Ni kweli nimepita kama dk 10 nikiwa naelekea huku juu gorofani,,wao wanafanyia chini..naona wafanyakazi wamesema watamfungia lango kama akiamua kufanya upumbavu huu,,,na kinachowaumiza wafanyakazi ameulizwa ati airbus mkataba wake na matumizi yake vipi,,na vipi waliajiri ama kuwekeana mkataba na wafaransa ,alafu wanaleta marubani ambao awajafikisha hata masaa 250,,,wanarusha ndege za watu ,,,leo hii nimejua sababu,kuna siku nilienda mwanza wandugu kulikuwa na rubani mzee mmoja ana kipara aliturusha kama ngombe kwenye fuso wakati akitua,,,wakati tukishuka nilikiona katoto kadogo nikauliza imekuwaje kanarusha ndege kako qualified ..waafanyakazi wa ndani waakasema tukaiulize menejiment..now nimepata ans,,ila swali langu hawa TCAA hawajui hayo,na kama ndio sheria zinasemaje au nao wanakula teeen perc,kusambaratisha roho za watu??