ATC Taabani! yaomba serikali Bilioni 7!

Kweli mkuu! Tunaomba Financial Statement za ATCL tuweze kujadili jambo wakati tuko informed... sio tukiwa gizani!
  • Balance Sheet
  • Cash Fow Statement
  • P/L statement

mzee unaomba kusiko.... ni public documents zitafute tu...
 
mzee unaomba kusiko.... ni public documents zitafute tu...

Mzee Mwanakijiji;

Umeweka post nyingi za ATCL hapa!!! ingekuwa jambo jema pia wewe wewe mdau mkubwa wa ATCL... kuleta hizo habari (financial statements) hapa... tujue unayoongea unayotuletea ni mambo ya magazeti ya mtaani au la?

If you can't give us that!!! then hata hizo unazotuletea ni udaku tu... so you better keep quiet

Kwi kwi kwi... samahani kukukosea heshima mzee wangu!!! I want people to be informed...

Najua ningekuwa naulizia udaku ningepewa mara moja... lakini kwa kuwa nauliza mambo ambayo sio rahisi mtu ku-spin... ni ngumu kuletewa...
 
kasheshe... nilidhani na wewe ni mdau mkubwa wa ATC... na kama ni udaku tuache kuwa udaku tu..

ATC is great
ATC haina matatizo
ATC haina matatizo ya hela
ATC inatumia fedha vizuri
ATC haijakodisha dege la airbus toka Liberia
ATC haijashindwa kurusha wachezaji wetu toka Cameron juzi hadi kupigwa tafu na watu wa TFF (na wadau wengine)
ATC haikushindwa kupeleka mahujaji hadi serikali kuingilia kati..

Na leo wameanza kitu kingine kibaya zaidi... na yote haya ni udaku. Well I better keep quiet.
 
If you can't give us that!!! then hata hizo unazotuletea ni udaku tu... so you better keep quiet

IF YOU CANT THEM JOIN THEM KASHESHE!!!
Loh!!!!!!!
 
Kwi kwi kwi kwi... naona mzee umechukia...
 
uanweza ukawa unachukia huku unacheka kama wewe
pwi!!!!!!!!!111
 
TATIZO KUBWA LINALOWASUMBUA VIONGOZI WETU WENGI WA MASHIRIKA YA UMMA PAMOJA NA HILI LA ATCL NI TAMAA,UBINAFSI,UFISADI,SIASA NA KUTOWAJALI WANANCHI..NIMEKUW NIKISOMA SANA HABARI HIZI ZA HII KAMPUNI NA KUJIKUTA NIKITOA MACHOZI.....NILISHAHAWAH KUKAA NA MH MATTAKA NIKATOA MAWAZO YANGU JINSI YA KUSAIDIA SHIRIKA LAKINI MAMBO NILIOKUWA NIKISIKIA ILIKUWA NI YA KUSIKITISHA......KWANGU MIMI SOTOONA KUSHANGAA WAKISHINDWA KURUSHA NDEGE SABABU YA MAFUTA KUTOKANA NA FUJO ZA ULAJI WANAZOFANYA WAHESHIMIWA HAO...
NILIPATA KUELEZA JAMAA (D.M),BAADA YA KUINGIA NA KUONA HAKUNA SEHEMU YA KULA MOJA KWA MOJA AKAANZISHA KAMA AHSANTE KWA KUWAONGEZE A PESA YAAN PER D.M,,TOKA DOLLER 100 MPAKA 250 USD HUKU YEYE NA AKIJIWEKEA 500,,USD NA MANAGEMENT 450USD..HILI WATU WENGI WALIAMBIWA ATCL MUDA SI MREU MTAKUJA KULIA....MAANA BAADA YA KUJIONGEZEA NDIPO AKAANZA KUPASUASAFARI ZA MABARA ZAIDI YA MOJA AKIKAA DAR SIKU 3 ANARUKA NJE MWEZI ANARUDI WANAKAA NA WENZAKE SIKU 5 WANAKIMBIA NCHI KISA KUTAFUTA WAWEKEZAJI WA KUSAIDIA KAMPUNI...NA KWA TAARIFA NILIYOKUWA NAYO KABLA YA KUAMUA KUMTOA JAMAA ANAESHUGULIKIA MALIPO ILI WAWEZE KUFICHA UCHAFU WAO DAVID MATTAKA(D.M)
ALIKUWA AMESHATUMIA USD 135 ,000KWA MWAKA WA KWANZA TU KWA AJILI YA SAFARI HUKU WENZAKE MA DIRECTOR WAKITUMIA USD 70,000 KILA MMOJA NA HILI SI SWALA LA MAJUNGU WALETE AUDITORS WA NJE...NA NDIO MAANA NASIKIA WALIMFUKUZA MTOTO MMOJA WA KIKE ALIKUWA AUDITOR WA KAMPUNI KWA KUUULIZA ULIZA MASWALI YA MSINGI KUHUSU MATUMIZI MABAYA YA PESA ZA KAMPUNI HASA NJE NA NDANI LIKIWEMO SWALA LA KWENDA KUPUMZIKA BAGAMOYO MARA KWA MARA WAKIJIGAWIA USD 250 KWA 500,,,

SEHEMU NYINGINE ILIYOWAUMIZA HAWA NA ITAKAYOFANYA KUWASAHAULISHA NI KITENGO CHA AJIRA!!!!KUMEKUWA NA AJIRA CHAFU ZISIZO NA ADABU WALA HESHIMA HUKU WAKIAJIRIWA WAHINDI NA MEMBERS WA TRAVEL AGENTS KWA KUJUANA BILA KUANGALIA UMUHIMU WA NAFASI......KITENGO HIKI KINAITAJI KUANGALIWA SANA SANA MAANA NILIKAA NA DADA MMOJA ALINISIKITISHA SANA KUNIAMBIA MAMBO HAYA NA KUSEMA SITOSEMA UONGO DAIMA......KUNA MUHINDI MMOJA AMBAYE AMEKUWA AKITUMIWA NA S.A.AIRWAYS KUIUA KAMPUNI KWA KULETA MAAMUZI AMBAYO YATAIATHIRI KAMPUNI ....MFANO MDOGO NI HUO HAPO CHINI

Dear Colleagues,

Please join me in welcoming the following new staff in my department.

1. Ms. Sophia Shuma - Dar Sales Trainee
2. Mr. Wilbert Ndugulile - Dar Sales Trainee
3. Ms. Theostina Ndyetabula - ETicketing Help Desk
4. Ms. Harieth Rutihinda - ETicketing Help Desk
5. Ms. Stella Sizya - Jro Interline Office
6. Ms. Anna Makundi - Jro Interline Office
7. Ms. Feda Maridadi - Jro Interline Office
8. Mr. Twaha Kiponza - Jro TLO
9. Mr. Mohammad Kiroro - Jro TLO
10. Ms. Mariam Massanja - Moshi CSA
11. Ms. Catherine Kessy - Moshi CSA

Respective team leaders liaise with IT for their office email address.

Brgds,

SWALA LINGINE LINALOUMIZA KAMPUNI HII NI MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA KAMPUNI TANGU MWANZO NILIPOSSIKIA MATATIZO YA ATCL NILIJARIBU KUWAELEZA MARAFIKI ZANGU WALIO HUKO WENYE DHAMANA KUWA MAKINI NA BAADHI YA MAMBO
KUNA MAMBO MENGI YANAYAFANYIKA NAFIKIRI WAKIJUA MASLAN NINI MADHARA YAKE BAADAYE....KUMEKUWA NA SAFARI ZA KWENDA BAGAMOYO MARA KWA MARA KWA VIONGOZI WAKITUMIA MAGARI YA KAMPUNI NA HUKU WAKIPEWA DOLLER 500 NA 350 ..MAMBO HAYA NILISIKIA YALIPIGIWA MAKELELE SANA NA HAKUNA ALIONA HUKU MIKUTANO HIYO HIYO INGEWEZA KUFANYWA UBUNGO PLAZA NA KWINGINEKO.....KUNAITAJIKA MSAAADA MKUBWA KWENYE MAMBO KAMA HAYA KAMA WANAITAKIA VYEMA KAMPUNI......NAFIKIRI BAYA ZAIDI WAKATI WAKILA HIZO PESA WALIKUWA HAWAJUI KWAMBA IPO SIKU ZITAITAJIKA KULIPIA MAFUTA NA HAO BP SIO WAJINGA KUWANYIMA WANASOMA NA WANASIKIA HABARI ZOTE JINSI WANAVYORUMBUA HUKO BAGAMOYO NA KWINGINEKO...INASIKITISHA WAZIRI AAU KATIBU WA MIUNDO MBINU KUWATISHIA BP KWA MEMO KWASABABU WAMEINYIMA ATC MAFUTA.....MBONA PREC***** HAJANYIMWA WAACHENI WATU WABEBE MIZIGO YAO
INASIKITISHA SANA NAWAOMBEA HERI KUIONA SIKU MOJA IKIFANIKIWA KILA LA HERI
mtanzania
 
hatari hiii
jamani nimeenda mwanza asbh hii na ATC
hakuna chakula kabisa na tunalipa
320,000 jamani serikali mko wapi ?????????????
baada ya kuuliza pale mwanza tukaambiwa
ni ndege ya southi africa tu wanaweka chakula
babukubwa
tutafika??????????
 
haa ......hapo mwanza tu upewe chakula! labda juice na packet ya crisps au karanga.
 
Mzee Mwanakijiji;

Umeweka post nyingi za ATCL hapa!!! ingekuwa jambo jema pia wewe wewe mdau mkubwa wa ATCL... kuleta hizo habari (financial statements) hapa... tujue unayoongea unayotuletea ni mambo ya magazeti ya mtaani au la?

If you can't give us that!!! then hata hizo unazotuletea ni udaku tu... so you better keep quiet

Kwi kwi kwi... samahani kukukosea heshima mzee wangu!!! I want people to be informed...

Najua ningekuwa naulizia udaku ningepewa mara moja... lakini kwa kuwa nauliza mambo ambayo sio rahisi mtu ku-spin... ni ngumu kuletewa...

Mwanakijiji ameongelea hali halisi, wewe unataka cash flow. Je, ni mmoja wa wakurugenzi?
Kwani ATC haikukosa mafuta? Na je, ATC haikushindwa kuruka Cameroon. Je, ATC haiendeshwi kwa hasara?
Niliwahi kuweka rekodi ya ATCL kabla hata ya kuleta Air Bus kuwa walikuwa wanpata loss ya $200,000 kwa mwezi.
Sasa hiyo hela ya mafuta wataipata wapi? Source: gazeti la Jambo, inflight magazine ya ATC
 
Mzee Mwanakijiji;

Umeweka post nyingi za ATCL hapa!!! ingekuwa jambo jema pia wewe wewe mdau mkubwa wa ATCL... kuleta hizo habari (financial statements) hapa... tujue unayoongea unayotuletea ni mambo ya magazeti ya mtaani au la?

If you can't give us that!!! then hata hizo unazotuletea ni udaku tu... so you better keep quiet

Kwi kwi kwi... samahani kukukosea heshima mzee wangu!!! I want people to be informed...

Najua ningekuwa naulizia udaku ningepewa mara moja... lakini kwa kuwa nauliza mambo ambayo sio rahisi mtu ku-spin... ni ngumu kuletewa...

Sasa hizo Financial Statement ziko prepared na wezi wenyewe!! Sijui unataka ziprove nini?
 
Mwanakijiji PM, nimeipata, Ahsante sana...

Habari kutoka Bungeni... ni kwamba ATC imeanzisha safari za Dodoma Dar mara mbili kwa wiki...

Nia ya kuomba data sio kutetea ATC... ni ili watu wazima kama mimi nikimweleza mtu mwingine niwe na facts... nisiwe na mambo ya naamini... sijui bla bla bla...etc...

Kuendesha kampuni sio jambo rahisi hata siku moja... cash flow is among challenges za management nyingi sana...
 
Kasheshe hizo habari za wao kuanzisha safari tayari wabunge walishapenyezewa.. subiri wiki ijayo.. mazingaombwe huwa yana mwisho. Nashukuru kama umeupata huo ujumbe wa kwenye PM.. tatizo la ATC ni kubwa mno, lakini siyo lisilotatulika. Linahitaji hatua za makusudi na kijasiri kuweza kulirudisha kwenye kupata faida.

Katika pita pita yangu nimeona mahali ati wanatarajia kupata dola milioni tano wakianzisha safari za kwenda Nairobi...
 
Mwanakijiji PM, nimeipata, Ahsante sana...

Habari kutoka Bungeni... ni kwamba ATC imeanzisha safari za Dodoma Dar mara mbili kwa wiki...

Nia ya kuomba data sio kutetea ATC... ni ili watu wazima kama mimi nikimweleza mtu mwingine niwe na facts... nisiwe na mambo ya naamini... sijui bla bla bla...etc...

Kuendesha kampuni sio jambo rahisi hata siku moja... cash flow is among challenges za management nyingi sana...

Na tatizo lenyewe ndio hili! Kutanguliza kujikomba badala ya kufanya biashara. Waheshimiwa wote lazima wapite sehemu kununua minyama ya ng'ombe. Atakayepanda nani sasa kutoka Dodoma?
 
kwelli JF HII HATARI TUPU!!!!!!!!!!!!!!!!
MWANAKIJIJI EMBU NIAMBIE BDAY YA JF NI LINI ILI TUWEZE KUWATUMIA BAADHI YA MAWAZIRI AMBAO TUMEWEZA KUWASAIDIA KUREKEBISHA WIZARA ZAO WAJUE WANAUME WANAFURAHIAMAISHA SIKU HIYO!!!!!!
KWI KWI KWI
 
Kweli mkuu! Tunaomba Financial Statement za ATCL tuweze kujadili jambo wakati tuko informed... sio tukiwa gizani!
  • Balance Sheet
  • Cash Fow Statement
  • P/L statement

Nenda ATCL ukapewe au watumie email uombe.
 
nafikiri ni wakati wa kuamka na kuangalia wapi tunaelekea na nchi hii,,nafikiri ni vibaya

kuhisi muelewekeo wa mtu kabla ya kukubali matokeo ,,,na maatokeo siku zote yana madhara au faida!!!!!!hivyo basi ni vyema kuwathibiti mapema wale wote wenye nia mbaya kabla ya kukutwa na maafa ya elnino!!!!!!nawatakia maisha mema wafanyakazi wote wa atc,,ma engineer wenzangu mpo!!!mbona zile kash kash zenu za 90"s hazipo au mshapewa cha juuu karibuni kibaha mkistaaafu tufuge nguruwe njiwa na kuku!!!!
bado naumia kuona watu wamekaa kimya waaakitulia huku wanaangamizwa!!!
 
Sh2.5bn fuel debt stalls ATCL flights

By Mkinga Mkinga and Noela Oyugah
THE CITIZEN

The failure by Air Tanzania Company Ltd (ATCL) to transport its passengers during the past two weeks had been caused by a fuel debt amounting to Sh2.5 billion ($2 million), The Citizen has established.

Of the outstanding debt, $1.2 million was inherited from the previous management that forced BP Tanzania to suspended its services to the airline pending payment of the huge debt. The situation hampered the airline's initiative to operate on areas such as the Dar es Salaam-Johannesburg, Mwanza, Kilimanjaro, Mtwara and Mauritius routes during the past two weeks.

This forced ATCL to transfer its booked passengers to rival airlines like South Africa Airways for Dar-Johannesburg route and PrecisionAir for key local routes.

ATCL chief executive officer David Mattaka told The Citizen on Wednesday that the Government had not honoured its promise to pay part of the debt incurred during the defunct partnership between ATCL and South Africa Airways.According to Mr Mattaka, BP Tanzania Ltd and ATCL had agreed to sustain business under the condition that the latter should pay the debt in installments.

To operate its current routes, ATCL spend over Sh1 billion for fuel per month. Between September and June this year, jet fuel prices at the global market rose by 74 per cent, causing heavy loses not only to ATCL, but the aviation industry as a whole.

According to him, under the new agreement, ATCL will be paying BP about Sh700 million per month. Part of the money will service the outstanding debt and the balance meet current fuel supplies. Earlier, the fuel supplier had demanded ATCL to pay Sh1.1 billion per month to service the debt plus the cost of current fuel supplies.

ATCL operates two Boeings 737-200 and Airbus A320-11 on domestic and regional routes. But aviation experts maintain that with the skyrocketing fuel prices, operating Boeing 737-200 is too expensive. For instance to fly from Dar es Salaam to Kilimanjaro International Airport which, 50 minutes flight, Boeing 737-200 consume 8,000 litres of fuel. According to Mr Mattaka, by operating small planes with a capacity to carry 65 passengers, ATCL saves about Sh4 million for a flight to KIA.

However, for regional routes especially from Dar es Salaam to Johannesburg, us of Airbus A320-11, the airline makes profit as the place consumes a reasonable amount of fuel.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom