ATCL: Another Richmond!

sasa kama hali ndio hii, Mataka na Nyang'anyi wanangoja nini hapo?
 
Wana ndugu mkuu ashany.mi nipo huku ulipo wewe nje ya dar natumaini napata data muhimu kuliko unazokuja kuwambia watu uongo....habari zenye uhakika ile kampuni ya madalali ijulikanayo kama YONO AUCT.MART kwaniaba ya STANBICBANK wameanza kukamata magari (VX)LANDCRUISER SABA walizotoa kama dhamana na kuchukua kiasi fulani cha pesa kwa ajili ya kutolea magari mengine na nyingine kutumika kwenye mafuta ili hali hakuna gari zilizotuolewa baada ya hapo.....chanzo chetu cha habari kimesema baada ya kufika pale walitafuta mwenyeji ambapo wengi ama wahusika walijitahidi kujificha kukimbia maswali na majibu.....na ndipo kazi ilipoanza.....
wenye habari zaidi msisite kutuleteta ...jf aifungamani na upande wowote wala kula rushwa
maloovee!!!
 
pole zao
yale mashangingi ma vx yalioletwa na mh mataka kwa kuwadanganya watanzania mitumba imenunuliwa kwa bei za magari mapya leo hii YONO ACT MART wazee wa mjini walifika majira ya saa tano kwa niaba ya STANBICBANK wamekuja kukama ta a magari yao 7 vx ambazo zilitolewa kama mdhamana na uongozi wa atcl kwa kuchukua kiasi cha pesa na kuthibitisha kurudisha muda si mrefu......kwa wlaioko dar tupeni ilikuwaje kama nawaona vile....jamani hawa watu ni wakuwapa tena pesa ....nyanganyi shame on you ma br...longtime but enough!!!!merry xmass
 
Wana ndugu mkuu ashany.mi nipo huku ulipo wewe nje ya dar natumaini napata data muhimu kuliko unazokuja kuwambia watu uongo....habari zenye uhakika ile kampuni ya madalali ijulikanayo kama YONO AUCT.MART kwaniaba ya STANBICBANK wameanza kukamata magari (VX)LANDCRUISER SABA walizotoa kama dhamana na kuchukua kiasi fulani cha pesa kwa ajili ya kutolea magari mengine na nyingine kutumika kwenye mafuta ili hali hakuna gari zilizotuolewa baada ya hapo.....chanzo chetu cha habari kimesema baada ya kufika pale walitafuta mwenyeji ambapo wengi ama wahusika walijitahidi kujificha kukimbia maswali na majibu.....na ndipo kazi ilipoanza.....
wenye habari zaidi msisite kutuleteta ...jf aifungamani na upande wowote wala kula rushwa
maloovee!!! (sweetbaby)
 
Karibu ukumbini sweetbaby....Mwaga nyeti usiogope kabisa ndani ya JF....Wanasema ni kumkoma Nyani Giladi.
 
Hivi wakina Mataka si waliingia kwa mbwembwe kibao kumbe changa la macho. Tunakzi sana ya kuijenga nchi yetu.
 
Mimi hii habari sijaielewa naomba msaada zaidi ama mtoa habari arudie kusema maana nimebaki mtupu kabisa .
 
Sasa wanagizaje mashangingi na hawana hela za kutolea !
 
Nnjii hii huwezi kujua kesho kitatokea nini! Maroroso matupu!!! Mungu atunusuru.
 
Labda kuna watu timamu wanaweza wakakaa kusoma hii thread na wataelewa ATCL imefikaje hapa.
 
Sasa sijui hii sheria inayoruhusu kukodi mitumba inatafautiana vipi na ile iliyotumika kukataa kununua "mitumba ya Dowans". Au sheria zetu ni kama zile zilizomo katika kitabu Shamba la Wanyama (Animal Farm)? Kila mkuu anapachika kipengele chenye maslahi naye. Tusubiri muda utatuonesha yaliyojificha katika dili hii. Ooooh, masikini Wadanganyika siye!!!!
 
Kulikoni!!!!!!!!!!, togehter with your fist post based on this issue and the quoted post, it seems as you know much about this deal.
It seems as you support the deal, pls can you tell us more about this what you call best lease deal though maintanance cost may be very high.
 
Let see how serious they will be in this new venture.. Mr. Nundu the minister in-charge was ATC employee years back. And also ICAO president so hope it will work this time around..
 
ngoja kwanza tupunguze wafanyakazi.......
 
halafu angalia hapa

if the hiring is as above then another richmond saga on the making a cool 40,000 usd a month on some peoples pockets.

Ndivyo nchi inavyoliwa na wenye meno makali
Duuuuhhhhhh
 
Kuweka kumbukumbu sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…