Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Status
Not open for further replies.
Naona hii thread imejaa marumbano mpaka haieleweki kama kweli ni ya mgonjwa anayetaka msaada. HAYA HEBU WEWE MGONJWA TUAMBIE UMEFIKIA WAPI MPAKA SASA?
 
pole ni ndg,sina la kukushaur ,nakuombea kwa mungu akufungulie milango ya tiba
 
we ni kijana wa pekee then at same time mko sita unajua maana ya pekee?
au wakati wa kuandika ulishakuwa umekunywa vidonge vya cofta na juice ili u commit suicide softly??
all da best ...!
 
Sasa wewe unataka kusaidiwa unazungumza Kiingereza pamoja na na Kiswahili? mbona unawachanganya watu Sema unacho kitaka ili uweze kusaidiwa? rudia tena Thread yako uandike kile unacho kitaka ili uweze kusaidiwa. ukiweza wasiliana na mimi kwa njia ya Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com

Sasa wewe uelewi tuu!! hilo ndo moja la tatizo kuchanganya mambo, kama ivi kutojitambua, mgonjwa tena unataka awe smart!!
 
Naona hii thread imejaa marumbano mpaka haieleweki kama kweli ni ya mgonjwa anayetaka msaada. HAYA HEBU WEWE MGONJWA TUAMBIE UMEFIKIA WAPI MPAKA SASA?

Ndugu mpaka hivi sasa niko kwenye hali ya mtanziko, kwa maana sijapata mtu alie tayari kutafuta suluhu ya hili gumu kwa muktadha ninaopendekeza kulingana na tatizo langu mbali na sokwe ambae amependekeza suluhu itafutwe hospitali zaidi.

Asante.
 
pole ni ndg,sina la kukushaur ,nakuombea kwa mungu akufungulie milango ya tiba

Nakushukuru ndugu! Kauli yako ni kauli ya waungwana wengi wenye mapenzi mema na binadamu wenzao.

Kwa maana hiyo hiyo, kauli ya wengi ni kauli ya mungu!! Mungu ataweka wepesi tu siku moja.

Amen!!
 
Ndugu mpaka hivi sasa niko kwenye hali ya mtanziko, kwa maana sijapata mtu alie tayari kutafuta suluhu ya hili gumu kwa muktadha ninaopendekeza kulingana na tatizo langu mbali na sokwe ambae amependekeza suluhu itafutwe hospitali zaidi.

Asante.

Ok, fanya utaratibu wa kuwasiliana na sokwe basi uende hospital mkuu. Au bado unaskilizia kwanza?
 
nenda hospitali fanya vipimo ,katika vipimo hivyo hakikisha unapima ukimwi na kifua kikuu yaani TB samahani kama nitakuwa nimekukwaza kwa ushauri huu
 
Mkuu "Hakuna Dhambi Mbaya Kama Kukata Tamaa" (Mrema L.Augostine 1998)
Ni Pm Takusaidia
 
Pole sana RAFIKI.
Mimi nakuonea huruma ya kwelikama wana JF wengine na kwa hilo nnamwamba MUNGU KWA JINA LA YESU AKUPONYE KABISA.
Nakmba wewe mwenyewe jivike mkanda wa imani mwsihi MUNGU dhidi ya mateso unayopata.
Lengo ni kwamba hata kama utakufa ujue there is no shortcut. Lakini wewe ni kijana bado na hayo ni mapito yako na amua mwnyewe ili ushinde hofu hii ya kifo alokuzushia shetani.
Jipe moyo mkuu na utashinda na zaidi ya kushinda kwa YEYE ALIYEKUPENDA MPAKA PALE KWENYE MSALABA WA AIBU, AMBAP KWETU TUNAOAMINI NI NGUVU YA MUNGU ALIYE HAI KWA JINA LA YESU ALIYE HAI.
Uwe mzia kwa JINA LA YESU.
 
(Maji ya mamlaka) kama kweli upo makini unaloongea hapa,nitumie ujumbe wa siri uweke namba yako ya simu ili tuwasiliane
 
Panda basi la ifakara shuka kiberege uliza kwa bibi kalembwana ukifika hapo itakuwa umezaliwa upya bi idhini llahi
 
Pole sana RAFIKI.
Mimi nakuonea huruma ya kwelikama wana JF wengine na kwa hilo nnamwamba MUNGU KWA JINA LA YESU AKUPONYE KABISA.
Nakmba wewe mwenyewe jivike mkanda wa imani mwsihi MUNGU dhidi ya mateso unayopata.
Lengo ni kwamba hata kama utakufa ujue there is no shortcut. Lakini wewe ni kijana bado na hayo ni mapito yako na amua mwnyewe ili ushinde hofu hii ya kifo alokuzushia shetani.
Jipe moyo mkuu na utashinda na zaidi ya kushinda kwa YEYE ALIYEKUPENDA MPAKA PALE KWENYE MSALABA WA AIBU, AMBAP KWETU TUNAOAMINI NI NGUVU YA MUNGU ALIYE HAI KWA JINA LA YESU ALIYE HAI.
Uwe mzia kwa JINA LA YESU.

Amen mpendwa!! Maandishi yako haya yanaweza kutafsiriwa kama uungwana na huruma kubwa dhidi ya binadamu wenzako na waungwana wenzio.

Asante, nitazingatia mpendwa!
 
Fanya ibada sana kisha chukulia simple,hayo ni ya kawaida ktk familia zetu.
 
piga cm 0718564093 babu nuru yuko tanga malamba,mtaa matemboni majengo.kwa msaada zaidi mweleze atakusaidia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom