Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Status
Not open for further replies.
tuheshimiane best sijakuita -------- mahali popote!
ukiona hoja yangu sivyo unavyoamini wewe pinga kwa hoja!
ukianza matusi hapa HUTAKAA ujue!
Ohooooooooooooooooo!nakuheshimu asee!

sawa best nimekuelewa ila sijakutukana best nilikuwa nakutajia sifa yako na wala sio tusi best, ila kama hujajisikia vizuri sorry best, tuendelee kufuatilia mjadala best Snowwhite
 
Last edited by a moderator:

UTAJILAUMU MUDA SI MREFU!
USIFIKIRI NZI WOTE WANARUKIA MATAKONI UKADHANI NDIO KWENYE SHAMBA LA MIEMBE!
ohoooooo!NAKUONYA KWA MARA YA MWISHO!
 
acha mikwara wewe unaona sasa unaanza kuonyesha sifa yako wazi wazi, ukitukana rungu la ban litakuhusu! nimekuelewa haina haja ya kufika unapopatarajia... na wala haina haja ya kufika mbali...
 
haaaa haaaa

the tale of folk and sokwe

best selling ....

Merry xmass

Verry sorry brother,,,,,

No need to argue....
I advice u to let the gone be by gone....by doing so u will be the best wise person!!

Cz I smell something fish here,,,,,,

Just calm down....
No need to quarel....

One person abuses u with two IDENTITIES!!
 
Howt Lady

I am glad that you got me right
 
Last edited by a moderator:
Well... Talkin with fools like you that ain't my style... U broke, u dirty, u look ugly, this isn't the reason I'm here, the guy is sick and I'm willing to help, what you all a.s.s.h.o.l.e.s are doin to help him? Instead you're tryin to attack me for no damn reason!! U dumb fools, u can't do shit for him or yourself, what's the point of going after me? Jelous and envy won't do you good, get a life you cocksucker.

Mpotezee bhana.. asikuvurugie mood dogo anahitaji msaada ili apone.
 
Nimesha achana nae little Angel, thanks for ur concern.
 
Coturnix, Sista, Rover Rider mangatara na Snowwhite ni watu wapumbavu sana kama Invisible anavyoshauri inabidi mfiche upumbavu wenu mwonyeshe hekima yenu...

Kama mtu hauna suluhisho kuhusiana na tatizo inabidi upotezee tu sio lazima kuchangia upumbavu au kuanza kushambulia wachangiaji bila ya suluhisho lenu mnaweza mkasoma thread tu bila ya kuchangia na yenyewe inatosha tu!

Watu wapo na shida na watu wapo wanafuatilia huu uzi sasa nyie mnapoleta upumbavu niwaeleweje mmeniudhi sana...

Pole saana tu Mkuu wa chuo
Ila hapa, hakika -------- watu watamwona wenyewe Kati yako na hao uliowaita wapumbavu. Ukiwa na shida, tulia kwanza, fikiri kabla hujaandika humu hiyo shida yako. Angalia majibu vizuri utaona ni lipi ni ushauri.
Nilimshauri vizuri tu mhusika na mahali halal pa kupeleka shida yake ila kwa sababu wewe ni kipofu hukuweza kupambanua ushauri. Muhusika alisikia na naamini aliukubali ushauri wangu. Otherwise angeniuliza.
Usitutoe kwenye mada yetu tafadhali
 
Mi nakushauri kwa sababu hali uliyokuwa nayo nami imenitesa sana tena zaidi ya miaka 13. Nimezunguka sehemu kibao na nimetumia pesa kibao bila mafanikio,lakini mwishoni nikaja kupata dawa moja ya mchungaji kessy sasa hivi huyu jamaa ni ustaadh. Hiyo dawa inaitwa mafuta ya upako yanauzwa elfu 25 ukiitumia utapona kabisa hata usihangaike kama uko dar nenda msikiti wa mtoro au mbagala kuu kwenye clinic ya doctor Sulley. Kwa ufafanuzi nipigie 0767989713. Watu wachawi sana
 
Shukrani ndugu,

Pole kwa magumu yaliyokukuta na pia hongera kwa kuweza kutoka kwenye dhoruba hilo maana kuna baadhi ya watu wanaona kama vile masuala haya tunayozungumzia hapa ni hadithi za abrakadabla na kusadikika tu, mbaya zaidi wanafikia hatua ya kuanza kuhukumu watu waungwana na wasamaria kama sokwe kwamba ni matapeli ilhali hawafungami hata na chembe moja ya utapeli.

Ndugu, umesema ulitumia dawa na mafuta ya upako ya dkt sulle na mch kessy na kupona tatizo lako kabisaaa. Inawezekana kuwa ni kweli maana watu wengi pia wamekariri kupona baaada ya kutumia dawa za hawa wandugu. Nilighafirika saana na hata kufikia maamuzi haya ya kuataka kutoa Tshs milioni moja taslimu kama zawadi kwa atakayefanikisha mimi kupona hili tatizo langu baada ya kutumia mafuta hayo bila mafanikio. Hii imenipelekea kuwa psychological exhausted na kujihisi niko traumatized sana na mwenye stress nyingi mno linapokuja suala la tiba sahihi ya tatizo hili.

Mara nyingine huwa naamini "everthing happen in this world it happens for a reasons" sio bure wenda mungu ana makusudi murua na mimi maaana mungu ni mwema wakati wote na rehema zake ni za milele.nasubiri!!

Pia nimeambatanisha na picha ya dawa hiyo kwa uthibitisho zaidi.

Aksanteni!!
 
Attachments

  • 1386414094736.jpg
    1386414094736.jpg
    70.1 KB · Views: 298
Kaka mi kifua kinabana sana nashindwa hata kufikiri kwa kina, nasahau hovyo hovyo, kichwa kinauma, mwili wote unawaka moto, ndoto za ajabu ajabu, mkosi na hakuna anaenipenda kwa sasa isipokuwa mama yangu mzazi tu...naambatana na mikosi ya ajabu!! N.k

Yaani hali tia maji tia maji kaka sokwe!!

Mkuu unamwamini Yesu? Umefanyiwa maombi?
 
Ndio namwamini yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yangu, ila nadhani sijapata mtu wa mungu mwenye karama za mungu kuweza kuratibu na kuwezesha mlolongo mzima wa
wokovu kupitia jina la yesu.
 
Shukrani ndugu,

Pole kwa magumu yaliyokukuta na pia hongera kwa kuweza kutoka kwenye dhoruba hilo maana kuna baadhi ya watu wanaona kama vile masuala haya tunayozungumzia hapa ni hadithi za abrakadabla na kusadikika tu, mbaya zaidi wanafikia hatua ya kuanza kuhukumu watu waungwana na wasamaria kama sokwe kwamba ni matapeli ilhali hawafungami hata na chembe moja ya utapeli.

Ndugu, umesema ulitumia dawa na mafuta ya upako ya dkt sulle na mch kessy na kupona tatizo lako kabisaaa. Inawezekana kuwa ni kweli maana watu wengi pia wamekariri kupona baaada ya kutumia dawa za hawa wandugu. Nilighafirika saana na hata kufikia maamuzi haya ya kuataka kutoa Tshs milioni moja taslimu kama zawadi kwa atakayefanikisha mimi kupona hili tatizo langu baada ya kutumia mafuta hayo bila mafanikio. Hii imenipelekea kuwa psychological exhausted na kujihisi niko traumatized sana na mwenye stress nyingi mno linapokuja suala la tiba sahihi ya tatizo hili.

Mara nyingine huwa naamini "everthing happen in this world it happens for a reasons" sio bure wenda mungu ana makusudi murua na mimi maaana mungu ni mwema wakati wote na rehema zake ni za milele.nasubiri!!

Pia nimeambatanisha na picha ya dawa hiyo kwa uthibitisho zaidi.

Aksanteni!!
DAAAAADEKI!
nani anasema haikuwa mwisho wa hii uwe hivi! Matola nishike sokwe mmefanikiwa sio? Zantsan kumbe ndo lilikuwa lengo lenu ,oh GOD FORBID isiwe ni satan Fixed Point siku nyinne usiwe unaumiza kichwa saaana ukikuta mahali nimekoment vya PHD uwage unapigia tu mstari amu kuja huku uone makitu ya watu Coturnix ukuje bana!watu walikuwa na kazi yao na wanhis wameshamaliza!
SASA SI MNGESEMA TU TOKA MWANZO JAMANI!
af si kuna jukwaa la matangazo!
kuliko kuchosha watu hapa kwa page zote hiz kumbe mwisho wa siku mlitaka kutangaza mapepo yenu hapa!
MSHINDWE NA MTOKOMEEE KABISA!
mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaks!
 
Last edited by a moderator:
hujalogwa, either una tatizo la kisaikologia au sera zako binafsi haziko sawa, badili sera kuwa serious na mambo yako hakuna kuchekea nyani, kuwa na determination kwa kila unachoamua kufanya, ondoa mentality ya kuonewa wivu, kwani wanakulipisha ushuru au commission hao majirani? jibu ni hakuna, hata ulipoenda kuombea hukuwa na imani zaidi ya kutaka muujiza. unajua hakuna kitu kisicho na faida. a man is real when he comes to misery. huwezi kuwea mwanaume kamili kwa kula raha na kutesa.
infact hela zako mpe mwingine na dhahabu zako zishike mwenyewe

(Dan 5:17 [KJV])
Then Daniel answered and said before the king, Let thy gifts be to thyself, and give thy rewards to another; yet I will read the writing unto the king, and make known to him the interpretation.
 
Mi nakushauri kwa sababu hali uliyokuwa nayo nami imenitesa sana tena zaidi ya miaka 13. Nimezunguka sehemu kibao na nimetumia pesa kibao bila mafanikio,lakini mwishoni nikaja kupata dawa moja ya mchungaji kessy sasa hivi huyu jamaa ni ustaadh. Hiyo dawa inaitwa mafuta ya upako yanauzwa elfu 25 ukiitumia utapona kabisa hata usihangaike kama uko dar nenda msikiti wa mtoro au mbagala kuu kwenye clinic ya doctor Sulley. Kwa ufafanuzi nipigie 0767989713. Watu wachawi sana

Shukrani ndugu,

Pole kwa magumu yaliyokukuta na pia hongera kwa kuweza kutoka kwenye dhoruba hilo maana kuna baadhi ya watu wanaona kama vile masuala haya tunayozungumzia hapa ni hadithi za abrakadabla na kusadikika tu, mbaya zaidi wanafikia hatua ya kuanza kuhukumu watu waungwana na wasamaria kama sokwe kwamba ni matapeli ilhali hawafungami hata na chembe moja ya utapeli.

Ndugu, umesema ulitumia dawa na mafuta ya upako ya dkt sulle na mch kessy na kupona tatizo lako kabisaaa. Inawezekana kuwa ni kweli maana watu wengi pia wamekariri kupona baaada ya kutumia dawa za hawa wandugu. Nilighafirika saana na hata kufikia maamuzi haya ya kuataka kutoa Tshs milioni moja taslimu kama zawadi kwa atakayefanikisha mimi kupona hili tatizo langu baada ya kutumia mafuta hayo bila mafanikio. Hii imenipelekea kuwa psychological exhausted na kujihisi niko traumatized sana na mwenye stress nyingi mno linapokuja suala la tiba sahihi ya tatizo hili.

Mara nyingine huwa naamini "everthing happen in this world it happens for a reasons" sio bure wenda mungu ana makusudi murua na mimi maaana mungu ni mwema wakati wote na rehema zake ni za milele.nasubiri!!

Pia nimeambatanisha na picha ya dawa hiyo kwa uthibitisho zaidi.

Aksanteni!!

Naona mmejipanga kuja kuhubiri ushetani JF lakini hapa mtakwama. Kumbe kuzunguka koote kule ndio mlikuwa mnataka kuja na gea hii?

Hili siyo jukwaa la sanaa na hakatwi mtu hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom