Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,632
- Thread starter
- #61
Sikia my dear nikwambie dizain ya mwanaume kama huyo ni bahili.. tafuta siku akiwa na mood mnzuri sana mwambie "nataka niongeze stock ya chakula kuna vitu hivi na hivi hakuna kwa hiyo naomba niongezee pesa ninunue".
Then hapo msome uso wake atakavyo respond ndio utapata jibu uko na mwanaume wa aina gani.
Nlishawahi kumuambia naomba hela nikanunue gas nikaambiwa 'mwisho wa mwezi' heee! Kwa hyo nisipike mpaka mwisho wa mwezi? Nikanunua gas na siku alivyokuja hata hakuuliza nimeipataje na mwisho wa mwez ulifika akapiga kimya mpaka leo hii nnapoandika