Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,583
- 134,220
Anachotakiwa kufanya Mama is to extend the olive branch kwa Lissu, Lissu akatae mwenyewe and that is the end of Chadema.P unafikiri Lissu Mughwai anaweza kukubali uteuzi wa bimkubwa?
Ya kwanza ni kuwajibika kama kiongozi kwa yalitokea, kila nafasi inakuja na wajibu zaidi ya hapo ni kujihesabia haki na kuhesabia wengine makosa, na mwisho hakuna uponyaji wa Taifa.Tumemshauri humu kazi ya kwanza baada ya kuapishwa ni healing the nation,
Hii umeiweka kikatili sana, inasound kama blackmail, kwamba uhai wa Chadema haupo asipoubali offer ya mama, kwahiyo itabidi akubali tu, ukweli ni kwamba Lissu hawezi kubali.Anachotakiwa kufanya Mama is to extend the olive branch kwa Lissu, Lissu akatae mwenyewe and that is the end of Chadema.
Lisu ata wakimpa urais bila uchaguzi atakataa sembuse ubungeAnachotakiwa kufanya Mama is to extend the olive branch kwa Lissu, Lissu akatae mwenyewe and that is the end of Chadema.
Lissu akikubali, he is the only person GenZi watamsikiliza.
Amesema tuu tutakinukisha, akiwa gerezani, huku watu wamekinukisha kweli, angekuwa uraiani, Lissu na Heche wangekuwa assigned na best of their snipers for assassin's mission and do away with them!.
P
AG magumashi atasign mikataba hewaNina wasiwasi itakuwa ngumu sana kwa watendaji wake serikali kufanya kazi mitaani humo...
kwani anajali!Hivi huko alipo anajisikiaje?
kumwaga damu zote hizo hata kula na kulala siwezi.
Huyu ndiyo Pascal ninaye mfahamu.Tumemshauri humu kazi ya kwanza baada ya kuapishwa ni healing the nation,
Kwa mujibu wa katiba yetu,akiishatangazwa,ndio ametangazwa,uchaguzi umekwisha,there is nothing anybody can do. Kitu cha kwanza baada ya kuapishwa,
1. atoe a general amnesty kwa wale wahalifu wote waliofanya ule uhalifu kwasababu japo ni wahalifu kwa maandamano yaliyoambatana na uharibifu wa mali wa kijinai, kwa wengine hawa vijana ni mashujaa wakombozi waliojitoa kuipigania nchi yao, asiwaadhibu. Tena CDF Mkunda aondoshwe, Wale the good ones waandikishwe JKT wachujwe, waajiriwe jeshini.
2. akubali serikali italipa fidia kwa kila uharibifu uliotokea kwasababu ni serikali yake imesababisha yote haya.
3. a heal the nation kwa kuwateua Lissu,Zitto,Mpina,na Mwalimu katika zile nafasi zake 10 za ubunge ili kuwapoza moto Gen Zii, mtu kama Lissu akisimama na kusema tulieni, vijana wanatulia.
4. Ashushe mabega chini,awe humble,aje down to earth, asiendelee kutambia urais wake wala u mimi ndie Amiri Jeshi, 5 days taifa limechafuka hakuna kauli ya CinC!
5. a wa disband wasiojulikana ambao ni 'wasiojulikana', na ni “wasiojulikana” kweli hawajulikani,akubali serikali yetu haina uwezo kuwabaini,aombe msaada wa kusaidiwa na yeyote,tukiwemo sisi waandishi wa IJ.
P
Tuangalie tlipojikwaa ila wengi tunaangalia tulipoangukia na kusahau tumefikaje na hulka ya huyo mtu anayepaswa kushusha mabega au ku heal the nationTumemshauri humu kazi ya kwanza baada ya kuapishwa ni healing the nation,
Kwa mujibu wa katiba yetu,akiishatangazwa,ndio ametangazwa,uchaguzi umekwisha,there is nothing anybody can do. Kitu cha kwanza baada ya kuapishwa,
1. atoe a general amnesty kwa wale wahalifu wote waliofanya ule uhalifu kwasababu japo ni wahalifu kwa maandamano yaliyoambatana na uharibifu wa mali wa kijinai, kwa wengine hawa vijana ni mashujaa wakombozi waliojitoa kuipigania nchi yao, asiwaadhibu. Tena CDF Mkunda aondoshwe, Wale the good ones waandikishwe JKT wachujwe, waajiriwe jeshini.
2. akubali serikali italipa fidia kwa kila uharibifu uliotokea kwasababu ni serikali yake imesababisha yote haya.
3. a heal the nation kwa kuwateua Lissu,Zitto,Mpina,na Mwalimu katika zile nafasi zake 10 za ubunge ili kuwapoza moto Gen Zii, mtu kama Lissu akisimama na kusema tulieni, vijana wanatulia.
4. Ashushe mabega chini,awe humble,aje down to earth, asiendelee kutambia urais wake wala u mimi ndie Amiri Jeshi, 5 days taifa limechafuka hakuna kauli ya CinC!
5. a wa disband wasiojulikana ambao ni 'wasiojulikana', na ni “wasiojulikana” kweli hawajulikani,akubali serikali yetu haina uwezo kuwabaini,aombe msaada wa kusaidiwa na yeyote,tukiwemo sisi waandishi wa IJ.
P
Anachotakiwa kufanya Mama is to extend the olive branch kwa Lissu, Lissu akatae mwenyewe and that is the end of Chadema.
Lissu akikubali, he is the only person GenZi watamsikiliza.
Vitishoo Vitishoo kuhusu mwisho wa chadema havijaanza leo na havitaisha leo.mliamnini kua kumuweka Lissu ndani itawapa ahueni, kilichotokea ni mauaji ya halaiki.Tuangalie tlipojikwaa ila wengi tunaangalia tulipoangukia na kusahau tumefikaje na hulka ya huyo mtu anayepaswa kushusha mabega au ku heal the nation
Kwa watu wanaomfahamu na kwa kauli zake hadharani ni mama Haambiliki i.e Chura Kiziwi
JW limekuwa scapegoat lakini TISS ndio wenye dhamana kubwa ya kutoa taarifa na wamejaa humo JW na humu mitaani wakiwa na taarifa za kila mtu. Hakuna asiye julikana nchi hii hata humu mitandanaoni wote tunajulikana
Watu wa kumshauri wanamwambia anachotaka kusikia, "anaupiga mwingi"
Wazee kama Warioba ambao walijaribu kumsihi aongee na wapinzani wake walimshindwa na akaanza kuwananga yeye na JK kwenye msiba wa CD Msuya, naye ameamua kukaa pembeni
Viongozi wa dini hasa wa BAKWATA hawana moral authority ya kumwambia na wanashindwa kumueleza ukweli kwa sababu ni "mwenzetu" wakinufaika na mialiko ya futari na hafla za Ikulu
Hao wa dini nyengine ukitoa RC wengi wamekuwa compromised na misaada ya kifedha kwenye makanisa na taasisi za kidini wazozisimimamia, wanaogopa kukemea matukio yanayosababisha tofauti za kisiasa, kijamii, kidini, kikanda na kiuchumi
Mtu kama Askofu Shoo au Malasusa wa kukaa kimya kwenye situation kama hii?
JK alipaswa kuwa "stateman" akiwa kama Rais mstaafu aliyebaki hai badala yake anacheza na petty politics za CCM. Huko nje anaitwa kwenye migogoro kusuluhisha na kipindi chake aliweza kuwaita kina Lipumba, Lisssu na Mbowe kuepusha migogoro ya kisiasa. Nyerere alikuwa akiwasema pembeni na hadharani kina Mwinyi na Mkapa wakiwa ma Rais
It takes two to tango ila kwa yeye bado hata upande wa pili uwe tayari
Kiajakazi, umewatambua wahuni, wasaliti wanaotumiwa na Samia.haiwezekani hata siku moja kwenye communist country ukatumia real id yako halafu ukawa huru kimawazo.
kwangu you are just gaslighting people lkn ni mmoja wao, i.e sehemu ya huu mfumo unao tesa na kuuwa watu, vinginevyo usingekuwa huru hivyo tena na picha yako juu? halipo hilo.
i mean kwenye nchi ambayo wanadiriki kuzima internet karibia wiki in the 21st century ambapo internet ni kila kitu halafu wewe ujianike hivyo huku ukijaribu kuaminisha watu kwamba hauna upande? …
Kinacho nishangaza kila siku ni hekaya za Chadema kufaa. Na hawachoki kazi ni kubadilisha sababu.Hii umeiweka kikatili sana, inasound kama blackmail, kwamba uhai wa Chadema haupo asipoubali offer ya mama, kwahiyo itabidi akubali tu, ukweli ni kwamba Lissu hawezi kubali.
Pia watu hawajafa kwaajili ya chama wala mwanasiasa ili apate nafasi na ulaji.
Bora hata angekuwa na hiyo akili ya kulipangua jeshi la polisi angepata pa kujifichia lakini huo mpango haupo ni mwendo wa "mtawafanya nini" hata wasipofanyaWamemtangaza..watamuapisha
Watawalazimisha Watanzania kumpenda na kumuimbia tena...picha zake zitajazwa kila kona
Atakapoapishwa atapangua jeshi la polisi na kuwalaumu wao...
Lakini hadi hivi sasa hawajaonesha hata kidogo kuelewa kilichotokea...kusikitika lakini kitendo cha kuleta mamluki kwenye nchi yetu ni dhambi kubwa sana...
Wao wamemtangaza kwa risasi
Mioyo imemkataa na kuasi.
Utawala wa risasi umekamilikaWamemtangaza..watamuapisha