Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,104
- 43,357
Watch and see brother, wanaweza kutushinda wananchi sababu hatuna silaha..lakini amini nachokuambia , JWTZ kwa asilimia kubwa vikosi vingi vimekwisha muasi , ni suala la muda ,inaweza kua hata mwaka ,au zaidi ila atakutana na shughuli ambayo itamfanya ajutie Siku Mungu aliyomuumba!!..kama ameshindwa kuilinda major city dar es salaam, Hana ubavu wa kupambana na Tanganyika..hata Uganda nzima imsaidie!!Wamemtangaza..watamuapisha
Watawalazimisha Watanzania kumpenda na kumuimbia tena...picha zake zitajazwa kila kona
Atakapoapishwa atapangua jeshi la polisi na kuwalaumu wao...
Lakini hadi hivi sasa hawajaonesha hata kidogo kuelewa kilichotokea...kusikitika lakini kitendo cha kuleta mamluki kwenye nchi yetu ni dhambi kubwa sana...
Wao wamemtangaza kwa risasi
Mioyo imemkataa na kuasi.
Nakubaliana na wewe kabisa, haya ni mambo ya kusikitisha na ya kuhuzunisha. Wamekipata walichokitaka. Sasa umoja wa kitaifa na kauli kama hizo basi… tuishi kwa kuviziana kama wanyama msituni.Wamemtangaza..watamuapisha
Watawalazimisha Watanzania kumpenda na kumuimbia tena...picha zake zitajazwa kila kona
Atakapoapishwa atapangua jeshi la polisi na kuwalaumu wao...
Lakini hadi hivi sasa hawajaonesha hata kidogo kuelewa kilichotokea...kusikitika lakini kitendo cha kuleta mamluki kwenye nchi yetu ni dhambi kubwa sana...
Wao wamemtangaza kwa risasi
Mioyo imemkataa na kuasi.
Ukisikiliza speech yake ndo utachoka kabisa, naona hawa mamluki watakuwepo sana hapa nchini .. nothing will change positively ..Wamemtangaza..watamuapisha
Watawalazimisha Watanzania kumpenda na kumuimbia tena...picha zake zitajazwa kila kona
Atakapoapishwa atapangua jeshi la polisi na kuwalaumu wao...
Lakini hadi hivi sasa hawajaonesha hata kidogo kuelewa kilichotokea...kusikitika lakini kitendo cha kuleta mamluki kwenye nchi yetu ni dhambi kubwa sana...
Wao wamemtangaza kwa risasi
Mioyo imemkataa na kuasi.
Kwa vile ni YEYE huziweka tawala za mataifa, then ni YEYE ameruhusu huu ushetani utokee kwenye ardhi yetu na kumruhusu shetani atamalaki na ushetani kutamalaki, tumwachie YEYE MWENYEWE, Atatenda!.Wamemtangaza..watamuapisha
Watawalazimisha Watanzania kumpenda na kumuimbia tena...picha zake zitajazwa kila kona
Atakapoapishwa atapangua jeshi la polisi na kuwalaumu wao...
Lakini hadi hivi sasa hawajaonesha hata kidogo kuelewa kilichotokea...kusikitika lakini kitendo cha kuleta mamluki kwenye nchi yetu ni dhambi kubwa sana...
Wao wamemtangaza kwa risasi
Mioyo imemkataa na kuasi.
Mkuu,kwa experience yako una predict kuna changes zozote zitatokea baada ya hizi vurugu?Kwa vile ni YEYE huziweka tawala za mataifa, then ni YEYE ameruhusu huu ushetani utokee kwenye ardhi yetu na kumruhusu shetani atamalaki na ushetani kutamalaki, tumwachie YEYE MWENYEWE, Atatenda!.
P
Yes the biggest change ni YEYE atafanya kitu!, kuna jambo litatokea kuwafuta machozi Watanzania.Mkuu,kwa experience yako una predict kuna changes zozote zitatokea baada ya hizi vurugu?
Tumemshauri humu kazi ya kwanza baada ya kuapishwa ni healing the nation,Nina wasiwasi itakuwa ngumu sana kwa watendaji wake serikali kufanya kazi mitaani humo...
That’s bullshit!Tumemshauri humu kazi ya kwanza baada ya kuapishwa ni healing the nation,
P
Thanks mkuu,nimekuelewa vizuri sana.Yes the biggest change ni YEYE atafanya kitu!, kuna jambo litatokea kuwafuta machozi Watanzania.
Pili kukataliwa ni kubaya, hivyo Bi Dada will be just a figure head, ana move back na kumuacha VP, ndie will be running the show, and he is dam good, tatizo la VP ni moja tuu, ni mtu wa ule mtandao wa wale wahuni wa Polepole!.
P
Leo ndio nimekusikia umenena ukweli Pascal..barikiwa!Kwa vile ni YEYE huziweka tawala za mataifa, then ni YEYE ameruhusu huu ushetani utokee kwenye ardhi yetu na kumruhusu shetani atamalaki na ushetani kutamalaki, tumwachie YEYE MWENYEWE, Atatenda!.
P
Wamemtangaza..watamuapisha
Watawalazimisha Watanzania kumpenda na kumuimbia tena...picha zake zitajazwa kila kona
Atakapoapishwa atapangua jeshi la polisi na kuwalaumu wao...
Lakini hadi hivi sasa hawajaonesha hata kidogo kuelewa kilichotokea...kusikitika lakini kitendo cha kuleta mamluki kwenye nchi yetu ni dhambi kubwa sana...
Wao wamemtangaza kwa risasi
Mioyo imemkataa na kuasi.
Kama kampuni ina vibali na tenda hizo zote, kwa nini waende kuhangaika na kuchota pesa Hazina
Huyu mgonjwa wa akili anahitaji matibabu
mamluki kwenye nchi yetu ni dhambi kubwa sana
Ni muhimu kufanya maandamano makubwa ya ki historia.Hili Jambo alikubariki na kamwe halitakubarika.
Tunaanda utaratibu, tutaandaa maandamano mapya Africa mashariki itajifunza kwetu.
Tulichokifanya tunaita demo
unayajua majeshi yetu?Watch and see brother, wanaweza kutushinda wananchi sababu hatuna silaha..lakini amini nachokuambia , JWTZ kwa asilimia kubwa vikosi vingi vimekwisha muasi , ni suala la muda ,inaweza kua hata mwaka ,au zaidi ila atakutana na shughuli ambayo itamfanya ajutie Siku Mungu aliyomuumba!!..kama ameshindwa kuilinda major city dar es salaam, Hana ubavu wa kupambana na Tanganyika..hata Uganda nzima imsaidie!!