Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,632
- Thread starter
- #241
kati ya ID ambazo naziheshimu sana mojawapo ni hii ya kwako..., nikawa nakuona kama upo kushauri wengine as Great thinker, hata hivyo nlijisahau kuwa kumbe mganga hajitibu.
naamini hujanielewa vibaya, si lengo langu kukukwaza.
Wala usihofu hata hujanikwaza ila ningependa kujua kilichoondoa heshima yangu....na vilevile tambua kwenye maisha kuna ups and downs.....siwezi nikakuelezea kila kitu nikiri tu kwamba niliteleza
