Bw Chizi alikodisha ndege ya bilioni 80 kwa zaidi ya bilioni 270, ameshonesha unifom kwa bilioni zaidi ya 78. Halafu kuna watu wanamtetea aendelee kuwepo ATCL
Kajichanganya au hayuko makini!! Ndiyo nchi yetu hiyo, sasa ukirudi kwa viongozi ambao wengi wao walikimbia umande wanategemea mambo ya shortcuts, hizo number usiseme kabisa!!Nasikitika hata magazeti mengine huwa yanafanya kosa hili. Hawajui tofauti ya million na billion
Kajichanganya au hayuko makini!! Ndiyo nchi yetu hiyo, sasa ukirudi kwa viongozi ambao wengi wao walikimbia umande wanategemea mambo ya shortcuts, hizo number usiseme kabisa!!
hahahaaa at least kuna vitu tunakubaliana ukiondoa siasa zetu kichefuchefuMkuu rudia tena yaani uniform zaidi ya billion 78 au millioni 78! Hata kama ni millioni 78 si haki hata kidogo. Anatakiwa apate haki yake tena achapwe viboko 12 wakati anaitwa kuhojiwa na 12 wakati anatoka kwenda kwake akamuonyeshe mkewe. Mali zake zitafutwe zikamatwe ziwe za ATCL.
Pamoja na mapungufu anayoweza kuwa nayo, nadhani Mwakyembe bado ni mzalendo wa kweli kweli, bado hajaingia katika kundi la wanasiasa wachumia tumbo. Huenda ndiyo maana kuna walioataka kuondoa uhai wake.
Nasikitika hata magazeti mengine huwa yanafanya kosa hili. Hawajui tofauti ya million na billion
Tatizo lipo kwa alomteua. Kwani Chizi alijipeleka mwenyewe pale ATCL?
Huu ni mradi wa watu kufisadi kupitia migongo ya watu. Aibu kubwa hii, wakurugenzi kukaa china siku 45 wakisubiri nguo zishonwe! Only in Tanzania.
Acheni porojo huna ushahidi huna haki ya kuongea. Waziri amesema kuwa uteuzi wake haukuzingatia kanuni za utumishi na si ufisadi wala wizi. Halafu kama ulikuwa na taarifa hizo mbona hukuziandika tangu awali.
Wanajamvi, ndiyo Uniform zenyewe hizi, ndiyo hapo utakaposhindwa kushangaa na kuanza kujiuliza hivi ni lini tutaamua kuacha kujiaibisha wenyewe kwa mambo yaliyo wazi kama hili.
Wanajamvi, ndiyo Uniform zenyewe hizi, ndiyo hapo utakaposhindwa kushangaa na kuanza kujiuliza hivi ni lini tutaamua kuacha kujiaibisha wenyewe kwa mambo yaliyo wazi kama hili.
Acheni porojo huna ushahidi huna haki ya kuongea. Waziri amesema kuwa uteuzi wake haukuzingatia kanuni za utumishi na si ufisadi wala wizi.
Wewe ndo hufuatilii mambo. Zote ni sababu ila sababu. Ila hiyo unayoitaja ndo kuu
Bw Chizi alikodisha ndege ya bilioni 80 kwa zaidi ya bilioni 270, ameshonesha unifom kwa bilioni zaidi ya 78. Halafu kuna watu wanamtetea aendelee kuwepo ATCL
Tatizo langu mimi siyo huyu Chizi.....tatizo nani alimteua?
Kama kosa ni la alomteua basi kosa zaidi ni la wazee wake waliomleta duniani! au sio?