Atatamani awe wako

Na mda wa kutafuta pesa Kaka nitautoa wapi? Mimi nachagua pesa! Nyie Ndugu zangu pambaneni na mapenzi
 
Na mda wa kutafuta pesa Kaka nitautoa wapi? Mimi nachagua pesa! Nyie Ndugu zangu pambaneni na mapenzi
Tukienda Tanga utabadili mtazamo.. Maana kule ukimuita mpenzi haji siku hiyohiyo atakuja siku ya pili na mkoba wake wenye khanga mbili😀 na vinginevyo 😀
Huko kwingine ni kipochi na simu.. Confine utajua mwenyewe🤣
 
Ma Devil.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…