ATC Taabani! yaomba serikali Bilioni 7!

sasa hela za MAFUTA BP HAWANA

ZA KUFADHILI MISS TANZANIA KISA KUNA WATU WANAKULA

CHA JUU ZIPO,,,MNAFIKIRI LITAENDELEA HILI SHIRIKA

SOMA TANZANIA DAIMA LEO MICHEZONI.....

WITH FULL OF SHAME ATCL KUDHAMINI MISS TANZANIA

WATU WANASHINDWA KUPEWA HATA PIPI KIFUA ZA SH 100 NA MAJI

WACHA JUICE MNAKIMBILIA KUJITANGAZA MNAFEDHWA KWENYE MISS TANZANIA

TANZANIAN WERE ARE YOU ??????????????????????

NYERERE FORGIVE US!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hongera babu kwa kazi ngumu lakini nzuri. posts 10,000 ni kazi kubwa. Hilo la ATC (Air Dala dala) ni sawa na kumpigia mbuzi guitor maana hata wakipewa 7 billion leo, baada ya 2 years utaniambia
 
Wakuu heshima mbele naomba mwenye kujua lile dege la Precision Air inabeba watu 150 ina wagharimu $150,000 kwa mwezi na hii ya ATC ya watu 150 pia inawagharimu $370,000 kwa mwezi
Je hawa wateza kushindana kibiashara ?
Hapa lazima hawa jamaa hicho walicho kula bila kunawa kiwatokee puani
 
Of the outstanding debt, $1.2 million was inherited from the previous management that forced BP Tanzania to suspended its services to the airline pending payment of the huge debt

Haya hapa juu yanaonyesha kwamba kuna dept la kurithi pia.. hivyo si vyema kila kitu kupelekwa kwa mataka!

Je wajameni ile ndege ya Dodoma iruka haikura?

Kampuni yoyote inayofanya biashara ina madeni... kamuulizeni Mh. wa vyombo vya habari vingiiii
 
Haya hapa juu yanaonyesha kwamba kuna dept la kurithi pia.. hivyo si vyema kila kitu kupelekwa kwa mataka!

Je wajameni ile ndege ya Dodoma iruka haikura?

Kampuni yoyote inayofanya biashara ina madeni... kamuulizeni Mh. wa vyombo vya habari vingiiii


Kasheshe naona unataka kuanza kuhalalisha ubovu wa uongozi. Haya bwana.. yangu macho.
 
Kwa wale wenye kumbukumbu, niliandika hapa JF kuwa kadri maamuzi ya kuinusuru ATCL yanavyochelewa, siku inayofuatia itaendelea kuwa ngumu kwa ATCL kuliko ile ya leo na hasara kwa ATCL itaongezeka kila siku zinavyozidi kuongezeka.

Matatizo yanayoikabili ATCL mimi na wachangiaji wengine tumejaribu kuyaeleza na hata kufikia kutoa mapendekezo ya nini kifanyike.

Vilevile nilijaribu kueleza kiini cha matatizo yanayoikabili ATCL kwa kuaninisha chanzo chake ambacho ni management team ambayo haikidhi matakwa hali ya uendeshaji wa shughuli za anga kwa kipindi hiki ambacho ATCL inatakiwa ikarabatiwe.

Hali ilivyo ya biashara ya usafiri wa anga sasa hivi ulimwenguni imegubikwa na matatizo mengi ikiwemo ongezo kubwa la bei ya mafuta, bima, vipuri nk. Unahitajika utaalam usio na shaka wa kuweza kuliendesha shirika liweze kubuni njia za kweli na zenye uhakika wa kulipatia shirika mapato ya kuweza kukabiliana na changamoto zilizogubika biashara hiyo.

Bado nitaendelea kusisitiza hatua za haraka zichukuliwe kuinusuru ATCL kwa kukodisha timu ya wataalam wa menejimenti ya uendeshaji wa mashirika ya ndege Aviation Management Experts. Hatua hii itasaidia kukarabati ATCL na vilevile kupasha utaalam wa kimenejimenti ulioko katika Aviation Industry ya leo.

Ninasikitika sana kuona ATCL inavyoendelea kukumbwa na matatizo kila kukicha na kupoteza mamilioni ya pesa bila kuonyesha kupatikana suluhu ya kudumu. Kwa mimi ambaye ninaishi nje ya Tanzania na ambaye tayari nilishafanya kazi kwenye Aviation Industry ya Tanzania kwa takriban miaka 20, ninafedheheka sana kuona hali ya ATCL ikiendelea kuporomoka.
 
Ninasikitika sana kuona ATCL inavyoendelea kukumbwa na matatizo kila kukicha na kupoteza mamilioni ya pesa bila kuonyesha kupatikana suluhu ya kudumu. Kwa mimi ambaye ninaishi nje ya Tanzania na ambaye tayari nilishafanya kazi kwenye Aviation Industry ya Tanzania kwa takriban miaka 20, ninafedheheka sana kuona hali ya ATCL ikiendelea kuporomoka.
__________________


MKUU NA WEWE UKONJA MATUNDAWANAYOONJA WENZIO HIVI SASA NASIKIA ULIKUWA KULE KWENYE ULAJI ACCOUNTS...LABDA WEWE NDIO UNGESAIDIA ZAIDI KUMWAGA UKWELI
 
.................dodoma Ya Ohio?????????::::
Nilienda Kukata Siku Hiyo Tukaambiwa Na Agent Wamepigwa Marufuku Hata Kuongelea !!!!hiii Babu Kubwa@@###
 
Mr. Impossible sasa si Bungeni walitangaziwa kuwa ndege ilitakiwa kuanza safari ile tarehe 5? hakuna mtu aliyeuliza Bungeni imekuwaje wabunge kudanganywa au kuchezewa shere?
 
Mzee Mwanakijiji;241053]Mr. Impossible sasa si Bungeni walitangaziwa kuwa ndege ilitakiwa kuanza safari ile tarehe 5? hakuna mtu aliyeuliza Bungeni imekuwaje wabunge kudanganywa au kuchezewa shere?

Utauliza utupu wa mbuzi wakati hana chupi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom