Ni kusema tu mabaya ya Samia, mazuri aaaaahhh!

Ni kusema tu mabaya ya Samia, mazuri aaaaahhh!

una akili sana kijana utafika mbali hawa wenzako wanalazimisha wote tumchukie rais kosa wamenyimwa teuzi, ukuu wa wilaya nk
kwamba hata mdude, soka, polepole, gwajima, niffer nk wote wamenymwa hzo teuze? Hebu jaribu kunishawish niamini je yule mdada aliyekuwa jana amevaa tshirt imeandkwa i love lissu akakamatwa na hajulikan alipo naye kanyimwa teuzi hzo au vp.. Vp khs mzee kibao naye shda ilikuwa nn mpk kuuwawa kikatili vile au naye n miongon mwa wanymwa teuz ulizosema.
 
Kwamba mtu akitekwa inapaswa ajiulize amekosea wapi.. aisee?

Hivi noli kwanini nyie machawa wa huyu shetani kutoka kuzimu-kazi mmekosa akili hata kidogo?

Yaan kabisa unajustify njia za kijangiri ambazo serikali ya mama ako samia inazitumia kudeal na wakosoaji wake?

Kwanini watekwe na sio kukamatwa kwa kufuata taratibu? Kwa hiyo unakubali mama ako samia kwa kiasi kikubwa anahusika na haya matukio yote ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini kwa sasa?

Hakika hii serikali inastahili kuondoka madarakani kwa namna yoyote ile, maana wapumbav kama wewe mnayoitetea kwa kila ovu inalofanya mpo wengi sana.
 
pimbi ni wewe rais kaua au watumishi wake ndo wameua utakuja ufungwe jela kiboya sana hujui kiwasilisha lalamiko je akikutaka utoe ushahidi wa kuua, unao?
Nasikitika kwamba kumbe tunajadili na mgonjwa wa akili fungeni kamba peleka milembe
 
Mkuu nadhani upo kusaidiana na dada ako kuosha vyombo apo kwa shemeji yako, ndiyo maana unaropokwa uharo.
 
Alilipa mabilioni ili mafuta ya petrol yasoipande kuepusha mfumuko wa bei.

Wazalendo wakagoma hela za halmashauri zisitoke, hazirejeshwi akawa mbogo na hela zikarudi kwa wananchi.

Watoto wenu wa kike wakalombwa huko wakapewa ujauzito wakaktaliwa kurudi shule ye akawarudisha.

Maghorofa kariakoo na Tanzania nzima yanaota ka uyoga baada ya kusimama kwa muda mrefu

Wanafunzi diploma eti nao wanakula mkopo dah, huyu mama ana pepo yake wallah.

Changamoto yake ni utekaji tu mbona we hujatekwa hivo ukitekwa jiulize umekosea wapi, japo na amini jilo jambo litakoma siku moja ila nasi tuwe na adabu mama kakubali kukosolewa ila kwa staha si kisela hivo,

Nitarudi.....
Mazuri japo hana hata kidogo lakini hata akiwa nayo hiyo siyo news kwani inakuwa ametimiza wajinu wake likini akivuruga lazima iwe news kwani hakuchaguliwa ili akaharibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom