Serikali mkoani RUVUMA imesema kuwa mtu yeyote atakayetoa taarifa juu ya watu wanaowarubuni wanafunzi wa kike maarufu kama 'MAFATAKI' Atapewa zawadi ya shilingi elfu ishirini keshi, iwapo itathibitika kuwa taarifa zake ni za kweli, Mwambungu ambaye ndiye mkuu wa mkoa huo amesema kuwa lengo ni kuwanusuru watoto wa kike wa shule za msingi na sekondari ambao wanadidimia kielimu kwa sababu ya mimba wanazopachikwa na hao mafataki,pia amesema fataki huyo atalala 'Porini'hadi siku ya kupelekwa mahakami.
SOURCE:Habari leo (30/11/2012)
SOURCE:Habari leo (30/11/2012)