MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 999
- 2,046
Nina Imani mpo poa wakuu!
Kuna dogo mmoja anasoma kidato cha kwanza shule flani ya secondary hapa mjinj. Huyu kijana ni wa kiume LAKINI kuna mambo nimeyanotice kwake ni kama hayapo sawa.
1. Tembea yake ai ya kawaida anatembea kama vile anashida kiunoni au kama mtu aliyebanwa na haja kubwa kwa muda mrefu.
2. Ongea yake si ya kawaida anaongea kwa sauti ambayo si ya kiume halisi na jinsi anavyotamka maneno pia si kama mwanaume.
3. Kutokujiamini na kujistukia. Nilimuita wakati flani nikawa namhoji yani dogo hajiamini hata kidogo anaongea kama akiwa anaombea maongezi yawahi kuisha atimke aende mbali. Hana kuniamini kabisa. Anasema anaishi na mama yake na bibi yake, baba yupo mbali.
Hizo ni dalili 3 kuu zilizonifanya nisuspect kitu abnormal kwa huyu kijana. Nawaza pengine huyu kijana anafanyiwa vitendo visivyo vizuri na pengine ameshaharibiwa na masheitwan. Nianzie wapi kumuokoa huyu kijana?