipewa offer ya kuazimwa ndege na KLM atcl ikakataa ati itakuwa imevunja procurement act na kwamba lazima makubaliano yapite kwa wakala. Wakapewa tena offer na kampuni ya boeing ya marekani ili wachukue ndege mpya walipe taratibu nalo pia wakakataa kuwa sheria ya manunuzi hairuhusu- kisa Mataka na wakubwa wake waliona hakuna uwezekano wa kupata mgao. Ajabu saa hizi wanatafuta second hand.......... Tutalipa madeni mpaka tukome.
 
Heshima mbele nimepitia comments zote hapo juu na kushikwa na hasira sana kwa watendaji wetu wasio na uzalendo wa nchi yao!!sijui tumelogwa na nani!!inasikitisha sana na hasira tele....kwa nini tusipate ndege zetu?mbona ATR zimejaa tu zitatukomboa kwa hali ya viwanja vyetu??mfano wakitafuty ATR 42 ziwe 3 na ATR 72 ziwe 3 pia..(12m x 3) na 14m x3) na baadae watafute boeing 2 tu heshima ya AtCL itareje na heshima nchi pia....ndio maana kagame hataki kutusikia sababu ya kutokuwa uzalendo badala yake badala kujifunza na kupata wivu wa maendeleo tunabakia kumdhalilisha balozi wake na kumkimbia tusikutane nae kwenye forums!!!!kweli angeifanya hii nchi kitovu cha kila kitu africa!!!
 
nadhan watanzania tukubali kua hatuwezi endesha mashirika ambayo ni technicial oriented kama haya ya ndege, reli, magari, uda, nyumbu, mwasiliano, viwanda vya uzalishaji, machine tools tubinafsishe tu yote kwa wenye akili sisi tufanye kazi zisizoitaji akili nyingi kama benki, bima nk kwa upande fulani unaweza msifu rais mstaafu mkapa kwa uamuzi wa ubinafsishaji kwani kama asingeuza mpaka leo tungekua pabaya zaidi.
 
Tulishasema siku nyingi kwenye hii forum, kwamba ATCL will; never see the light of the day, hasa kwa sababu WaTZ ni mbumbumbu wa biashara.

....
 
Mwakyembe kama man city nakuona unaanza nacho hiko haya all the best mkataba tuweekenii mezani...tatizo la kina zitto watu wameshaiba ndio wanadai mikataba kwa nini msidai mapema kamaa hivi mwapewa taarifa ulaj hui na kama mkijoin pamoja poa tu tumalizeni lakini sio kusubiri kumenuka mnatuletea umaarufuu no
 
Back
Top Bottom