Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 11,345
- 17,850
Mkuu embu tuwekane sawa kidogo.Naam lakini ATCL Watanzania wengi tulitoa onyo kwamba kwanza si kipaumbele cha Watanzania kwani ni usafiri wa gharama kubwa sana na ni 5% tu ya Watanzania wanaoweza kumudu gharama zake hivyo kusababisha hasara kubwa sana. Na hilo limekuwa kweli imagine hiyo 2 trillions ingeelekezwa kwenye vipaumbele vingine vya Taifa.
Hivi ni kweli unafikiri lengo (target) ya ATCL ni abiria raia wa Tanzania pekee?
Acheni hizi siasa za kitoto, kuna mengi tu ya kuikosoa serikali au Magufuli lakini si kwa hoja za kitoto kama hii.