Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Status
Not open for further replies.
Amina mpendwa! Bila shaka nitakutumia kwani nahisi nimefungwa hata kufanya maombi ya namna yoyote ile kwani mara kwa mara napanga nifunge na kuomba kanisani lakini ghafla napoteza kabisaa morali na munkari wa kwenda kanisani.

Siku zote mungu ni mwema, hatanifungua tu siku moja na pesa hii nitaenda kuimarisha kazi ya mungu.

Hallelijah!!

Ok poa.
 
Jitahidi kutumia luga moja unapo eleza jambo, itaonyesha kujiamini kwako lakini hii mseto ,watu we gi wenye busara hawapendi vitu hivi, utachelewa sana

Nafikiri hii ni taharuki na munkari tu yangu juu ya hili gumu kwangu.

Nimekuelewa ndugu! Nitairekebisha hii.
 
Unaweza kusumbuliwa na mold kwa miaka na wala usijue mkuu! Amini usiamini, kuna watu wapo sensitive na mold sana kuna aina Fulani ya gene umezaliwa nayo Kama Mimi ni aidha ipo kwa baba yako au mama, au inawezekana huna hiyo gene ila umekuwa exposed na mold kwa muda mrefu still utakuwa unahitaji matibabu, utakwenda bugando hutopata daktari anayetibu mold boss, tatizo Hilo lipo bado kwenye research, marekani ni nchi pekee inayoongoza kwa research duniani kuna physicians 500 tu! Marekani wenye uwezo wa kutibu Hilo tatizo ila kwasababu mind yako umesha ipeleka kwenye uchawi/lucifer Sidhani Kama you will take this issue serious, kuna labs marekani zenye uwezo wa kupima Hilo tatizo, Kama ungeweza kuwatumia mkono na damu yako wangeweza kupima na kukupatia majibu hata Mimi nikifanya hivyo kabla ya kwenda kimatibabu ila kwa bongo sina uhakika Kama taratibu hizo za kutuma samples kwa vipimo nje ya nchi zipo, kila la kheri.

Uchambuzi wako ni makini na murua sana kaka, ila napaswa kujiridhisha sana juu ya mold maana ni suala jipya nasikia mara ya kwanza kwako...hivyo usihofu inaweza gharimu muda kidogo kunishawishi moja kwa moja maana ni mpyaa hii kwangu!

Ila nakushukuru pia kwa dhamiri ya dhati ya kutaka kunisaidia kaka.asante!!
 
Pole sana ndugu yangu mwamini Mungu ama hakika atakuponya
 
Kaka mi kifua kinabana sana nashindwa hata kufikiri kwa kina, nasahau hovyo hovyo, kichwa kinauma, mwili wote unawaka moto, ndoto za ajabu ajabu, mkosi na hakuna anaenipenda kwa sasa isipokuwa mama yangu mzazi tu...naambatana na mikosi ya ajabu!! N.k

Yaani hali tia maji tia maji kaka sokwe!!

Wewe una upungufu wa maji mwilini. Kunywa maji ya kutosha kila siku mpaka lita tatu na nusu na utafune chumvi ya mawe kila mara. Aliyekuambia umerogwa ni nani? kunywa maji fanya maombi utapona tu pia zingatia kuhama hiyo nyumba/mtaa.
 
Aache Ushirikina gani Mgonjwa huyo amesha rogwa na majirani zake anachotaka kutibiwa huyo sio mzima kabisa muone hata anachokiandika hakileweki kabisa.
Mzizi mkavu unapenda kweli ishu hizo. Naona mkubwa umeishapata deal hapa. Kweli huyu jamaa ni crazy mzungu utafikiri aliishiiafrika miaka kumi na kumi mingine akaenda marekani na sasa ndiyo amerudi na majinsi majinsi yake ya viraka.
 
Wewe una upungufu wa maji mwilini. Kunywa maji ya kutosha kila siku mpaka lita tatu na nusu na utafune chumvi ya mawe kila mara. Aliyekuambia umerogwa ni nani? kunywa maji fanya maombi utapona tu pia zingatia kuhama hiyo nyumba/mtaa.

Asante nimekuelewa ndugu! Nitazingatia pia hili.
 
Wewe hao Majirani wanao kuroga unachotakiwa utibiwe kwanza kisha ufanyiwe dua za kinga kisha wajaribu tena hao wana kuroga mwisho wao utawaonea huruma. Si umesema umekwenda Hospitali mpaka kuombewa na wachungaji hujapona? Wasiliana na Mimi MziziMkavu hauchimbwi Dawa Pole sana.
Mkuu hadithi zimepotelea wapi? Tunazisubiri kwa hamu.
 
Nenda kwa Tb Joshua ilo tatizo ni sekunde litakuwa limeisha kaka folk
 
Last edited by a moderator:
Wachungaji wanao waaguwa waliorogwa ni washirikina pia? Bwana YESU aliwatowa Watu Mapepo Wachafu naye pia Bwana Yesu alikuwa ni Mshirikina? hebu nijibu hapo?

Mzizi Mkavu unaonekana una uelewa wa juu wa haya mambo lkn nikuulize maswali; utajuaje huyu kalogwa na huyu anaugua maradhi ya yanayohitaji tiba za hospitali??? Utajuaje aliyemloga ni jirani yake??? Na kama ni kweli kalogwa unatumia ramli kumuagua au imani za dini???
 
Mzizi mkavu unapenda kweli ishu hizo. Naona mkubwa umeishapata deal hapa. Kweli huyu jamaa ni crazy mzungu utafikiri aliishiiafrika miaka kumi na kumi mingine akaenda marekani na sasa ndiyo amerudi na majinsi majinsi yake ya viraka.
Mimi kazi yangu kuwasaidia watu walioshindwa kutibiwa Ma-Hospitalini mimi huwa simtibu mtu jambo la kwanzaninamuambia aende Hospitali akapime Damu, Mkojo,Ukimwi na X -Ray ahakikishe ugonjwa aliokuwa nao hauwezi kutibika Ma-Hospitalini ndio mimi hapo nina anza kumtibia Mkuu Eberhard Dawa zangu ninatumia Natural Herb spice situmii Hirizi wala Tunguli Mkuu angalia hii picha hapo chini.


spices.jpg



Natural Herb Spice


Mzizi Mkavu unaonekana una uelewa wa juu wa haya mambo lkn nikuulize maswali; utajuaje huyu kalogwa na huyu anaugua maradhi ya yanayohitaji tiba za hospitali??? Utajuaje aliyemloga ni jirani yake??? Na kama ni kweli kalogwa unatumia ramli kumuagua au imani za dini???
Nina Uzoefu wa zaidi ya miaka 20 na matatizo

kama haya kutokana na yeye mwenyewe Mgonjwa kujieleza kuwa amemaliza Treatment za Hospitalini na hajapona na akaeleza kuwa Majirani zake anawahisi ndio wanaomfanyia ubaya yeye na familia yake ndio maana

nikamuambia kuwa awasiliane na mimi kwa njia ya Email yangu hii fegoodman@hotmail.com Nitaweza

kumsaidia mimi sikumwambia kuwa majirani zake ni wabaya. Huenda yeye anahisi majirani zake kuwa ndio

wanaomfanyia uchawi huenda sio majirani zake wabaya huenda kuwa ni baadhi ya ndugu zake kwenye familia

yake lakini hilo jambo sio zuri kusema hata kama mimi ninalijuwa. Kinachotakiwa huyu mkuu.@folk atibiwe

na kupona kujuwa ni nani mchawi haitosaidia kitu asante sana.
 

Attachments

  • spices.jpg
    spices.jpg
    524.9 KB · Views: 274
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom