Atakayemfichua fataki atapewa shilingi elfu 20

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Serikali mkoani RUVUMA imesema kuwa mtu yeyote atakayetoa taarifa juu ya watu wanaowarubuni wanafunzi wa kike maarufu kama 'MAFATAKI' Atapewa zawadi ya shilingi elfu ishirini keshi, iwapo itathibitika kuwa taarifa zake ni za kweli, Mwambungu ambaye ndiye mkuu wa mkoa huo amesema kuwa lengo ni kuwanusuru watoto wa kike wa shule za msingi na sekondari ambao wanadidimia kielimu kwa sababu ya mimba wanazopachikwa na hao mafataki,pia amesema fataki huyo atalala 'Porini'hadi siku ya kupelekwa mahakami.
SOURCE:Habari leo (30/11/2012)
 
Wanafunzi nao wamezidi kudanganyika...... Nao watafutiwe adhabu mujarabu.
 
Kiherehere chao
duuuuh ila jamani upeo wa mtu unapimwa kwa mambo mengi!
hvi watanzania wanahaha kutafuta namna ya kuwaokoa halafu kiongozi mkuu ambaye ni decision maker wa nchi anasema ni kihehere chao.
hili ni tatizo kwa kweli
 
watoto wenyewe wanafundisha kumnyima mwanamme ni dhambi, unadhani watakuelewa?
 
Serikali mkoani RUVUMA imesema kuwa mtu yeyote atakayetoa taarifa juu ya watu wanaowarubuni wanafunzi wa kike maarufu kama 'MAFATAKI' Atapewa zawadi ya shilingi elfu ishirini keshi, iwapo itathibitika kuwa taarifa zake ni za kweli, Mwambungu ambaye ndiye mkuu wa mkoa huo amesema kuwa lengo ni kuwanusuru watoto wa kike wa shule za msingi na sekondari ambao wanadidimia kielimu kwa sababu ya mimba wanazopachikwa na hao mafataki,pia amesema fataki huyo atalala 'Porini'hadi siku ya kupelekwa mahakami.
SOURCE:Habari leo (30/11/2012)

Hakuna lolote, watoto wenyewe wana njaa kali balaa tupu. wewe unafikiri wanaume ndo wanawafuata? hakuna, kuna watoto wa kike wenyewe wanawatafuta wanaume kabisa, tena huwagombania waalimu wao na hata vivulana humohumo class
 
Kumbe mheshimiwa Mwambungu ni mchokozi kihivi? Basi kama una ugomvi na huyu mheshimiwa hapo chini basi mimi namuweka kama ni mmoja wa mafataki hatari hapa nchini na anatoka huko kwenu. Huyu bwana ni muhusika mkubwa wa kumbadilisha Lulu chupi toka awe na miaka 14 mpaka anakamatwa hivi karibuni. Mheshimiwa Mwambungu, huyu jamaa anakaribia miaka 60 Lulu ana miaka 17, je inakuja kichwani kweli? Basi akamatwe mimi pingu ninazo hapa, na hizo pesa zangu nitazipataje?
lulu na komba.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom