Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,718
JK fukuza hii MAKONGORO tayari imeshakuharibia hivi kaka JK kule mjengo hakuna watu wasafi ukawapa vitengo????maana huyu tayari ni FISADI au unataka Dr.Slaa amlipue ndo ushituke??
Mwajibishe anakushafulia,huyu jamaa CV zake zilisha chafuka kwa nn unalea mifisadi hii tunakushindwa kukuelewa mkuu.
.........WAZEE NINI KIMEMKUTA MAKONGOZO ..NAONA HAJAAMBATANA NA RAIS KWENYE UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI LA BARABARA YA SHELUI..,SINGIDA....NAONA RIPOTI ZOTE ALIZOTAKIWA KUSOMA WAIRI WA MIUNDOMBINU...ANAZISOMA OMARI CHAMBO,KATIBU MKUU
Hivi unafikiri Jk ajui Uwezo wa Makongoro Mahanga??unafikiri ni kwanini watu kama Ngeleja walipewa unaibu na kumkuta mahanga ila kwa sasa ni Full Ministers??ana uwezo mdogo sana katika kutatua matatizoTuendelee kutega masikio...
Hivi unafikiri Jk ajui Uwezo wa Makongoro Mahanga??unafikiri ni kwanini watu kama Ngeleja walipewa unaibu na kumkuta mahanga ila kwa sasa ni Full Ministers??ana uwezo mdogo sana katika kutatua matatizo
Juzi juzi yaani mei mosi Risala ya Raisi kwa wafanyakazi iliyosomwa na Pinda Iringa, alisema wafanyakazi wasikubali kutumiwa na Mafisadi, sasa wafanyakazi wa ATc wanakata kutumika, lakini Bw Maokongoro Mahanga ana fikra tofauti, sasa sijui kauli ya nani iliyo juu ya mwengine?
Pili nini Msimamo wa serekali kuhusu hili la kufichua maovu, ni wa Mahanga au wa Raisi? Tatu huyu mahanga ni mtaalamu wa manunuzi na alikuwa Regestrar wa NBMM, sasa kama na anapigia pande ununuzi usiofuata taratibu , je kuna haja ya kusoma au kuwa na hiyo nbmm? Kazi kwako Jakaya, BP inakukaribia na mengineo, siku watanzania wakiamua mzigo ni wako , sio wa Mahanga.
Zitto,
Kwanini mashirika ya nje yanayoongozwa na waTanzania tena wengine vijana tu yanafanya vizuri?
Ni hayo tu kwa sasa.
innalillah na maswabrina!!!!!!
Allah Ibarik.........