Atayaweza majukumu huyu kweli?

Atayaweza majukumu huyu kweli?

Hey usimwangalie usoni utajuta mama .soma alama za nyakati usijelie na wakwenu
 
kabla ya kuleta malalamiko yako hapa jukwaani umeishawahi kuongea nae kuhusu hii kitu au umekurupuka tu?kama unajitosheleza pengine mwenzio anaona hana haja ya kubebana na misosi.wakati mwingine inabidi ufikirie mambo kwa mapana yake,unaweza kushangaa akaja kuwa msaada mkubwa sana kwako katika mambo makubwa na ya muhimu kabisa kuliko hata huo msosi unaouligia kelele.unadhani asipokula kwako hana sehemu nyingine ya kula?au elf 3 ya ugali samaki inamkosa hadi adoee kwako?THINK BIG SISTER.LIFE IS MORE THAN JUST FOOD

Word mkuu wanawake sijui mnakuaje sometime mnapenda sana do me i do you, jino kwa jino, kuna vitu vingine ni vidogo mpaka mtu kuchangia anaona its not a big deal, kama unauwezo wa kununua chakula plse we endelea kununua na unawezakuta anakuja kula mara moja kwa siku ili, kuimalisha uhusiano, na akipotea mnaanzakulialia hana muda na mimi, na kama hauna uwezo ongea nae mwambie akupe hela ya msosi na sio cha siku moja mpe list labda ya mwezi
 
Ngoja nimsaidie kujibu maana nadhani yuko bize anamuandalia chakula cha leo, amesema wana miezi sita.

Hahahahaha,kama ni miezi 6 kuna mawili..

1: Jamaa hana mpango nae

2: Jamaa anampima kiwango chake cha kumudu kuwa mama wa familia yake

3: Inawezekana bi dada alimuonesha jamaa kuwa she's a super woman so jamaa akaamua kumuacha
 
^^
Uchumba ni kipindi cha kupendana kwa nia ya kufikia ndoa. Ni wakati wa kujiridhisha kama uliyenae atakufaa baadae, ukiona hafai off you go!
Kwa mfano, unapojiuliza wakati huu kama mwenzako atamudu, hata wewe jiulize utaweza kufanya haya unayofanya?
Tujipime Tuwapimapo na wengine. Vingnevyo tatizo lako linazungumzika. Kaeni mlijadili
^^

We jamaa unaakili sana
 
Hahahahaha,kama ni miezi 6 kuna mawili..

1: Jamaa hana mpango nae

2: Jamaa anampima kiwango chake cha kumudu kuwa mama wa familia yake

3: Inawezekana bi dada alimuonesha jamaa kuwa she's a super woman so jamaa akaamua kumuacha

hyo sababu namba mbili,big No aisee! Hawa ni kina marioo style hata usimteee!
 
''wasema chai ina chumvi, chakula hiki kina sisimizi..!

you know i'm crazy over you, crazy, crazy, crazy over you, lakini sasa nachoka, oh no!- usipoacha vituko, kwani mimi nitaondoka!''

talk back to your man, msome kama miezi sita hivi, asipojirudi then chukua hatua!

Jamani miezi sita yote hiyo mingi sana! mmoja tu unamtosha! Hafai huyo! Team Kitonga!
 
Mamaaaa bembeleza ndoa uvae gauni jeupe! Upate mabakuli kitchen party!
 
Hongera sana dada, tena sana. Jamaa kapata sana huyo, tena kama kazini kwake sio mbali mbembeleze aanze kupitia kunywa chai kisha aende kazini na mchana aje kula chakula pamoja na jioni. Mwache jamaa apumue na kupumzika stress, ukipata tatizo la kusaidiwa mpe taarifa halafu ndipo usome udume wake! Ila kitandani si yuko fresh tu?
 
wang alikua km wako toka tuko wachumba cku 1 nikaamua kuorodhesha vitu nnavyovitaka nikampa matokeo yake akagawa kwa 2 yan tuchangie na ictoshe hakunipa hiyo hela akaniagiza nenda duka fulan ukachukue kibaya zaid nilikut sukar tu!!!! aiseee hata hiyo sukar ckuichukua nikanunua mwenyewe vyote! wala hakuuliza na ckumwambia tena wala kumuomba hela. miez ikapita namlisha tu!!!!! hata hashtuk cku moja nikamtolea uvivu mtu mbahili cwez kuish nae nikamsemaaaa nikalizoa km huwez kubadilika tufunge ukurasa! akadai harudii tena kweli alibadilika lkn ilikua kwa muda tu sasa tupo ndoan but akiamka hatoi hea ukiomba utasikia ya nini eti mwambie beb mia mbili ya chumv shwnz!!!! combi hela hata biwe nimetingwa vp ila akil yabg ipo bze kufanyia ujasili mal nipte hela coz mshahara hautosh fanilia nzm inantegemea mwenyewe. mkimbie mapema hawabadilikag hawa.
 
Word mkuu wanawake sijui mnakuaje sometime mnapenda sana do me i do you, jino kwa jino, kuna vitu vingine ni vidogo mpaka mtu kuchangia anaona its not a big deal, kama unauwezo wa kununua chakula plse we endelea kununua na unawezakuta anakuja kula mara moja kwa siku ili, kuimalisha uhusiano, na akipotea mnaanzakulialia hana muda na mimi, na kama hauna uwezo ongea nae mwambie akupe hela ya msosi na sio cha siku moja mpe list labda ya mwezi

Sawa chakula ni kitu kidogo. Hivyo vikubwa anavifanya? Angekuwa hachangii af mambo mengine ananisaidia wala kusingekuwa na maswali. Hakuna msaada anaonipa,hata mahitaji madogomadogo ambayo hata yeye yanamgusa anaona kazi kujituma! Ndio maana naogopa tukiingia ndoani atanibebesha majukumu yote
 
Hahahahaha,kama ni miezi 6 kuna mawili..

1: Jamaa hana mpango nae

2: Jamaa anampima kiwango chake cha kumudu kuwa mama wa familia yake

3: Inawezekana bi dada alimuonesha jamaa kuwa she's a super woman so jamaa akaamua kumuacha

Hahaaaa u-super woman ameuona wapi na mm ndo kwanzaa naanza maisha ya kujitegemea hata mwaka sijamaliza. Mimi nahisi hilo la kwanza ndo lina-sound zaidi
 
Hongera sana dada, tena sana. Jamaa kapata sana huyo, tena kama kazini kwake sio mbali mbembeleze aanze kupitia kunywa chai kisha aende kazini na mchana aje kula chakula pamoja na jioni. Mwache jamaa apumue na kupumzika stress, ukipata tatizo la kusaidiwa mpe taarifa halafu ndipo usome udume wake! Ila kitandani si yuko fresh tu?

Sijaelewa hongera ya nini hapa
 
Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.

Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.

Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.

Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?

Shosti sepa,,,hafai huyo,,,,ye kaz kula tuu,,,hajui kuhemea,,,zake anapeleka wapi,,,,haya mbio mbio
 
wang alikua km wako toka tuko wachumba cku 1 nikaamua kuorodhesha vitu nnavyovitaka nikampa matokeo yake akagawa kwa 2 yan tuchangie na ictoshe hakunipa hiyo hela akaniagiza nenda duka fulan ukachukue kibaya zaid nilikut sukar tu!!!! aiseee hata hiyo sukar ckuichukua nikanunua mwenyewe vyote! wala hakuuliza na ckumwambia tena wala kumuomba hela. miez ikapita namlisha tu!!!!! hata hashtuk cku moja nikamtolea uvivu mtu mbahili cwez kuish nae nikamsemaaaa nikalizoa km huwez kubadilika tufunge ukurasa! akadai harudii tena kweli alibadilika lkn ilikua kwa muda tu sasa tupo ndoan but akiamka hatoi hea ukiomba utasikia ya nini eti mwambie beb mia mbili ya chumv shwnz!!!! combi hela hata biwe nimetingwa vp ila akil yabg ipo bze kufanyia ujasili mal nipte hela coz mshahara hautosh fanilia nzm inantegemea mwenyewe. mkimbie mapema hawabadilikag hawa.

Lol somo murua kabisa
 
Back
Top Bottom