Atakuwepo kwenye mazishi ya Kanumba?

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
378
ni swali tu..
jkkkkkkkkkkkkkkkk.jpg
 
Hizo ndo sehemu zao za kuonesha unafiki!

Wanasafisha nyuso zao maana dhambi zao zafanyazo usiku na mchana ni chukizo kwa watanzania!

Wakumbuke kuwa Madawa wauzayo yanauwa Watanzania mamia kwa maelfu,
Posho wajiongezao zinafanya dawa na vifaa tiba visinunuliwe kwa wakati na ivo kufanya idaidi ya vifo vya wagonjwa kuongezeka,

Wakumbuke kuwa Nafasi wanazopeana kwa undugu, Urafiki na ujamaa ni sababu ya ku-uder perform na hivyo kusababisha kudorora kwa uchumi na kuiingiza nchi kwenye dimbwi la umasikini.

Unafiki wao una mwisho wake.
 
Taratibu!
 
Kha keshatiinga pale sinza kwa Kanumba we unashangaa! Sijui ataibika na nani pale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom