Ni maisha yao.....kwani wote tuna fomula moja ya maisha?
You are a good girl.
God will bless you abundantly.....
Waacha kumdanganya mjukuu wa mwenziooo😀
Unakuja kuomba ushauri JF hivi ndoa yako/uchumba wako utapona kweli???? labda uwe ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana kiakili kwenye kuchambua mawazo ya watu ndipo unaweza kupata hitimisho sahihi,vinginevyo umekuja kumalizia mahusiano yako hapa LOL!!
Huwezi jua naweza kufikiriwa......
Stop dreaming my dear! Huyo mwanaume hakufai kabisa...na majukumu yake hasa ni yapi kama hawezi kusaidia hats hela ya chakula kwa ampendae!??
Acha kujipa moyo kwenye hamna.....am telling you! Nyota njema huonekana asubuhi!
Hahaaaa!!! Nisaidie kushangaa na ww nwenzangu
Kimbia,toka nduki,toka faster,ukiangua ukiumia inuka vumilia,mkimbie sana mario huyo,sio husbund type kabisa
Nimefanyaje tena....yani mimi ndo nikufanye uikatie tamaa jf?