ATCL: Another Richmond!

ATCL: Another Richmond!

Kuna mtu amegundulika ni kichaa, watu wakaongea kwamba anyang'anywe rungu lake alilokuwa analitumia kuwaumiza wapita njia. Kweli bwana, akatokea mwenyenguvu akamnyang'anya, wapita njia wakawa salama. Mara akaja mwenyenguvu mwingine akampa rungu lingine huyu kichaa. Sasa tutamlaumu kichaa au mwenyenguvu??? Hakuna haja ya kumlaumu, tumwombe tu kwa upole achukue rungu lake tena.
 
sasa kichaa ni nani? aliyempa rungu kichaa au aliyemnyang'anya rungu kichaa na baadaye na yeye akanyang'anywa na mtu mwingine aliyemrudishia kichaa "rungu lake"?
 
Nakumbuka mwaka fulani ATC walikodi ndege kwa mbwembwe kutoka kwa nadhani mgiriki. Ndege hiyo ilfanya inaugural flight kwenda India ikawa mwisho maana wahindi hawakuiruhusu kuruka na abiria kwa sababu haikukidhi mahitaji ya kiusalama. Nadhani sasa hivi wanahatamia njiwa pale Kilimanjaro. waziri wa wakati ule simkumbuki jina!!!! Sasa leo tunaenda kukodi ndege iliyoandikishwa Liberia!!! hii kupenda dezo itatuua.
 
Fundi Ndege Zile Ndizo Hizi Hizi Za Mtu Mmoja Makampuni Tofauti Anaitwa "" """"george Hallack ""na Walliambiwa Kabla Ya Kusaini Tunavosikia Watu Walio Tanzania.....
 
Nasikia kuna msemaji wa ATC alikuwa anazunguma mapema leo asubuhi kwenye Clouds FM. Ni nani alikuwa anazungumza?
 
Hivi kuna haja kweli ya kuwa na shirika letu wenyewe la ndege? Tuwaige wamarekani kwa kuiacha Airline of Total Confusion ife na tubaki na precision na mwingine yeyote atakayetaka kuanzisha ya kwake. Sisi tusimamie sheria kuhakikisha hatuletewi mikangafu. Hao TCAA wako wapi?
 
Aliyekuwa anazungumza leo asubuhi Clouds ni David Mattaka
 
fundi mchundo hao
TCAA nilivyokuwa nawajua kabla sijaondoka ni walewale....MONY TALKS RAFIKI....kama wameamua kuileta tumwachie mungu ila usikae kimya kudai haki zetu....inatisha hata mtu kurudi bongo kwa hali hiii
 
ninavyojua kabla ya kuleta ndege lazima ukawanyenyekee...ukikuta kinaeleweka hata kesho waanaenda kuicheck uko iliko kule wakifika ni PM tupu....hii mbovu mnapewa makosa yenu jamaa wanatumiwa dar makosa yao..baada ya hapo mnatangaza yenu ngapi na yeye anataka ngapi...
 
ndaniyahangar2.jpg


Jamani hili ndilo dege lenu la Milioni 30 USD ambalo linafanyiwa "Pimp my ride" huko El Salvador. Tumelikodisha toka Monrovia, Liberia.

Hivi sasa tumeanza kulilipia zaidi ya dola laki nne, wakati hata kufika halijafika!!
Hilo dege laja ua waTZ,bovu ila rangi lang'ara halafu pia laja tia hasara kwani ATC hawana ubavu wa kushindana na Community air line walioshusha bei ingawa nayo inautapeli lakini itawapata abiria wengi kwa bei yao ya chini ambayo kamwe ATC hatakubali kuifuata, Mie pamoja na wandani wangu hata bure kuanzia sasa marukufu to commit suciede
 
Guyz haya ni ya ndugu zetu waliopo ndani ya AIR TANZANIA


1. Mkurugenzi mkuu wa kampuni ni David Mataka. Yeye aliteuliwa na Rais JK baada ya rais aliyemtangulia kumtimua kwa ufisadi. JK alimuonea huruma DM baada ya kukaa ubaoni kwa muda na pia kushindwa kinyang'anyiro cha ubunge kwa tiketi ya chama tawala.

Hivi hili jina la Daud/David lina nini na nchi hii? BoT Daud, ATCL David. Nyie akina "D" chungeni sana. Tutaogopa kuwa ulaji.
 
Ni zaidi ya mwezi umepita... hatujaona shamrashamra za ndege mpya kutua!!

Only in Tanzania...
 
Pdidy,

Da kweli ATCL inatia uchungu kabisa.
Hata reli ya kati nayo wahindi nao wanatufanyia usanii tu.
 
BAADA YA UFISADI KUZIDI KATIKA MASHIRIKA YA UMMA SASA NAFIKIRI NI WAKATI WA KUWAOMBA UMMA nk wana JF KUONA NINI CHA KUFANYA KUWAKOA WATANZANIA WAJA WA MUNGU,,KAMA KELEELLE TUMEPIGA ZA KUTOSHA NA NAOMBA TUENDELE KUPIGA KELELE..ILA MBONA ACTION HAKUNA INABIDI TUTAFUTE NJIA MBADALA HATA KUIMIZIA WANANCHI WAWEZE PATA HAKI ZAO,..
 
Hiyo ATCL wauze tuu na waruhusu makampuni zaidi binafsi kuja kufanya kazi,wao wakusanye kodi na landing fee/usalama wa anga tuu na kujenga viwanja naona itasaidia sana hazina yetu na tutapata usafiri bora zaidi
 
Daily News

AIR Tanzania Company Limited (ATCL) is expected to resume its operations in Africa, Middle East and India next month, using a wide body aircraft leased from Air Jamaica. The Managing Director of ATCL, Mr David Mataka has said the nation’s flag carrier will start flying its newly leased aircraft A320-11 Airbus to South Africa, Dubai and Kuwait routes.

The newly leased plane however is expected to arrive in the country in early March, he said. “We are in the final touches to secure the government’s guarantee which should be ready by next week, in order to conclude the leasing of the aircraft which is to start its maiden operations next month,” he said.

The leasing of the 150 seater plane will cost the company 370,000 US dollars every month, which according to the ATCL Chief Financial Officer; Mr Eliasaph Mathew will boost the net contribution to the company operations. He said that in the first 12 months of services ATCL projects to record a total revenue of 1.7 bn/-, while during the second year the company will realise some 3.5 bn/-.

Earlier, the Airline could not compete as its planes lacked the capacity to carry passengers and cargo simultaneously and was forced to drop one of the two in some destinations, to allow the planes instead to carry more fuel, Mr Mathew said. “We will be able to carry passengers not only to Dubai, but to other destinations like Mumbai, India without worries of overload which previously had led to losses,” he said.

Mr Mataka further said in the first month of operations, the aircraft would be on a wet lease which means both the pilots and crew will be hired from abroad. As soon as the ATCL personnel complete training, they will take over from the foreigners to continue with the running of the aircraft.

Mr Mataka also refuted reports that the leased plane was “not airworthy ”, saying it was only eleven years since it was built, “which is a very young age for an aircraft, even for those being operated by international airlines”. He said most of those aircraft had been in operation for more than 16 years.

He further said most of aircrafts currently operating in the country were more than 30 years old and “still working perfectly”. He added that the plane has also been checked by US Airbus company in collaboration with the local experts, who have established that its aviations' landing gears and engine were in tip top condition.

Meanwhile, ATCL has already acquired two Canadian manufactured Dash 8Q 300 planes owned by a British company that will start operations by the end of February. According to Mr Mataka, the low level noise aircraft with capacity of 60 passengers each will be used on domestic routes. This brings the number of ATCL planes to 5, he said. He sad that the planes would ply Kigoma, Shinyanga and Tabora routes. Other routes include Mwanza, Kilimanjaro and Mtwara.

My Take:

Wakifikishwa mahakamani ndipo watakapoimba!
 
Back
Top Bottom